Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

Ukisoma comments za pro Hamas kisha ukasoma na utitiri wa Threads za muanziasha mada utapata picha kamili kuwa hawa wamechanganyikiwa na hii vita.Sina uhakika kama wanapata hata muda wa kunywa maji.
Watu wanakufa kama nzige huko Gaza wao wapo hapa kupigana vita na kujipa matumaini/ ushindi kwa comments
sure,
you are very right
 
Mazayuni yamekubali mziki.Yameuliwa sana hadi hayana ham wachana na kitu inaitwa Hamas
lakini waiwakubalie tu kijinga, maana Wayahudi wakishachukuwa mateka wao wanataka wafanye unyama mkubwa sana.

Wamisri hao wanaotumiwa na Mayahudi kujadiliana, siwaamini kabisa.
 
Mimi furaha yangu ni hao mbwa wa kiarabu na wayahudi wakiendelea kuuwana....Dua zangu vita iendelee mpaka wamalazane kabisa mbwa hao......
 
Kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limelazimika kutumia parachuti maalum ili kuwafikishia mahitaji muhimu maelfu ya askari wake wanaokaribia kufa kusini ya Gaza.

Maamuzi hayo yamkuja wakati vita vya mitaani vinaonekana kuwamaliza nguvu askari hao na kushindikana kuwafikishia mahitaji hayo kwa njia ya kawaida ya barabara.

Majaribio ya matumizi ya malori na barabara yamekuwa magumu kwanzia kutokana na miundo mbinu yote kubomolewa na wao wenyewe na pia kutokana na kushambuliwa na kuchukuliwa mahitaji hayo kwa matumizi ya Hamas.

Njaa na ukosefu wa maji inatarajiwa itakuwa ni msaada mkubwa kwa Hamas kuwamaliza askari wa IDF hata bila matumizi makubwa ya nguvu.

Guided Parachute System Used By Israel For First Time In Gaza​

View attachment 2840234
We bwege nenda kaharishe huo uvundo wako.
 
Wewe ingia kabla haijaunganishwa.....
Mrusi ambaye alikua tegemezi la maustadhi amedhindwa.
Iliishagoma zamani sijawahi hata kuingia tokea niione
Mrusi nasikia vita imehamia CRIMEA wayukraine wanashambulia kutokea kila upande wanaitafta sochi sasa
 
Utakuwa unakutana na ile hali ya kukulazimisha uifungue Thread kutumia browser ya kawaida.Ukifungua page zikagoma click uende page ya mwisho ya hiyo Thread itakuelekeza uifungue kwa browser unafungua unaendelea kuchangia na kusoma comments kama kawaida
Upo sahihi inanilazmisha nende huko ila shida nikienda huko page [emoji405] hua zaja nusu haziji zote
Ila ngoja nikitulia nitaifanyia kazi hili wazo lako
Imani yangu kwamba litanisaidia ahsante kwasasa
 
Kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limelazimika kutumia parachuti maalum ili kuwafikishia mahitaji muhimu maelfu ya askari wake wanaokaribia kufa kusini ya Gaza.

Maamuzi hayo yamkuja wakati vita vya mitaani vinaonekana kuwamaliza nguvu askari hao na kushindikana kuwafikishia mahitaji hayo kwa njia ya kawaida ya barabara.

Majaribio ya matumizi ya malori na barabara yamekuwa magumu kwanzia kutokana na miundo mbinu yote kubomolewa na wao wenyewe na pia kutokana na kushambuliwa na kuchukuliwa mahitaji hayo kwa matumizi ya Hamas.

Njaa na ukosefu wa maji inatarajiwa itakuwa ni msaada mkubwa kwa Hamas kuwamaliza askari wa IDF hata bila matumizi makubwa ya nguvu.

Guided Parachute System Used By Israel For First Time In Gaza​

View attachment 2840234
Kwanini wanaogopa kupeleka kusuply kwa magari
 
Hii vita ina wiki tatu mpaka 4 zinebakia, Hamas bye bye.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Tukuamini wewe au tuamini ukweli tunaouona kwenye uwanja wa vita
Kati yako na waziri mkuu wa Palestina nani wanawajua Hamas zaidi.Waziri mkuu keshasema hawawezi kumalizwa na haikubaliki kumalizwa.
 
Utakuwa unakutana na ile hali ya kukulazimisha uifungue Thread kutumia browser ya kawaida.Ukifungua page zikagoma click uende page ya mwisho ya hiyo Thread itakuelekeza uifungue kwa browser unafungua unaendelea kuchangia na kusoma comments kama kawaida
Ila kadiri siku zinavyo enda jf inazidi kupoteza ubora wa kiteknolojia badala ya kuimalika zaidi sijui tatizo ni nn.

Uongozi wa jf unatakiwa kulizingatia hili na kulifanyia kazi ili walitatue.
 
Kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limelazimika kutumia parachuti maalum ili kuwafikishia mahitaji muhimu maelfu ya askari wake wanaokaribia kufa kusini ya Gaza.

Maamuzi hayo yamkuja wakati vita vya mitaani vinaonekana kuwamaliza nguvu askari hao na kushindikana kuwafikishia mahitaji hayo kwa njia ya kawaida ya barabara.

Majaribio ya matumizi ya malori na barabara yamekuwa magumu kwanzia kutokana na miundo mbinu yote kubomolewa na wao wenyewe na pia kutokana na kushambuliwa na kuchukuliwa mahitaji hayo kwa matumizi ya Hamas.

Njaa na ukosefu wa maji inatarajiwa itakuwa ni msaada mkubwa kwa Hamas kuwamaliza askari wa IDF hata bila matumizi makubwa ya nguvu.

Guided Parachute System Used By Israel For First Time In Gaza​

View attachment 2840234
Fake news,kawadanganye magaidi wenzio wa kiislamu
 
hoja ni kwa hamas sasa, watapata wapi chakula. hapo sasa. kudondoshea chakula wapiganaji wako vitani ni jambo la kawaida, ila adui ndio kafungwa pande zote mbili hakuna chakula kuingia. jana walionyesha hamas wameteka roli la chakula cha msaada kwa mtutu wanajaribu kuwapelekea wapiganaji wao shida ni kwamba hawana pa kupita, kila sehemu ndio israel kasambaa all over anawasubiri watokeze kichwa toka kwenye mahandaki awapige risasi za kichwa. na kule ndani ya handakiz chakula kinazidi kuisha, maji hakuna. hata kutawaza watakuwa wanatawaza kwa mchanga.
 
Back
Top Bottom