Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ushindi ndio muhimu bwashee!
Ni kweli, kwa waliochoka kushindana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi ndio muhimu bwashee!
Verry true, i smell something fishy. Alafu itakuwa ni wizi wa kishamba sana.Narudia tena, hizo Ni data za kupika zenye nia ovu. Ukweli utakaa hadharani tu.
Huyu kaijage kama ana akili sawasawa angeita mkurugenzi wa TBC amwambie lazima itanga LIVe uzinduzi wa kampeni wa chama cha demokrasia na maendeleo siku hiyo ya kwanza.View attachment 1541030
Hata hivyo hakusema kama vile ambavyo vitakaidi agizo lake vitachukuliwa hatua gani , na wala haifahamiki kama anayo mamlaka ya kushughulikia vyombo vya habari vitakavyotoa habari za upendeleo , maana tayari hapa kibindoni ninayo orodha ya vyombo vya habari vinavyopendelea mgombea mmoja na kutelekeza wengine
Tushawaambia kuwa nyinyi wahamiaji haramu mjiandae kurudi kwenu BurundiUtaelewa 28 October bwashee!
Katika hao wapiga kura waliojiqndikisha
Milion 27 ni kwa Magu
Milio 2 kwa Lisu
Zilizobaki ni kwa Membe na wengineo
Lete data za ukweliHiyo ni data ya kupika yenye nia ovu. Tutajua tu mwisho wa huo mchezo.
Kura zenu mmeshapiga?Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) mh Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347
Pia ameongeza kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania inafanya uchaguzi Mkuu wa kuwapata Madiwani, Wabunge na Rais kwa kutumia fedha za ndani. Kiasi kilichotengwa ni zaidi ya Bilioni 331.
My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lissu si chochote si lolote.
Maendeleo hayana vyama!
Acha bange, Lissu anaingiaje sasa hapo??My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lissu si chochote si lolote.![]()
kumbe matokeo mnayo tayari?Katika hao wapiga kura waliojiqndikisha
Milion 27 ni kwa Magu
Milio 2 kwa Lisu
Zilizobaki ni kwa Membe na wengineo
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) mh Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347
Pia ameongeza kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania inafanya uchaguzi Mkuu wa kuwapata Madiwani, Wabunge na Rais kwa kutumia fedha za ndani. Kiasi kilichotengwa ni zaidi ya Bilioni 331.
My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lissu si chochote si lolote.
Maendeleo hayana vyama!
Lete data za ukweli
Katika hao wapiga kura waliojiqndikisha
Milion 27 ni kwa Magu
Milio 2 kwa Lisu
Zilizobaki ni kwa Membe na wengineo
Nakumbuka makamanda wa chadema walihamasisha wanachama wao kususia hili daftari.Watu milioni 70 wapiga kura 29,188,347 maaaaaaaaaaaaamaaaa weeeeeeeeeeeee
Hawakujitokeza kujiandikisha waishio mitandaoni pekee, mkuu umesahau vipi watu wa mitandaoni wenye kuonyesha vipisi vya laini ya voda vilivyochanwachanwa, kumbe mtu mwenyewe ndio mtumiaji mkubwa wa mtandao wa voda!?Nijuavyo Mimi ni kuwa wengi hawakujitokeza kujiandikisha sababu ya figisu za chaguzi za marudio na S/M. Sasa sijajua hii 29M inatoka wako,isijekuwa kuna kiasi kikubwa cha hii namba itaongezwa kwenye kura za mgombea urais chama tawala ili ionekane kapata kura nyingi na kufikisha adhma ya 90% ya kura.
Anyway,sisi tutadeal na primary votes za kutoka vituoni,huko ndo namba huwa haidanganyi.