Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wachache bosswachache?
Idadi ndogo hata nusu ya watanzania tume wameshindwa kabla ya kuanza nilitegea watanzania wote wajiandikishe tuko zaidi ya milioni 60 kazi ya tume ni hipiMwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) Mhe. Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347
Pia, ameongeza kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania inafanya uchaguzi Mkuu wa kuwapata Madiwani, Wabunge na Rais kwa kutumia fedha za ndani. Kiasi kilichotengwa ni zaidi ya Bilioni 331.
My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lissu si chochote si lolote.
Maendeleo hayana vyama!
Nijuavyo Mimi ni kuwa wengi hawakujitokeza kujiandikisha sababu ya figisu za chaguzi za marudio na S/M. Sasa sijajua hii 29M inatoka wako,isijekuwa kuna kiasi kikubwa cha hii namba itaongezwa kwenye kura za mgombea urais chama tawala ili ionekane kapata kura nyingi na kufikisha adhma ya 90% ya kura.
Anyway,sisi tutadeal na primary votes za kutoka vituoni,huko ndo namba huwa haidanganyi.
Ni kawaida yenu, mnataka daftari la kutoka mbinguni, nyie hololo.Maana kila kitu kwenu hakifai, hata hiyo tume huru mnayoitaka ikiletwa mtaikataa haiko huru.Number hizo za jaji kaijage zimetoka jipimeni ubavu, wapiga kelele
Sasa kama nyomi yake si chochote haya mahangaiko yenu kama mnataka kukata roho yanatoka wapi? Hivi kwa siku moja wewe peke yako una post ngapi juu ya Lissu? Si mngeuchuna tu aje aaibike kwenye sanduku la kura? CCM mumechanganyikiwa mbaya kuanza vijakazi wa Polepole huku mitandaoni hadi huko jumba jeupe na bado kampeni hazijaanza.Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) Mhe. Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347
Pia, ameongeza kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania inafanya uchaguzi Mkuu wa kuwapata Madiwani, Wabunge na Rais kwa kutumia fedha za ndani. Kiasi kilichotengwa ni zaidi ya Bilioni 331.
My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lissu si chochote si lolote.
Maendeleo hayana vyama!
Na vituo vya kupigia kura nchi nzima tangu 2015 viliongezwa kufikia 72,000 nchi nzima, Kuna mtu wa upinzani aliwahi kuvihesabu?, hao wapiga kura milioni 29 unaweza kunionyesha majina yao na kujua Kama kweli Wana exist?,je CHADEMA ina ubavu kusimamisha wasimamizi wawili wawili na makini vituo vyote 72,000 nchi nzima na kuwalipa per DM?.. Assume ukiwalipa elfu 20 tu kwa kila mtu, unahitaji bilioni 2.88 na hiyo haitoshi kuwashawishi wasiuze mechi. Hapo ndo utaelewa kwanini CCM itatawala milele. Lissu atakuwa Raisi wa Jamii Forums, wenye akili hata Mbowe anaujua huu ukweli. Mbinu za CCM kushinda zipo nyingi sana.Hivi hizi data nani mwingine wa kuzihakiki?
Dada wewe mwongo sana, kwa taarifa yako tulihamasishana sana kujiandikisha kuanzia uchaguzi wa Serikali za mitaa uliovurugwa na watawala, na kama hujui chanzo waoga kuvuruga mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa ni baada ya kupata taarifa toka kwa inzi wao kuwa Chadema wameendesha zoezi la kimya kimya la Chadema ni msingi. Kama mlitegemea kete hiyo mumechemsha, tuko hatua nyingi mbele yenu.Nakumbuka makamanda wa chadema walihamasisha wanachama wao kususia hili daftari.
Aksante. Mamillion hayo ni jumla ya mpiga kura mmojamoja. Kwa hiyo nyomi ikijumlishwa mikoa yote ni zaidi ya mamilioni hayo ya wapiga kura. Angalia: Chuki na ushabiki hupunguza akili.Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) Mhe. Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347
Pia, ameongeza kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania inafanya uchaguzi Mkuu wa kuwapata Madiwani, Wabunge na Rais kwa kutumia fedha za ndani. Kiasi kilichotengwa ni zaidi ya Bilioni 331.
My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lissu si chochote si lolote.
Maendeleo hayana vyama!
Hiyo ndiyo dawa ya kupunguza udanganyifu. Wadhibiti kura kwenye vituo kabla, baada ya kuhesabu kura, na kutangaza matokeo. Mawakala wahakikishe wanapata nakala za matokeo.Nijuavyo Mimi ni kuwa wengi hawakujitokeza kujiandikisha sababu ya figisu za chaguzi za marudio na S/M. Sasa sijajua hii 29M inatoka wako,isijekuwa kuna kiasi kikubwa cha hii namba itaongezwa kwenye kura za mgombea urais chama tawala ili ionekane kapata kura nyingi na kufikisha adhma ya 90% ya kura.
Anyway,sisi tutadeal na primary votes za kutoka vituoni,huko ndo namba huwa haidanganyi.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) mh Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347
Source East africa radio
My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lisu si chochote si lolote.
Maendeleo hayana vyama!
======
Daftari la wapiga kura lina wapigakura milioni 29
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa mstaafu, Semistocles Kaijage, amesema daftari la wapiga kura lina wapigakura milioni 29,188,347.
MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC), JAJI WA RUFAA MSTAAFU, SEMISTOCLES KAIJAGE.
Amesema hayo leo katika kikao baina ya NEC na vyama vya siasa nchini.
Amesema bajeti inayotarajiwa kutumika katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu ni Sh. Bilioni 331.7.
Amesema kutakuwa na vituo 80,155 vya kupigia kura na kila kimoja kitakuwa na wapiga kura wasiozidi 500.
Jaji wa Rufaa mstaafu Kaijage amesema jumla ya asasi za kiraia 97 zenye nia ya kuwa watazamaji wa uchaguzi ndizo zimekidhi vigezo na tayari zimepewa taarifa na zinasubiri kupewa vibali wakati ukifika.
Amesema kwa upande wa watazamaji wa uchaguzi wa Kimataifa mwaliko umetolewa na mchakato wa kupokea maombi unaendelea."Wakati ukifika tutawajulisha idadi ya waombaji hao," amesema.
Kuhusu malalamiko ya baadhi ya watendaji wa uchaguzi kutokuwapo ofisini wakati wa uteuzi wa wagombea, Kaijage amesema kitendo hicho ni kinyume cha maadili na kwa namna yoyote hakikubaliki.
" Tume tayari imekutana na wasimamizi wote wa uchaguzi upande wa Tanzania Bara Julai24, jijini Dodoma na msisitizo uliotokewa wazingatie maadili ya Uchaguzi na maelekezo yanayotolewa na NEC,"
Amesema tayari wasimamizi wa uchaguzi wamekwisha kuteuliwa na wanaendelea na mafunzo ambayo yatakamilika Jumatatu.
Pia amevitaka vyama kuwasisitizia wagombea wahakikishe wanajaza fomu kwa usahihi ili kuepuka dosari zinazoweza kuwafanya kushindwa kushindwa kuteuliwa.
Amesema wagombea wana haki ya kisheria ya kuweka pingamizi dhidi ya mgombea mwenzake na kwamba Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Msajili wa Vyama vya Siasa ni miongoni mwa waliopewa haki hiyo.
Mkurugenzi wa NEC, Dk. Wilson Charles, amesema katika kampeni za uchaguzi wagombea wanatakiwa kutumia lugha ya Kiswahili tu na kama eneo husika hawajui pawepo mkalimani.
Pia amesema haitaruhusiwa kampeni kwenye nyumba za ibada au kutumia viongozi wa dini kuwafanyia kampeni.
Dogo nilikua nawakumbusha tu. Kususia mliona munamkomoa Magufuli, kumbe munajiumiza wenyewe.Dada wewe mwongo sana, kwa taarifa yako tulihamasishana sana kujiandikisha kuanzia uchaguzi wa Serikali za mitaa uliovurugwa na watawala, na kama hujui chanzo waoga kuvuruga mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa ni baada ya kupata taarifa toka kwa inzi wao kuwa Chadema wameendesha zoezi la kimya kimya la Chadema ni msingi. Kama mlitegemea kete hiyo mumechemsha, tuko hatua nyingi mbele yenu.
Wewe kweli unapepo, sasa unataka kusikia nini? sema usikike ili tuwe tunakuweka uzi unaupenda wewePepo mchafu toka
Pepo unayemtesa huyu kijana toka
Pepo wa upumbavu na ujinga toka
Pepo wa kutangatanga mtoke huyu kiumbe.
Unaleta habari vizuri unaongeza uharo wako. Lissu anakutesa sana
Kwahiyo unabisha au usikute hata wew hujajiandikishaWatu milioni 70 wapiga kura 29,188,347 maaaaaaaaaaaaamaaaa weeeeeeeeeeeee
Idadi ni 59 million, zaidi ya nusu ni underage.Thibitisha watu ni Million 70.
Halafu kumbuka kuna wenye umri chini ya miaka kumi na nane (18) ambao hawapigi kura.
Think again.
The best solution ilikuwa kujiandikisha kupiga kura,hilo ndio muhimu,otherwise kubali kuwa mshangiliaji.Nijuavyo Mimi ni kuwa wengi hawakujitokeza kujiandikisha sababu ya figisu za chaguzi za marudio na S/M. Sasa sijajua hii 29M inatoka wako,isijekuwa kuna kiasi kikubwa cha hii namba itaongezwa kwenye kura za mgombea urais chama tawala ili ionekane kapata kura nyingi na kufikisha adhma ya 90% ya kura.
Anyway,sisi tutadeal na primary votes za kutoka vituoni,huko ndo namba huwa haidanganyi.