Huyu Mama ni mvivu na mlipua kazi sana. Anafahamika toka akiwa pale Ardhi.Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu.
Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders.
Tunaomba Mahakama immulike na kumshinikia kutoa nakala ya hukumu na drawing order kwa kesi ambazo alishazitolea hukumu/uamuzi.
Sana masta. Na ni mla rushwa mkubwa.Huyu Mama ni mvivu na mlipua kazi sana. Anafahamika toka akiwa pale Ardhi.
Acha uongo Mkuu, ingekua hivyo watu wasingepata haki zaoKATIKA IDARA ILIYOOZA MAHAKAMA POLISI WANAONGOZA.KILA KITU RUSHWA NA UZEMBE UMEKITHIRI
Kwani nakala ya hukumu ni ombi? Au ni takwa la kisheria kwa yeye kuiotoaa? Sheria inatoa Remedy ipi kwa nakala zinazocheleweshwa maliciously?Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu.
Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders.
Tunaomba Mahakama immulike na kumshinikia kutoa nakala ya hukumu na drawing order kwa kesi ambazo alishazitolea hukumu/uamuzi.
Dah!... InatishaMkuu mimi nilikuwa nina shida ofisi flani Dodoma... nilizungushwa wiki nzima.. nenda huku rudi huku..
Ambaye anahusika ndiye ananizungusha na ni mkuu wa idara flan yupo serious kuanzia muonekano na hataki mchezo kwa walio chini yake..
Nikapewa siri.. Kwa shida hii tafuta laki 5 mpelekee asubuhi kwenye bahasha.. Mwambie mkuu nimekuletea shukrani fanya wepesi..
Siku mbili suala liliisha nikaondoka..
Hili nakubaliana na wewe kabisaHuyo Jaji Salma ni kilaza sana hana credentials za kuimudu hio nafasi anafahamika alipata ujaji kimagumashi tu
Hili nakubaliana na wewe. Kuna ujaji wa pichu pia. Huyu anaweza kuwa mmojawapoHuyo Jaji Salma ni kilaza sana hana credentials za kuimudu hio nafasi anafahamika alipata ujaji kimagumashi tu
Duu, kwamba pichu ilihusika ?!Hili nakubaliana na wewe. Kuna ujaji wa pichu pia. Huyu anaweza kuwa mmojawapo
Imo kwenye DNA.Hawa jamaa rushwa ni sehemu ya maisha yao
Niliwahi kuandika hayo:Na kesi za rushwa wanahukumu wao!
Kwanini hii sheria ya rushwa isifutwe ili iwe halali ukitaka huduma ya umma uinunue na anayekuuzia alipe kodi serikalini kutokana na pato hilo la rushwa?
Maana rushwa haiwezi kwisha Tanzania Takukuru na Polisi ndio vinara wa rushwa na nyumba ya kuhukumu wala rushwa inataka rushwa ili ihukumu wala rushwa.