Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

Meli hazipiti tena,Yemen amekaza,
 
Attachments

  • Screenshot_20231212-134240_Gallery.jpg
    Screenshot_20231212-134240_Gallery.jpg
    125.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20231212-134142_Gallery.jpg
    Screenshot_20231212-134142_Gallery.jpg
    65.4 KB · Views: 4
Hawa wanamgambo wa Israel walidhani Gaza ni sehemu ya kuonea kama wanavyofanya west bank.

Huko ni vilio tu angalia Mungu alivyokuwa fundi wamekata umeme, wamekata maji, wameharibu barabara, sasa hivi hawajui pakutokea[emoji23]
Hawana akili wale wapuuzi
Na majambo yakigeuka jumla jamala watalia zaidi na kusaga saga meno hawa wapuuzi
 
The Icebreaker, najaribu kureply picha ulizopost za mashoga inagoma kureply, aise hii jamiiforum sio! Kuna ualakini dhidi ya waislamu, jana nimeleta taarifa ya ushuhuda wa wanajeshi wa kizayuni kuuawa, wakaiondoa fasta, ila za upande wa pili akina MK254 wanaziangalia tu
Waache wafanye watakavyo mkuu,wao ndio wenye mamlaka ila on the ground kichapo kipo pale pale,

Wakiondoa picha uwe unazituma tena,wewe tuma tu,hakuna kurudi nyuma.
 
Hawa wanamgambo wa Israel walidhani Gaza ni sehemu ya kuonea kama wanavyofanya west bank.

Huko ni vilio tu angalia Mungu alivyokuwa fundi wamekata umeme, wamekata maji, wameharibu barabara, sasa hivi hawajui pakutokea[emoji23]

Mnapenda kujifariji sana
 
The Icebreaker, najaribu kureply picha ulizopost za mashoga inagoma kureply, aise hii jamiiforum sio! Kuna ualakini dhidi ya waislamu, jana nimeleta taarifa ya ushuhuda wa wanajeshi wa kizayuni kuuawa, wakaiondoa fasta, ila za upande wa pili akina MK254 wanaziangalia tu
Wazayuni ndio wanamiliki dunia bro na media zote duniani.
Hata hii ni kwa sababu ya vitu lama telegram angalau unapata hata picha ya IDF kadedi.

Unatakiwa kujua jinsi na nani anaendesha dunia kabla ya kulalamika.
 
Viliwapotosha sana watu hasa hawa kina T14 Armata armata na mwenzake MK254
Hawa waliaminishwa israhell inaweza kufanya lolote hapa duniani ikiamua kwenye uga wa kijeshi na kiintelijensia yaani wapo vyema
Ila leo tumeona kaeneo kama viwanja vitatu vya mpira wa miguu wameshindwa kumaliza kazi
Tena wameshindwa kukomboa mateka hata mmoja
Israhell wanachoweza ni kuhalalisha liwatw na kusagana

Check hii huku LIVE - Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS
 
Labda umesahau kuweka link ya chanzo chako. Chanzo ulichoweka hakisemi maelfu ya askari, kinasema mamia. Na hakisemi askari hao wamezingirwa
 
Back
Top Bottom