Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

Hawa wanamgambo wa Israel walidhani Gaza ni sehemu ya kuonea kama wanavyofanya west bank.

Huko ni vilio tu angalia Mungu alivyokuwa fundi wamekata umeme, wamekata maji, wameharibu barabara, sasa hivi hawajui pakutokea[emoji23]
Hawana akili wale wapuuzi
Na majambo yakigeuka jumla jamala watalia zaidi na kusaga saga meno hawa wapuuzi
 
Waache wafanye watakavyo mkuu,wao ndio wenye mamlaka ila on the ground kichapo kipo pale pale,

Wakiondoa picha uwe unazituma tena,wewe tuma tu,hakuna kurudi nyuma.
 
Hawa wanamgambo wa Israel walidhani Gaza ni sehemu ya kuonea kama wanavyofanya west bank.

Huko ni vilio tu angalia Mungu alivyokuwa fundi wamekata umeme, wamekata maji, wameharibu barabara, sasa hivi hawajui pakutokea[emoji23]

Mnapenda kujifariji sana
 
Wazayuni ndio wanamiliki dunia bro na media zote duniani.
Hata hii ni kwa sababu ya vitu lama telegram angalau unapata hata picha ya IDF kadedi.

Unatakiwa kujua jinsi na nani anaendesha dunia kabla ya kulalamika.
 
Check hii huku LIVE - Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS
 
Labda umesahau kuweka link ya chanzo chako. Chanzo ulichoweka hakisemi maelfu ya askari, kinasema mamia. Na hakisemi askari hao wamezingirwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…