residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Tafsiri mpya ya matusi ni ukweli.Ninasoma komentiii kama hawajaanza matusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafsiri mpya ya matusi ni ukweli.Ninasoma komentiii kama hawajaanza matusi
Nilisikia kwenye Fao la kujitoa NSSF (private sector) Magufuli ameongeza muda hadi 2023 badala ya July 2021 iliyokuwepo mwanzo, ni kweli au ni stori tu za vijiweni maana sina source ya kuaminika kuhusu hilo, kama kuna mwenye source ya kuaminika anijuzeMifuko ya hifadhi za jamii
Katiba mbovu,kuukuu ya kijima iliyo jaa viraka,jeshi la polisi la kikoloni lifumuliwe,mageuzi ya mfumo mzima wa elimu yetu toka wa kinadharia hadi wa kivitendo,wizara ya elimu iwekwe kikatiba ili wanasiasa wasiichezee,yapo mengi sanaWengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi wanashindwa kutoa jibu la haraka.
Sasa leo ningependa kuwauliza katika mtandao wa JF, kwamba ikitokea Tundu Lissu anashinda kiti cha uraisi, na akakuambia toa pendekezo ni kitu gani ambacho Magufuli alikifanya nikiondoe au kukikomesha mara moja, utapendekeza nini?
Well said, haina haja ya serikali kung'ang'ania fedha za watu ambao wamechanga wenyeweArejeshe fao la kujitoa. Fao hili ni muhimu sana kwa ukuaji wa uchumi wa nchi. Kijana akiacha kazi,au akiachishwa au kampuni yake ikifunga biashara akipewa fedha yake aliyoichanga kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii,Kijana huyu ataanzisha biashara, ataendelea kjlipa kodi,ataweza kuajiri watu wawili au watatu.
Kweli hata kumsabahai mtu wa Chadema inakuwa mtihani,hata mademu zetu ambao wapo chadema imekuwa shida kukutana nao,hata kula mizigo imekuwa shidaaaaa wakati zile papuchi hazina nembo ya ccm au chademaarejeshe utangamano haraka sana. sisi na maCCM tushazoea kuishi side by side peacefully.
😂😂😂 kamati roho mbayaAmfunge Magufuli jela miaka 50 halafu baada ya mwaka ampe msamaha wa Rais iwe fundisho
Hatutaki kusikia watu wanaoitwa wasiojulikana. Hatupendi kuishi kwa hofu na kutoaminianaWengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi wanashindwa kutoa jibu la haraka.
Sasa leo ningependa kuwauliza katika mtandao wa JF, kwamba ikitokea Tundu Lissu anashinda kiti cha uraisi, na akakuambia toa pendekezo ni kitu gani ambacho Magufuli alikifanya nikiondoe au kukikomesha mara moja, utapendekeza nini?
1. Kuifuta katiba iliyopoWengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi wanashindwa kutoa jibu la haraka.
Sasa leo ningependa kuwauliza katika mtandao wa JF, kwamba ikitokea Tundu Lissu anashinda kiti cha uraisi, na akakuambia toa pendekezo ni kitu gani ambacho Magufuli alikifanya nikiondoe au kukikomesha mara moja, utapendekeza nini?
1. Aache mpango wa kujenga uwanja mkubwa wa Mpira ChatoWengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi wanashindwa kutoa jibu la haraka.
Sasa leo ningependa kuwauliza katika mtandao wa JF, kwamba ikitokea Tundu Lissu anashinda kiti cha uraisi, na akakuambia toa pendekezo ni kitu gani ambacho Magufuli alikifanya nikiondoe au kukikomesha mara moja, utapendekeza nini?
Rais atoe adhabu ya kumfunga mtu jela na sio mahakama tena? Sasa huo ni utawala au tunarudi kwa Farao!Amfunge Magufuli jela miaka 50 halafu baada ya mwaka ampe msamaha wa Rais iwe fundisho