Israel yaua wapalestina 100 wanaosubiri msaada wa chakula

Mbona Hitler alipochinja wayahudi million 6 hamkusema ni collateral death ila mkaita genocide ilihali Germany ilikua vitani? Ila Israel ikifanyia wengine ndio collateral damage?
Kwahiyo mkuu ulitaka wayahudi wasipigane na waarabu waislamu????
Acha wapigane mbabe ajulikane......sababu wasipopogana waarabu watawafanya kama walivyowafanya wakurdi na wayazidi
 
Hao ni waarabu memba wa hamas waliovua sare za kijeshi baada ya kuzidiwa.......ambao October 07 walikua wanashangilia na kutembeza maiti za wanawake na wanaume wa kiyahudi adharani........wacha wale kichapo heavy.....!!!!
 
WapaLestina kuua wayahudi ni kupigania haki.Wayahudi kuua wapalestina ni unyama.Inaingia akilini hii?
 
Binafsi ninapo kumbuka kuwa hao wa Palestina ni just innocent civilian like me,wanauwawa kila siku huku Dunia mzima inaangalia bila kufanya chochote,Huwa najisemea life is meaningless.

I don't even see the hand of God there helping them.
Hata wayahudi....October 7 waliuawa na waarabu wa kipalestina hivyo hivyo
 
Hata Wakristo Na Wayahudi Mungu wao wa Kiyahudi Yehova kupitia Torati Takatifu na Biblia Takatifu imeshaweka wazi Maarabu na Waislamu watajitahidi kujaribu kuwafanye muwe watumwa wao na sex slave na vijakazi wao.....dawa yao ni kipigo tu ili wasiwazoee.

Hapa Tanzania hasa Zanzbar, Waislamu wanaongoza kwa kuwachukia watu wa dini nyingine....wanatamani wangekua wao tu peke yao nchi nzima.

Nb: Ukiona mtu anatamka neno Mayahudi na sio Wayahudi.....na hataki utamke Maarabu.....ukitamka Maarabu anakasirika....bas unajua mlengo wake
 
Kwahiyo mkuu kwa akili yako unataka tuamini kua wayahudi asili yao pale inaanzia 1947-48????
🤣🤣🤣🤣 MUSLIM,S AND ARABS CHEAP PROPAGANDA,S.....BUT WE DONT BUY IT.
Uzuri historia ipo wazi
 
Mkuu kwahiyo hao waarabu wa sudan.....janjaweed ni ndugu zako na wakiua wabantu wenzio wewe unaona sawa......!!

Kwahiyo unafuraia wabantu wenzio kule darfur wakiuawa na waarabu wa janjaweed???

Wabantu wenzio sio ndugu zako....ila ndugu zako ni Waarabu wa janjaweed???

Duuuuh Waafrika wa Tanganyika bora muendelee tu kua watumwa wa Sultan wa Kiarabu aliyejimilikisha visiwa vya Zanzibar 🤣🤣🤣
 
Ndio tuyaonayo na kuyashuhudia wakifurahia mauwaji dhidi ya ndugu zetu wapalestina, Iraq, Libya, Afghanistan, Sudan n.k
Rubbish..
Kule Sudan kwa mfano, ni waarabu wa Janjaweed ambao ni waislamu ndio wanatekeleza mauaji ya kimbari (genocide) dhidi ya wazawa weusi ambao ni waislamu pia.
Tayari waafrika weusi zaidi ya 250,000 washauliwa na zaidi ya 1m wamesambaratishwa hawana makazi na hamsemi kitu kwa kuwa wauaji ni wafuasi wa mudi, ni wenzenu
 
Israel hajaanza leo kuuwa elewa hivyo na acheni ushabiki

Nendeni mkawasaidie ndugu zenu wacongo wanaouwana kila siku ndio faida na hasara kutokua na IMANI. Ya wapalestina tuachieni sisi ndugu zao.
Kwahiyo wakongomani hawana imani za kiarabu basi sio ndugu zako.
Ila waarabu wa palestina ni ndugu zako????
BASI WAACHE WAKRSTO WAWASHABIKIE NDUGU ZAO KIIMANI WAYAHUDI MAANA WOTE WANAABUDU MUNGU WA KIYAHUDI AITWAE EL SHADAI
 
Chombo kinachotoka habari ndio kile kile Cha kulingania dini ya mnyaanzi ambacho wanazuga wamembeba camera kumbe ni mabomu? Hata hivyo Intelijensia ya izrael ni Kali Sana hawafanyi makosa, wewe gaidi ukifanye mgonjwa, Wana wewe, ukifanye daktari Wana wewe, ukifanye mkimbizi Wana wewe, ukifanye aljazira Wana wewe
 
Mmeshauliwa wangapi mpaka Sasa?

IDF wamekuwa wazembe sana; ilitakiwa waue 670 Kila siku
 
Humu naona michango mingi ni ushabiki wa kitoto usio na logic wala reasoning!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…