PostGE2025 Jaji Warioba: Naamini Vifo vya Oktoba 29 vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Anajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
Lakini kuna wauaji pia... Walioua watu zaidi ya maelfu!
 
Zee nafiki hili aisee. Limeshindwa maisha Sasa linataka kumshindisha Kila mtu. Litafeli kama lilivyofeli mara zote.
Waziri mkuu mstaafua analipwa 80% ya mshahara wa waziri mkuu aliopo madarakani kwa sasa, yaani huyo hata akikaa ndani mwaka mzima humfikii kipato wewe unaeamka asubuhi daily
 
Kuna watoto waliuliwa kwenye Banda la mpira wakati wanaangalia mpira na wale ni majambazi?
Palikua na amri ya kutotoka nje kuanzia saa 11 jioni 29/10,aliyekua anaonesha mpira nani na kivumbi kile kama hawakua wezi!?
 
Let ask you question Je unaamini Polepole Katekwa kwasababu ya mapenzi au madeni kama ambavyo tume ya Jaji Chande inavyosema? Be honest
Siamini hata kutekwa kwa polepole,ukiangalia mchirizi wa damu kwenye eneo la tukio kuna ukubwa(size) sawa ya matone ya damu toka ndani mpaka nje,kitu kinachoashiria damu ilitiririshwa toka kwenye chombo
Pili,upana toka mchirizi wa damu hadi ukutani unazua shaka ni namna gani walimtoa nje,upana hautoshi mtu kutembea wala hausemi mtu aliburutwa vipi
 
TUME IMEPIGA KURA ,WAZIRI ANAAMBIWA ASITEMBEE,WAZIRI ANAAMBIWA ASITONGOZE PUMBAVU GENGE LA CCM
 
Anajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
Bora mama yetu kipenzi mtetea uislaam tanzania mpendelea waislaam mkomesha wakristo kiboko ya wakatolik angekubali tume ya kimataifa ili na yeye mwenyewe akachunguzwa kama amehusika au la tuondoe huu utata..

Lakini subiri kuna Mashekhe wanazuoni waliobobea kina Mziwanda Kunduche Mwaipopo wanaandaa hoja watatoka kesho mwaka huu wakristo watakiona hawa,huyu mama pepo ni maliyake kwa namna anavoutetea uislaam au unasemaje ndugu ktk Iman?

Kikwete mtoto wamjini anawacheka tu kawabwagia wabongo gunia la misumali,ilimradi maslahi yake hayaingiliwi inatosha, hakuna barabara inayojengwa wala mradi wenye maana meatime Kombo na kundi lake wanakomba wakijuwa huyu ni mzazimber wa mwisho kuwa raisi bongo baada ya huyu hakuna cha Muungano wala Mgandano.
 
Palikua na amri ya kutotoka nje kuanzia saa 11 jioni 29/10,aliyekua anaonesha mpira nani na kivumbi kile kama hawakua wezi!?
Unafikiri watu watapata hela wapi? Wakati ni kazi anayoitegemea kwahiyo kwako Mamie ni busara kuua watu ambao wapo kwenye starehe yao ya kuangalia mpira?
 
Ila tume yako unayoiamini inasema Katekwa kwasababu ya mapenzi? Alafu kama Polepole angekuwa hajatekwa familia yake wasingekuwa wanaangaika kumtafuta kwa muda wote huo. Mimi nakushauri mama angu kuna wakati inabidi uwe realistic ushabiki weka pembeni haya ni maisha ya watu ujue unaweza ukadhiaki alafu ikaja kukuback fire tupo kwa maslahi ya Tanzania Kwanza vyama baadae
 
Mzee wetu hapindishi maneno...
 
Anajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
Unaleta hisia binti, watu hawafanyi vurugu kama wana njia mbadala wa kutatua kero zao. watanzania hawahitaji kuchochewa ili wajue ni nini wananyimwa au wapi wanaonewa. kudhani kuwa wasingetoka kupigania haki zao kama wasingechochewa ni kuwatukana kwamba hawana akili. mpaka waambiwe na mtu mwingine kwamba wanaonewa ndio wapiganie haki zao. weka dini pemben i weka hisia pembeni
 
Ila si mlipewa ushauri na Gwajima, Polepole na wananchi mkawapuuza ulitegemea wananchi watareact vipi
Yaani nchi iendeshwe kwa ushauri wa gwajima na polepole!?..tumia akili basi kidogo
 
Polepole yupo kwenye genge lililokerwa katiba kufuatwa baada ya kifo cha magu,hao familia yake walikwambia ni lini polepole alirudi toka Cuba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…