Uchaguzi 2020 Jaji Kaijage: Baada ya uhakiki, sasa tuna jumla ya wapiga kura 29,188,347. Vyombo vya Habari vitende haki kwa vyama vyote

dah niliwahi kumuona mtoto wake huyi jaji, wamefanana sana aisee, like father like son
 
Idadi ndogo hata nusu ya watanzania tume wameshindwa kabla ya kuanza nilitegea watanzania wote wajiandikishe tuko zaidi ya milioni 60 kazi ya tume ni hipi
 

kwakweli hiyo namba ni kubwa sana , Wengi walisusia kujiandikisha hasa baada ya ujinga ule wa uchaguzi serikali za mitaa. Mi ninapo ishi jirani zangu wote hakuna hata mmoja aloenda jiandikisha wengine hadi vitambulisho wamepoteza sasa hapa nawaza tuu hivi kweli Ml 29 inatokeaje?
Maana hadi leo Tz hatujafika Ml 61 hapo ondoa fungu kubwa la under 18 ambao inakaribia nusu ya watu wote
 
Si kawaida yetu hata Mkapa alikuwa hana imani na tumeccm



Ni kawaida yenu, mnataka daftari la kutoka mbinguni, nyie hololo.Maana kila kitu kwenu hakifai, hata hiyo tume huru mnayoitaka ikiletwa mtaikataa haiko huru.Number hizo za jaji kaijage zimetoka jipimeni ubavu, wapiga kelele
 
Sasa kama nyomi yake si chochote haya mahangaiko yenu kama mnataka kukata roho yanatoka wapi? Hivi kwa siku moja wewe peke yako una post ngapi juu ya Lissu? Si mngeuchuna tu aje aaibike kwenye sanduku la kura? CCM mumechanganyikiwa mbaya kuanza vijakazi wa Polepole huku mitandaoni hadi huko jumba jeupe na bado kampeni hazijaanza.
 
Hivi hizi data nani mwingine wa kuzihakiki?
Na vituo vya kupigia kura nchi nzima tangu 2015 viliongezwa kufikia 72,000 nchi nzima, Kuna mtu wa upinzani aliwahi kuvihesabu?, hao wapiga kura milioni 29 unaweza kunionyesha majina yao na kujua Kama kweli Wana exist?,je CHADEMA ina ubavu kusimamisha wasimamizi wawili wawili na makini vituo vyote 72,000 nchi nzima na kuwalipa per DM?.. Assume ukiwalipa elfu 20 tu kwa kila mtu, unahitaji bilioni 2.88 na hiyo haitoshi kuwashawishi wasiuze mechi. Hapo ndo utaelewa kwanini CCM itatawala milele. Lissu atakuwa Raisi wa Jamii Forums, wenye akili hata Mbowe anaujua huu ukweli. Mbinu za CCM kushinda zipo nyingi sana.
 
Nakumbuka makamanda wa chadema walihamasisha wanachama wao kususia hili daftari.
Dada wewe mwongo sana, kwa taarifa yako tulihamasishana sana kujiandikisha kuanzia uchaguzi wa Serikali za mitaa uliovurugwa na watawala, na kama hujui chanzo waoga kuvuruga mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa ni baada ya kupata taarifa toka kwa inzi wao kuwa Chadema wameendesha zoezi la kimya kimya la Chadema ni msingi. Kama mlitegemea kete hiyo mumechemsha, tuko hatua nyingi mbele yenu.
 
Aksante. Mamillion hayo ni jumla ya mpiga kura mmojamoja. Kwa hiyo nyomi ikijumlishwa mikoa yote ni zaidi ya mamilioni hayo ya wapiga kura. Angalia: Chuki na ushabiki hupunguza akili.
 
Hiyo ndiyo dawa ya kupunguza udanganyifu. Wadhibiti kura kwenye vituo kabla, baada ya kuhesabu kura, na kutangaza matokeo. Mawakala wahakikishe wanapata nakala za matokeo.
 
Kwani Mh Jaji Kaijage ni mwakilishi wa CCM huko NEC? Kauli yako ya "Kumbe nyomi ya Tundu Lisu si chochote si lolote" inafikirisha sana Mkuu.

MITANO YA UTAWALA WA MKONO WA CHUMA, INATOSHA..
 
Dogo nilikua nawakumbusha tu. Kususia mliona munamkomoa Magufuli, kumbe munajiumiza wenyewe.
 
Kampeni kwa kiswahili tu? Marufuku kampeni kwenye nyumba za ibada? 🤔🤔
Mbona kama wanamlenga mwenyekiti?
 
Pepo mchafu toka
Pepo unayemtesa huyu kijana toka
Pepo wa upumbavu na ujinga toka
Pepo wa kutangatanga mtoke huyu kiumbe.
Unaleta habari vizuri unaongeza uharo wako. Lissu anakutesa sana
Wewe kweli unapepo, sasa unataka kusikia nini? sema usikike ili tuwe tunakuweka uzi unaupenda wewe
 
Thibitisha watu ni Million 70.
Halafu kumbuka kuna wenye umri chini ya miaka kumi na nane (18) ambao hawapigi kura.

Think again.
Idadi ni 59 million, zaidi ya nusu ni underage.
Wangeweka sheria ya lazima mwananchi kupiga kura kama Switzerland. Labda idadi ingeongezeka
 
The best solution ilikuwa kujiandikisha kupiga kura,hilo ndio muhimu,otherwise kubali kuwa mshangiliaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…