Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

Magaidi 20,000 wajifiche ukerewe na tutume jwtz 100,000 kwa mwezi tu kutakuwa bado kuna magaidi ndugu. Yaani tuwape ndege, vifaru wajichagulie vingine toka nje ya nchi kila bunduki waipendayo wachukue bado wazidishe mwezi? Hao wote tunawafuta kama wanajeshi tunapeleka wengine!!

Fikiria size ya nyuki lakini anamkimbiza binadamu. Hapo utaweza kuelewa ni kwa Nini muda na na wingi was silaha sio kigezo
 
Back
Top Bottom