Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

Yaani watumie ndege kudondosha chakula washindwe kuwafumua magaidi wa Hamas kwa hizo ndege,!! Hamas imekwisha pamoja na kujificha kwa kuvaa Burqa, Niqab na kujificha hospitali mashuleni wamekwisha, damu ya watanzania wasio na hatia waliowateka na kuwaua itawamaliza.
Kwahiyo sasahivi Gaza ipo chini ya Israel?

Ficha ujinga wako kwa kutazama taarifa ya habari ya Al Jazeera ndiyo utajionea uhalisia.
 
hoja ni kwa hamas sasa, watapata wapi chakula. hapo sasa. kudondoshea chakula wapiganaji wako vitani ni jambo la kawaida, ila adui ndio kafungwa pande zote mbili hakuna chakula kuingia. jana walionyesha hamas wameteka roli la chakula cha msaada kwa mtutu wanajaribu kuwapelekea wapiganaji wao shida ni kwamba hawana pa kupita, kila sehemu ndio israel kasambaa all over anawasubiri watokeze kichwa toka kwenye mahandaki awapige risasi za kichwa. na kule ndani ya handakiz chakula kinazidi kuisha, maji hakuna. hata kutawaza watakuwa wanatawaza kwa mchanga.
Unavyoongea kama karunguyeye ingekuwa ni raisi hivyo si Netanyahu angeshangilia asubhi na mapema
 
waliobaki wengi wanauliwa, stock nyingi ya silaha zao zimekamatwa, wanakimbiakimbia tu chakula ni shida hadi jana wameteka marori matatu ya misaada ya chakula wakakimbia nayo. yalikuwa kusini mwa gaza, shida ni kwamba hawawezi kupanda nayo kaskazini manake myahudi kakata gaza katikati, ukiwa kusini hakuna kupita kwenda kaskazini, na kule kaskazini ndiko walipo hamas wengi kwenye mashimo, ndani kuna joto hewa imeanza kupungua kwasababu umeme wamekata vipeleka hewa kwenye mahandaki havifanyi kazi. kilichobaki wanajificha kwenye yale magofu na kurusha risasi kwa wayahudi, na wengi kweli wanauliwa.
Unaongea kama vile vita imeanza juzi vita ina miezi mitatu hiyo kwa hiyo umeme wamekata jana au juzi
 
Viliwapotosha sana watu hasa hawa kina T14 Armata armata na mwenzake MK254
Hawa waliaminishwa israhell inaweza kufanya lolote hapa duniani ikiamua kwenye uga wa kijeshi na kiintelijensia yaani wapo vyema
Ila leo tumeona kaeneo kama viwanja vitatu vya mpira wa miguu wameshindwa kumaliza kazi
Tena wameshindwa kukomboa mateka hata mmoja
Israhell wanachoweza ni kuhalalisha liwatw na kusagana
,🤣🤔
 
Iliishagoma zamani sijawahi hata kuingia tokea niione
Mrusi nasikia vita imehamia CRIMEA wayukraine wanashambulia kutokea kila upande wanaitafta sochi sasa

Vita ipo Kyiv, msafara unakaribia, ilibidi kwanza madereva wa vifaru wachimbe dawa maporini.
 
Uzi wa waarabu koko kupeana moyo na kabla ya kwenda kufumua bikra 72
 
Upepo wa vita wiki hii unavuma kwa kasi dhidi ya Israel katika kaeneo kadogo sana.
Wakati wowote kwa uwezo wa Allah tutashuhudia askari wakikimbia vita kurudi nje ya mipaka ya Gaza.
Watakimbiaje wkt wamezingirwa ?
 
Israhell ni nchi ya hovyo sana na idf wao ni wanamgambo wa hovyo kuzidi. Bora hamas wangepigana na M23 wangepata upinzani.

Hawa wanamgambo wanaooana wanaume kwa wanaume kwenye uwanja wa mapambano hawana jipya
Wanamgambo wa israhell kuikimbia ghaza nisuala la muda tu.

Tena watamtumia mama yao mdogo us pale UN. Hamas kundi teule kamatieni hapo hapo mpaka hao mgambo magaidi warejelee walipotoka.
Mshazijua level zenu ? Magaidi wakubwa mnaua waafrika huko Msumbiji , Somalia , Sudan kisa vmafundisho ya ugaidi yaliyo kwenye vitabu vyenu
 
Yaani watumie ndege kudondosha chakula washindwe kuwafumua magaidi wa Hamas kwa hizo ndege,!! Hamas imekwisha pamoja na kujificha kwa kuvaa Burqa, Niqab na kujificha hospitali mashuleni wamekwisha, damu ya watanzania wasio na hatia waliowateka na kuwaua itawamaliza.
Lengo la vita ilikuwa kuwamaliza HAMAS na kukomboa mateka. Yote hayo mawili hayajafanikiwa. HAMAS bado wapo na wanapigana. Hakuna mateka hata mmoja aliyekombolewa kwenye uwanja wa mapambano zaidi ya wale waliobadilishana kati ya HAMAS na IDF. Walichofanikiwa IDF ni kuua raia wasio na hatia na kuharibu makazi na miundombinu mingine. Unajiuliza hili jeshi linalosifiwa sana duniani kwa ustadi kweli linatumia takriban miezi miwili kukabiliana na wanamgambo kwenye kaeneo kadogo tu hako na hakuna mafanikio? Vita hivi vimewaumbua Israel na mashabiki wao duniani kote.
 
Back
Top Bottom