Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

Ila kadiri siku zinavyo enda jf inazidi kupoteza ubora wa kiteknolojia badala ya kuimalika zaidi sijui tatizo ni nn.

Uongozi wa jf unatakiwa kulizingatia hili na kulifanyia kazi ili walitatue.
Naunga mkono hoja
Haina maana unatumia app wanakulazimisha kukupeleka kwenye ma browser yao
Sasa si bora tu wafungue wavuti kabisa tujue moja
 
hoja ni kwa hamas sasa, watapata wapi chakula. hapo sasa. kudondoshea chakula wapiganaji wako vitani ni jambo la kawaida, ila adui ndio kafungwa pande zote mbili hakuna chakula kuingia. jana walionyesha hamas wameteka roli la chakula cha msaada kwa mtutu wanajaribu kuwapelekea wapiganaji wao shida ni kwamba hawana pa kupita, kila sehemu ndio israel kasambaa all over anawasubiri watokeze kichwa toka kwenye mahandaki awapige risasi za kichwa. na kule ndani ya handakiz chakula kinazidi kuisha, maji hakuna. hata kutawaza watakuwa wanatawaza kwa mchanga.
Kutawadha kutia udhu kwa mchanga safi namfano wake (kutayammam) inafaa kabisa ikibidi kwahio
Kama hii miezi miwili chakula hakikuwaishia hamas basi musahau tena hapo chakula kuisha
Yaani leo idf wa nategemea hamas kuishiwa na vyakula na maji iwe kama ndio njia yakuwashinda
Poleni sana
 
Hapo sasa. Nyie ndo wadhaifu zaidi. Safari fupi hivi,mnashindwa nini kufika kuwapa msaada?
Lini hamas waliomba msaada
Hamas msaada wao mkubwa waliotaka ni dua tu kutoka kwa waislam wenzao pamoja na wapenda haki na amani kooote ulimwenguni
Maana wamesema wao mayahudi wanayamudu sasa tukusikilize wewe au hamas wenyewe"!!!??
 
Kutawadha kutia udhu kwa mchanga safi namfano wake (kutayammam) inafaa kabisa ikibidi kwahio
Kama hii miezi miwili chakula hakikuwaishia hamas basi musahau tena hapo chakula kuisha
Yaani leo idf wa nategemea hamas kuishiwa na vyakula na maji iwe kama ndio njia yakuwashinda
Poleni sana
chakula hakikuwaishia kwasababu waliweka stock ya chakula kingi sana chini ya mahandaki, shida inakuja vingi vimeharibika kwasababu hakuna umeme, mafrizer hayafanyi kazi. jana walionyesha hamas wameanza utaratibu wa kuvamia magari ya msaada na kuteka then wanaiba chakula na maji. wameshafika mwisho, adui mwombee njaa. na mzayuni kafunga mipaka kote hakuna kupitisha chakula kwenda north ndio maana majamaa yameamua kujisalimisha kwasababu ya njaa kali.
 
Cjaona mkiumizwa na vita vya sudan na congo Drc kwani na kule watu wanakufa sana. Mpo busy mashariki ya kati
 
Wewe ingia kabla haijaunganishwa.....
Mrusi ambaye alikua tegemezi la maustadhi amedhindwa.
Screenshot_20231014-231529.png
 
chakula hakikuwaishia kwasababu waliweka stock ya chakula kingi sana chini ya mahandaki, shida inakuja vingi vimeharibika kwasababu hakuna umeme, mafrizer hayafanyi kazi. jana walionyesha hamas wameanza utaratibu wa kuvamia magari ya msaada na kuteka then wanaiba chakula na maji. wameshafika mwisho, adui mwombee njaa. na mzayuni kafunga mipaka kote hakuna kupitisha chakula kwenda north ndio maana majamaa yameamua kujisalimisha kwasababu ya njaa kali.
Kama wanajisalimisha vita mbona bado inaendelea
 
Kama wanajisalimisha vita mbona bado inaendelea
waliobaki wengi wanauliwa, stock nyingi ya silaha zao zimekamatwa, wanakimbiakimbia tu chakula ni shida hadi jana wameteka marori matatu ya misaada ya chakula wakakimbia nayo. yalikuwa kusini mwa gaza, shida ni kwamba hawawezi kupanda nayo kaskazini manake myahudi kakata gaza katikati, ukiwa kusini hakuna kupita kwenda kaskazini, na kule kaskazini ndiko walipo hamas wengi kwenye mashimo, ndani kuna joto hewa imeanza kupungua kwasababu umeme wamekata vipeleka hewa kwenye mahandaki havifanyi kazi. kilichobaki wanajificha kwenye yale magofu na kurusha risasi kwa wayahudi, na wengi kweli wanauliwa.
 
Mpaka sasa mateka wangapi wamekombolewa
 
Jeshi la israel ni dhaifu sana. Eneo dogo kuliko kisiwa cha ukerewe wanashindwa nini kumaliza kazi?
Hao wanakuzwa na viongozi wa kiarabu na Western hawana kitu mbele ya Hezbullah na Hamasi.

Sa hawa ndio wakapigane na wayemen nadhani mda wa week tu washihiri watafika Tela Avivi
 
Wazayuni ndio wanamiliki dunia bro na media zote duniani.
Hata hii ni kwa sababu ya vitu lama telegram angalau unapata hata picha ya IDF kadedi.

Unatakiwa kujua jinsi na nani anaendesha dunia kabla ya kulalamika.
Bado unaamini katika propaganda za mashoga.
 
Marekani kwa mara ya kwanza ametofautiana na israel hadharani mungu ni mkubwa wameanza kupoteana taratibu
 
Attachments

  • Screenshot_20231212-221329_Chrome.jpg
    Screenshot_20231212-221329_Chrome.jpg
    122 KB · Views: 1
Back
Top Bottom