Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,577
- 18,774
Iran ndiyo walikuwa namba mbili kuwa na waathirika wengi baada ya China ila wameweza kupunguza kasi ya maambukizi.Naona Irani nae anafukuzia kwa kasi nzuri..
Tafsiri ya haraka ninayopata ni kuwa china hali ilikua mbaya zaidi ila imefichwa.
Hizi nchi za China, Iran na Cuba zinashirikiana katika kutokomeza hili janga. Na kwa kiasi kikubwa wanafanikiwa ndiyo maana Italy wameomba msaada kutoka kwao.