inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mbona habari ipo kila sehemu,na israel imejisifu kwa hilo,wanataka wawauzie guided parachutesFake news,kawadanganye magaidi wenzio wa kiislamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona habari ipo kila sehemu,na israel imejisifu kwa hilo,wanataka wawauzie guided parachutesFake news,kawadanganye magaidi wenzio wa kiislamu
Hapo sasa. Nyie ndo wadhaifu zaidi. Safari fupi hivi,mnashindwa nini kufika kuwapa msaada?Jeshi la israel ni dhaifu sana. Eneo dogo kuliko kisiwa cha ukerewe wanashindwa nini kumaliza kazi?
Naunga mkono hojaIla kadiri siku zinavyo enda jf inazidi kupoteza ubora wa kiteknolojia badala ya kuimalika zaidi sijui tatizo ni nn.
Uongozi wa jf unatakiwa kulizingatia hili na kulifanyia kazi ili walitatue.
Kutawadha kutia udhu kwa mchanga safi namfano wake (kutayammam) inafaa kabisa ikibidi kwahiohoja ni kwa hamas sasa, watapata wapi chakula. hapo sasa. kudondoshea chakula wapiganaji wako vitani ni jambo la kawaida, ila adui ndio kafungwa pande zote mbili hakuna chakula kuingia. jana walionyesha hamas wameteka roli la chakula cha msaada kwa mtutu wanajaribu kuwapelekea wapiganaji wao shida ni kwamba hawana pa kupita, kila sehemu ndio israel kasambaa all over anawasubiri watokeze kichwa toka kwenye mahandaki awapige risasi za kichwa. na kule ndani ya handakiz chakula kinazidi kuisha, maji hakuna. hata kutawaza watakuwa wanatawaza kwa mchanga.
Lini hamas waliomba msaadaHapo sasa. Nyie ndo wadhaifu zaidi. Safari fupi hivi,mnashindwa nini kufika kuwapa msaada?
chakula hakikuwaishia kwasababu waliweka stock ya chakula kingi sana chini ya mahandaki, shida inakuja vingi vimeharibika kwasababu hakuna umeme, mafrizer hayafanyi kazi. jana walionyesha hamas wameanza utaratibu wa kuvamia magari ya msaada na kuteka then wanaiba chakula na maji. wameshafika mwisho, adui mwombee njaa. na mzayuni kafunga mipaka kote hakuna kupitisha chakula kwenda north ndio maana majamaa yameamua kujisalimisha kwasababu ya njaa kali.Kutawadha kutia udhu kwa mchanga safi namfano wake (kutayammam) inafaa kabisa ikibidi kwahio
Kama hii miezi miwili chakula hakikuwaishia hamas basi musahau tena hapo chakula kuisha
Yaani leo idf wa nategemea hamas kuishiwa na vyakula na maji iwe kama ndio njia yakuwashinda
Poleni sana
Tutapita na wewe kama huko zimepungua au yako washaitoaKuna upungufu mkubwa sana wa bikra huko hamas wamejaa
AlhamduliLlah, sisi wa Masjid, wewe wa wapi?Acheni kudanganyana huko masjid magaid wa kiislamu nyinyi ,subirini hao panda hamas wateketezwe
Mkuu watumwa wa fikra wako kazini usishangae.Cjaona mkiumizwa na vita vya sudan na congo Drc kwani na kule watu wanakufa sana. Mpo busy mashariki ya kati
wow, ninyi ndio wale mliopotea kabisa, mnaoabudu mungu wa kiarabu asiyeokoa wala hana mbingu ya kuwapeleka?AlhamduliLlah, sisi wa Masjid, wewe wa wapi?
Wewe ingia kabla haijaunganishwa.....
Mrusi ambaye alikua tegemezi la maustadhi amedhindwa.
Kama wanajisalimisha vita mbona bado inaendeleachakula hakikuwaishia kwasababu waliweka stock ya chakula kingi sana chini ya mahandaki, shida inakuja vingi vimeharibika kwasababu hakuna umeme, mafrizer hayafanyi kazi. jana walionyesha hamas wameanza utaratibu wa kuvamia magari ya msaada na kuteka then wanaiba chakula na maji. wameshafika mwisho, adui mwombee njaa. na mzayuni kafunga mipaka kote hakuna kupitisha chakula kwenda north ndio maana majamaa yameamua kujisalimisha kwasababu ya njaa kali.
waliobaki wengi wanauliwa, stock nyingi ya silaha zao zimekamatwa, wanakimbiakimbia tu chakula ni shida hadi jana wameteka marori matatu ya misaada ya chakula wakakimbia nayo. yalikuwa kusini mwa gaza, shida ni kwamba hawawezi kupanda nayo kaskazini manake myahudi kakata gaza katikati, ukiwa kusini hakuna kupita kwenda kaskazini, na kule kaskazini ndiko walipo hamas wengi kwenye mashimo, ndani kuna joto hewa imeanza kupungua kwasababu umeme wamekata vipeleka hewa kwenye mahandaki havifanyi kazi. kilichobaki wanajificha kwenye yale magofu na kurusha risasi kwa wayahudi, na wengi kweli wanauliwa.Kama wanajisalimisha vita mbona bado inaendelea
Mpaka sasa mateka wangapi wamekombolewawaliobaki wengi wanauliwa, stock nyingi ya silaha zao zimekamatwa, wanakimbiakimbia tu chakula ni shida hadi jana wameteka marori matatu ya misaada ya chakula wakakimbia nayo. yalikuwa kusini mwa gaza, shida ni kwamba hawawezi kupanda nayo kaskazini manake myahudi kakata gaza katikati, ukiwa kusini hakuna kupita kwenda kaskazini, na kule kaskazini ndiko walipo hamas wengi kwenye mashimo, ndani kuna joto hewa imeanza kupungua kwasababu umeme wamekata vipeleka hewa kwenye mahandaki havifanyi kazi. kilichobaki wanajificha kwenye yale magofu na kurusha risasi kwa wayahudi, na wengi kweli wanauliwa.
Hilo hakina ubishiNani kqkwqmbia Al Jazeera ni pro Hamas ????
kwani wapelestina au hamas unajua wameuliwa wangapi?Mpaka sasa mateka wangapi wamekombolewa
Hao wanakuzwa na viongozi wa kiarabu na Western hawana kitu mbele ya Hezbullah na Hamasi.Jeshi la israel ni dhaifu sana. Eneo dogo kuliko kisiwa cha ukerewe wanashindwa nini kumaliza kazi?
Bado unaamini katika propaganda za mashoga.Wazayuni ndio wanamiliki dunia bro na media zote duniani.
Hata hii ni kwa sababu ya vitu lama telegram angalau unapata hata picha ya IDF kadedi.
Unatakiwa kujua jinsi na nani anaendesha dunia kabla ya kulalamika.