ITV siyo sahihi kutoa sauti ya Hotuba ya Tundu Lissu katika Mkutano wa ACT-Wazalendo

Kumshauri mh Lissu aseme nini huko ni kutaka kuturudisha kwenye zama za utumwa.

Nini maana ya kuwa chama cha upinzani? Yaani umpangie kiongozi wa chama nini aseme?
Hahaa, kumbe sio Mimi peke yangu nimeona Hili
Sema Tundu Lissu naye itabidi apunguze ukali wa speech zake maana mainstream media zote Sasa zitaogopa kumrusha
 
Yule mama wa kule Njombe anazidi kuididimiza ITV sasa hivi itakuwa kama tbc
 
ITV ishakuwa station ya kilofa na kipumbavu
 
Yaani vyombo vya habari siku hizi vimegeuka nyau kwelikweli

Na huu ni ushahidi kuwa Magufuli kaharibu tasnia ya habari nchini, yaani ITV leo nacho kinakuwa chombo chenye Uwoga wa kurusha tukio kama lilivyo?

Aibu sana hii
Waziri wake wa Habari pekee kati ya Mawaziri wote ndo ametupwa nje kwenye kura za maoni na wanachama wa CCM wa Jimbo lake na kabila lake pamoja na PhD yake. Good riddance, liende zake!
 
Sasa kama anazungumza utumbo unataka waendelee kurusha utumbo wake?
 
Kwa hili wamejishushia sana heshma yao katika jamii ni bora hata wasingerusha matangazo haya...hakika hatuna vyombo vya habari aisee
Ni vizuri chadema mkawa na chombo chenu cha habari. Mnalialia mnatia huruma. Poleni
 
Waziri wake wa Habari pekee kati ya Mawaziri wote ndo ametupwa nje kwenye kura za maoni na wanachama wa CCM wa Jimbo lake na kabila lake pamoja na PhD yake.
Yule mzee nadhani karma itamuandama hadi vumbini..

Hovyo sana na amekipata alichokipa!
Ndagha Kyela!
 
Ni vizuri chadema mkawa na chombo chenu cha habari. Mnalialia mnatia huruma. Poleni
Mnapendwa na wanyonge wa nchi nzima lkn mnakimbilia kuzima speech za watu hahah,kipenzi cha wanyonge bana ni shiida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…