Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Kwahiyo mkuu ulitaka wayahudi wasipigane na waarabu waislamu????Mbona Hitler alipochinja wayahudi million 6 hamkusema ni collateral death ila mkaita genocide ilihali Germany ilikua vitani? Ila Israel ikifanyia wengine ndio collateral damage?
Acha wapigane mbabe ajulikane......sababu wasipopogana waarabu watawafanya kama walivyowafanya wakurdi na wayazidi
Kama kawaida yao, ukishazoea kuua utaendelea kuua tu.
Wale wanaoitwa Taifa teule wameendelea na kazi yao ya kufanya wanachoweza kwa ufanisi mkubwa. Leo wameua wapalestina masikini 100, wasio na silaha, ambao wana njaa wakati wakisubiri msaada wa chakula. Wanajeshi wa Israel limefyatulia kundi la watu risasi na kuua wapalestina 100.
Haya yakiwa yanafanyika kuna watu wanafurahi, wanapenda, wanachekelea na wanatamani hawa wapalestina wasio na hatia wanedelee kuuawa
Taarifa za hilo tukio unaweza kuipata hapa: