Italia yaipiku China kwa idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Covid 19

Italia yaipiku China kwa idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Covid 19

Naona Irani nae anafukuzia kwa kasi nzuri..

Tafsiri ya haraka ninayopata ni kuwa china hali ilikua mbaya zaidi ila imefichwa.
Iran ndiyo walikuwa namba mbili kuwa na waathirika wengi baada ya China ila wameweza kupunguza kasi ya maambukizi.

Hizi nchi za China, Iran na Cuba zinashirikiana katika kutokomeza hili janga. Na kwa kiasi kikubwa wanafanikiwa ndiyo maana Italy wameomba msaada kutoka kwao.
 
Duh!..hii habari ya kuomba ruhusa kuua watu na wewe uliamini ni kweli?

Hizo zilikuwa ni propaganda za mahasimu tuu

Na kitendo cha China kudhibiti huu ugonjwa mapema kimezidi kuwavuruga mahasimu wake.
Miezi minne ni mapema ?
 
Wakuu Elungata na Dusabimana hii habari ya pope kuwa tested positive Conv ni romour na vyombo vya habari nchini Italy waliiongelea sana juzi nikaidaka juu juu nikijua mzee wetu tayari.
 
ITALY INATAJWA KUWA NI NCHI YENYE MATIBABU BORA, WAO NDIO KWA SASA WAMESHIKA HATAMU KWA KUFA NA CORONA DUNIANI!!

SIPATI PICHA CORONA IKIJIKITA NJOMBE, KATAVI, SUMBAWANGA, TINDE, CHAMAZI, LUSHOTO, SAME, MOMBO, MSATA, KILAKALA NK. . MIMI SIJUI

EWE MOLA WETU TUOKOE WANYONGE SIE.
 
Mkuu umezisahau Iringa na hapa Mbeya town na Tukuyu naskia ubaridi ni maeneo yanayo wa favor sana hawa wadudu ku survive na kua strong.. [emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Irani nae anafukuzia kwa kasi nzuri..

Tafsiri ya haraka ninayopata ni kuwa china hali ilikua mbaya zaidi ila imefichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amna, mbona German na Iran cases zao zinakaribia kufanana, lkn idad ya vifo ni tofauti kabixa?
Itakuwa labda ni namna wagonjwa wanavyohudumiwa ndo maana idadi ya vifo zinatofautiana, pia wagonjwa wengi ni wa umri gani?
Kama ni wazee wengi na vifo mtegemee zitakuwa vingi.
 
Italy utamaduni wao wa kusalimiana na mabusu kavu +plus 45% ya population yao ni wazee ugonjwa unasambaa na kuwAua sana hawa watu
 
Back
Top Bottom