Israel yaua wapalestina 100 wanaosubiri msaada wa chakula

Kwa ujinga ni kweli waarabu ni wazembe sana.
Ila kuna baadhi ya mataifa yanajitahidi mathalan UAE,Qatar na Kuwait yanajitahidi kuwekeza katika elimu na teknolojia kiasi asahv wameanza hata kuunda silaha zao wenyewe.
 
Hamas wanapatiwa dawa kisawasawa.
 
If you say so tukubali Hitler hakua mbaya, kumbe kuua wamama na watoto wa kiyahudi ilikua ni sawa ili kufuta kizazi kiovu? There is no genocide
Escape from sobibor itakuonyesha hawa ziraili walipitia wapi.
Wanachofanya saa hii ni kujilinda tu.
Swali kuu,kwanini hammas walienda kuwachokoza?
 
Mnawakosea heshima sana akina Mandela na Nyerere kuwalinganisha na watu wa jihad. Mandela hakuwaweka rehani raia wake kisa anapigani uhuru.
Jenga hoja zako kwa mifano inayoendana, tofauti na hapo ni upotoshaji unafanya.
Sio kweli Mandela alifanya sana ugaidi wa kulipua majengo ya wazungu. Hivi historia mnaijua kweli, in fact ANC ilikua listed kama kikundi cha kigaidi. Kingine kama hujui Mandela alikua supported na Palestine muda huo Israel ilikua inampa silaha kaburu awatandike waafrika.

Na baada ya uhuru wa sauzi, Mandela alilipa fadhila kwa kuwapa support PLO. So huwezi tenganisha msimamo wa Nyerere na Mandela juu ya Palestina. Wote waliitwq magaidi ila hawakukata tamaa.


View: https://youtu.be/JtjTIS1NOJI?si=J2WeGWTF5-t305L6
Hii ndio ANC halisi ilikua inafanya ugaidi kuliko Hamas ila bado Mandela anaitwa shujaa? Acheni unafiki someni historia
 
Swali kuu,kwanini hammas walienda kuwachokoza?
Hakuna aliyechokozwa? Kile kijiji ni ardhi ya Palestine kilikaliwa na walowezi ambao ni waisrael wakawa wanalima pale wakapora mashamba. So jamaa walichofanya ni kurejesha ardhi yao ambayo ipo ndani ya palestina nothing much.

Ni sawa na useme Zelensky ni mchokozi kisa anapigana na warussia waliopo ndani ya Ukraine huko Donbass au Crimea!! Au Nyerere alipokwenda kuikomboa Kagera utasema aliichokoza Uganda?
 
Hamas wanapatiwa dawa kisawasawa.
Sio Hamas, wamama na watoto!! Kasome takwimu za waliokufa uone Hamas ni wangapi vs wanawake na watoto?

Ni aibu sana majitu mazima kushangilia vifo vya wanawake na watoto. Hivi mtoto kichanga hata bila bunduki huwezi kumuua? Sasa unaendaje kuua katoto ka miezi 6 alafu unajisifia wewe ni jeshi kubwa?
 
Wako wapi wale walioapa kuwalinda wapelestina? Inasikitisha sana hakuna anayekuja kuwasaidia Mpaka Yahudi achoke mwenyewe.
 
Yule Mungu wao mbona hawasaidii Wapalestina nyakati za Taabu?

Ndio Maana Kiranga anasemaga hizi hisia za uwepo Mungu ni Bosheni tu
Nani alikwambia ukiwa na Mungu hupati matatizo?? Afrika tunaongoza kuwa watu wa dini mbona tuna maisha magumu? Ina maana hatuna Mungu? Ila hao wazungu wasio na dini na wanasupport ushoga mbona ndio wenye hela? Je wana Mungu kuliko sisi? Kama hawana kwanini wafanikiwe kuliko sisi?

Ukiweza kujibu hayo utaelewa kwamba Mungu ni zaidi ya mafanikio ya mwilini maana kuna maisha baada ya haya.
 
Watanzania walioenda masomoni Israel waliwasaidiaje waisraeli na ushahidi uliotolewa uko wapi. Hao wapalestina wameshauwawa 30,000, hiyo idadi naona bado ni ndogo sana na inatakiwa walau iwe mara 20 ya hapo. Bure kabisa hayo magaidi.
 
Hao wapalestina wameshauwawa 30,000, hiyo idadi naona bado ni ndogo sana na inatakiwa walau iwe mara 20 ya hapo. Bure kabisa hayo magaidi.

Hawatakuwa radhi nasi mayahudi na wakristo mpaka tufuate mila zao

So, ongea yote. All in all palestina itapata uhuru wake, na hao makafiri watafutika wote.
 
South Africa na huko kwingine ni vitu viwili tofauti kabisa. Vilevile huwezi linganisha Tanganyika na huko unakotetea wewe.
Hao wawili waliamua kuwatete PLO kutokana na Israel kuwasaidia wakoloni wa SA kwa hiyo ilinekana kama Israel ilikuwa inafifisha harakati za Waafrika kujitawala.
 

Kwa nini Gaza iliishambulia Israeli na kuteka baadhi ya Wayahudi na hawataki kuwaachia?

Ni ujinga kuandika habari za kuegemea upande bila kuzitaja sababu za kwa nini mauwaji yanaendelea kati ya Palestine na Israel
Na niseme waziwazi Muslim wengi wanaona kama palestina anaonewa,lakini unafiki na udini ndio unaleta maono hayo,
Kuna ndugu zetu hapa wakongo wanakufa kila siku lakini utasikia keklele za palestina huoni akiombea kongo
 
Escape from sobibor itakuonyesha hawa ziraili walipitia wapi.
Wanachofanya saa hii ni kujilinda tu.
Swali kuu,kwanini hammas walienda kuwachokoza?
Hamas walienda kutetea kilicho chao na kuzuia Israel settlement expansion.
Kila mwaka Israel hufadhili fujo za jewish settlers wavamie makazi ya Wapalestina.
Hiko kitu Hamas kimewachosha wamefanya retaliation.
Kila mwaka IDF inakamata watoto na kuwasweka jela za watu wazima kwa kisingizio cha kurusha mawe watoto chini ya miaka 14.
Je hilo unaliona liko sawa??!!
Kipindi cha waziri wa mpito Yair Lapid Palestina na Israel waliishi kwa amani sana mpaka kuna waisrael wameanzisha biashara Gaza.
Ila Netanyahu ni muumini wa expansion by invasion.
 
Tukubaliane kutokubaliana,
Sipingi chochote ila hawa waliendaje kuwavuruga wenzao.
Kuna video binti kabakwa mpk kajinyea.
Ilikua hiyo oct 7-10.
Na hao Hamas wamevaa Adidas.
Mi niwaonee huruma ya nini.
 
Kaka hata vita ya ukraine na Russia Zelensky ndio mwenye hasara kubwa watu kibao wanakufa na mwisho wa siku silaha zote alizotumia lazima azilipie. Amekopeshwa silaha na marekani na pia unajua silaha za kivita huwa zina-expire kwa hio ni faida kwa Marekani. Pia kuna silaha kibao ambazo Marekani ilikuwa haijazifanyia testing kwenye combat kwa hio hii vita ni fursa yao kujua ubora na ufanisi wa silaha. Kaka sera za ujamaa na haki zimeshapitwa na wakati. Dunia haiangalii mwenye haki inaangalia mwenye disposable income kwa ajili ya maslahi. Mwarabu hana ushawishi na hela aliyonao anatoa kwa mzungu ambako wamejaa wayahudi. Fuatilia nani ilibidi arithi ufalme wa Saudia baada ya Salman bin Abdulaziz Al Saud kufariki ?. Unajua Marekani walifanyaje kumpata mfalme wa sasa hivi ?Unasema China ataisaidia palestine, kuna faida gani china atapata ? Hakuna superpower itakuwa nyuma ya nchi bila maslahi. Fuatilia uanzishwaji wa Israeli ndio utajua kuwa kuna nguvu kubwa sana juu yao. Mataifa makubwa yapo nyuma ya Israel kwa sababu serikali zao zimejaa wayahudi na wanaotoa hela za kampeni za urais katika mataifa ya ulaya na Marekani ni wayahudi. Sasa Hamas wameishia kuswali na kukazania madrasa na kujilipua . Wanavyozidi kuwachokoza Israel wanazidi kujiumiza wao wenyewe. Inabidi watulie waje na plan ya muda mrefu. Huku ulaya sijawahi kuona myahudi masikini. Na wanakaa mtaa mmoja na biashara wanafanya pamoja. Kuhusu Syria hio sio maslahi ya wayahudi. Hao wapalestina ni rahisi kupewa asylum Ulaya nzima na Marekani. Wakishapewa uraia wanaishia kuridhika na kazi za kichoko badala ya kupiga shule. Huku Ujerumani wamejazana kwenye kazi za kijinga jinga. Wahindi hawapewi uraia kirahisi lakini hao ndio mabosi katika viwanda vingi. Inabidi waamke sio siri maana wazungu wa generation Z hawataki kufanya kazi. Tatiizo kubwa la watanzania hatusafiri ila kama tungekuwa tunasafiri tungeamka muda mrefu sana.
 
Acha waune, Palestina waliua wayahudi wakiwa kwenye tamasha ukipenda mziki, wao wamewaua wakiwa kwenye kuchukua chakula , si mnajua hao ni watu wa visasi!
 
Dawa ya gaidi ni kifo tu. October 7,2023. Takbirr zilitawala kila kona, na HAMAS walijigamba wako tayari kupigana, na walijiandaa kwa muda mrefu. Waache wapgane sasa, kufa vitani siyo tatizo. Kumbuka magaidi hawana uniform Israel wanatumia inteligensia. Inteligensia iliwabaini wakiwa wamejichanganya na raia kusubiri msaa wakauwawa.
Dini mchanganye nyie tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…