Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

Yaani watumie ndege kudondosha chakula washindwe kuwafumua magaidi wa Hamas kwa hizo ndege,!! Hamas imekwisha pamoja na kujificha kwa kuvaa Burqa, Niqab na kujificha hospitali mashuleni wamekwisha, damu ya watanzania wasio na hatia waliowateka na kuwaua itawamaliza.
 
Ni dhaifu zaidi ya udhaifu wenyewe kwakweli
Yaani wanashindwa na wanamgambo hawazidi hata elfu 2
Tena wako hapo tu pua na mdomo ila israhell sawa na mama ake mdogo us bila ya nyuklia hawana madhara kabisa kabisaaa
Vita ya ground isikie tu.

Usishangae kuona israeli wakashindwa vita hii.
 
Ni dhaifu zaidi ya udhaifu wenyewe kwakweli
Yaani wanashindwa na wanamgambo hawazidi hata elfu 2
Tena wako hapo tu pua na mdomo ila israhell sawa na mama ake mdogo us bila ya nyuklia hawana madhara kabisa kabisaaa
[emoji3][emoji3][emoji3] Majasiri wa JF wa kujifichia nyuma ya fake ID huwa mnachekesha sana
 
nguvu kubwa inatumika kuwatetea na kuwatia moyo wadhaifu, wasio na uwezo hata wa kujilinda tu wenyewe, wanaoumizwa na kuangamizwa kila uchwao bila sababu ya maana....

Mwenyezi Mungu ajalie mapatano na utulivu eneo la mashariki yakati...
Ukisoma comments za pro Hamas kisha ukasoma na utitiri wa Threads za muanziasha mada utapata picha kamili kuwa hawa wamechanganyikiwa na hii vita.Sina uhakika kama wanapata hata muda wa kunywa maji.
Watu wanakufa kama nzige huko Gaza wao wapo hapa kupigana vita na kujipa matumaini/ ushindi kwa comments
 
Hii imani ya kiwango hiki ni ya kuhamisha milima[emoji23][emoji23]
Jamaa ana sifa zote za kwenda kufanya kazi ICU kuwatia moyo wale walio katika dakika za mwisho za uhai wao wa kuishi hapa Duniani [emoji23][emoji23]
 
Huko kili nikitaka kuingia inagoma jf imekua ya hovyo sana
Thread chungu nzima nikifungua zinagoma hata ile nnayosikia kua umeikimbia ya PUT IN na ZELENSKY nayo pia yagoma
Wazayuni wameona nawapiga spana wameona wanitilie figisu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bwana Utam una mikwara si mchezo. Moderator saidieni huyu ndugu malalamiko yake
 
Kwa tafsiri ya kulazimika kutumia parachuti ni kama kujipiga mwenyewe.
Ndege za kivita haziwezi tena kutumika kwa maana ni kuwapiga wenzao na ukidondosha chakula unawapa chakula Hamas kwa sababu hakuna uhakika vitakapodondokea.
Allahu akbar
 
Yaani watumie ndege kudondosha chakula washindwe kuwafumua magaidi wa Hamas kwa hizo ndege,!! Hamas imekwisha pamoja na kujificha kwa kuvaa Burqa, Niqab na kujificha hospitali mashuleni wamekwisha, damu ya watanzania wasio na hatia waliowateka na kuwaua itawamaliza.
Pana thread unasoma unaishia kucheka tu.Cha kushangaza zaidi unakuta watu wanaamini na kuchangia kwa furaha kabisa kuwa IDF wameshindwa bila kuhoji hiki ulichoki note Mkuu.Ngoja tuwasindikize katika furaha yao lakini tukiangalia hata kwa Al Jazeera ambao ni Pro Hamas unakuta mambo ni magumu sana kwa wakazi wa Gaza na Hamas kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom