Iran ndiyo walikuwa namba mbili kuwa na waathirika wengi baada ya China ila wameweza kupunguza kasi ya maambukizi.Naona Irani nae anafukuzia kwa kasi nzuri..
Tafsiri ya haraka ninayopata ni kuwa china hali ilikua mbaya zaidi ila imefichwa.
Miezi minne ni mapema ?Duh!..hii habari ya kuomba ruhusa kuua watu na wewe uliamini ni kweli?
Hizo zilikuwa ni propaganda za mahasimu tuu
Na kitendo cha China kudhibiti huu ugonjwa mapema kimezidi kuwavuruga mahasimu wake.
Mkuu fuatilia habari za kimataifa leo.Wacha utani Bhana! Baba Mtakatifu hawezi kuwa positive kwa Vitu vidogo kama corona!
Hivi habari hamjaisikia? Jana mkuu, ngoja nitafute source niiunge hapaLini Tena?,maana kwanza aliumwa,wakadai Ni flu,akapona
Huenda Italia inatangaza takwimu za ukweli ila wengine wanaficha takwimu!
Mkuu umezisahau Iringa na hapa Mbeya town na Tukuyu naskia ubaridi ni maeneo yanayo wa favor sana hawa wadudu ku survive na kua strong.. [emoji22]ITALY INATAJWA KUWA NI NCHI YENYE MATIBABU BORA, WAO NDIO KWA SASA WAMESHIKA HATAMU KWA KUFA NA CORONA DUNIANI!!
SIPATI PICHA CORONA IKIJIKITA NJOMBE, KATAVI, SUMBAWANGA, TINDE, CHAMAZI, LUSHOTO, SAME, MOMBO, MSATA, KILAKALA NK. . MIMI SIJUI
EWE MOLA WETU TUOKOE WANYONGE SIE.
Amna, mbona German na Iran cases zao zinakaribia kufanana, lkn idad ya vifo ni tofauti kabixa?Naona Irani nae anafukuzia kwa kasi nzuri..
Tafsiri ya haraka ninayopata ni kuwa china hali ilikua mbaya zaidi ila imefichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano sasa hivi China wanadai kuwa maisha yamerudi kama kawaida! Ni uongo mtupu, wanaficha takwimu ili uchumi usizidi kuporomoka!
Mfano sasa hivi China wanadai kuwa maisha yamerudi kama kawaida! Ni uongo mtupu, wanaficha takwimu ili uchumi usizidi kuporomoka!
Ulikua siri lakini sasa imebidi ajenge hospitali PyongyangIvi North Korea kwa Kim Kiduku, huu ugonjwa Corona sijausikia wao wamedhibit vip?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbinu walizotumia China hakuna nchi ya ulaya inaweza kutumia, kule wanafuata demokrasia/haki za binadamu ndio kinacho wacostNawaza walitumia mbinu gani... Wawape wengine mbinu hiyo.... Naona hata US vifo vipo juu kuliko waliorecover.
New cases ni kwa watu wanaoingia kutoka nchi mbalimbali kwa sababu wamefungua mipaka kwa raia wake kurudi nyumbani
Ndio !! Kwa Kasi ya maambukizi ilivyo ni mapema, tena mapema mno.Miezi minne ni mapema ?