PostGE2025 Jaji Warioba: Naamini Vifo vya Oktoba 29 vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Watanzania tuko 65m, iweje watu nusu wawe na umri sawa na watoto? Ama unadhani hatukuona voters turn out siku ya uchafuzi mkuu? Sheria inasema inasema ni rais, lakini lazima rais awe amepatikana kihalali na sio kwa kujiweka madarakani.
Daftari la kupiga kura Lina wapiga kura wangapi?..ulipo wewe ndiyo Tanzania nzima?..ulienda kituo cha kupiga kura ukahesabu walioenda kupiga kura?
 
Anajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
Hiyo tume nyingine itakayoundwa kutokana na mapendekezo ya tume ya Chande inakwenda kuwafunga wote waliohusika katika kuileta ile kadhia ya October 29 mwaka jana.

Wapo wanaoongea muda huu kwa sababu ya kutaka kujikinga na tuhuma zinazowasubiri. Wanawahi kusema wameonewa kabla hawajatiwa hatiani.
 
Unapambana aisee, hongera!
Wapingaji wamezindua kampeni mpya ya kusambaza uwongo wao,imeanzishwa na mahojiano ya warioba,ikienda sambamba na mikutano ya chadema na habari za uwongo kama Ile ya bunge la ulaya kutaka Samia aondolewe kwa nguvu
 
Bila kujali hadhi ya mtu,awe kiongozi wa dini, kiongozi mkuu wa serikali mstaafu au mbwa yoyote yule
 
Tume nyingi huwa zinaundwa ili kununua muda , wakishaona hasira ya wananchi imepoa, ripoti inawekwa na kabatini.

Kama serikali inajua polisi walivunja sheria, kwa nini ihitaji tume kuwajua wakati kila operesheni ina logbook na commander?

Kwenye nchi yoyote inayopita kwenye migogoro ya kisiasa, official statistics huwa ni namba za kupoza maumivu ya wananchi tu na siyo kuelezea ukweli.
 
Kawakamate hao askari
 
Rasmi mimi ni mjukuu wa mzee Warioba , mzee wa maana sana uyu
 
Balile chawa mkuu ameumbuka kumbe gazeti lao lilikatazwa kuandika mahojiano ya Warioba.
 
Daftari la kupiga kura Lina wapiga kura wangapi?..ulipo wewe ndiyo Tanzania nzima?..ulienda kituo cha kupiga kura ukahesabu walioenda kupiga kura?
Sibahatishi ninachokisema, hata hiyo idadi ya wapiga kura 37m ni ya uongo. Sensa ya 2022 ilisema tuko 61m, toa hiyo idadi uone kama kuna ukweli hapo. Kwani nikitaka kujua kuwa mwaka huu kuna chakula kingi nchini ni lazima nizinguke nchi nzima mimi binafsi? Serious unaweza kutetea uongo wa wazi vile kwa huu utetezi wa kitoto hivi?
 
Mfungwa namba moja hapo anastahili kuwa Samia. Usidhani kwakuwa kaijiweka madarakani basi ndio msafi kwenye hili. Kajiundia tume na ripoti kaficha ili yeye asiwe muhusika wa uhalifu ule. Tunapotaka katiba mpya ni pamoja na kuhakikisha kuwa rais anashitakiwa. Tazama kinachoendelea Africa Kusini kwa Rais Ramaphosa ndio ujue tunaposema katiba mpya tunamaanisha nini.
 
Utajuaje nchi ina chakula kingi bila takwimu za idara ya kilimo?..kuzalisha chakula kingi hakutegemei tu mvua za kutosha,watanzio tupo zaidi ya 70m,we unabaki na takwimu za 2022,hatuzaani,vijana hawabaleghe?
 
Naona mbogamboga wamejaza sana watu wao humu ndani siku hizi.
 
Utajuaje nchi ina chakula kingi bila takwimu za idara ya kilimo?..kuzalisha chakula kingi hakutegemei tu mvua za kutosha,watanzio tupo zaidi ya 70m,we unabaki na takwimu za 2022,hatuzaani,vijana hawabaleghe?
Idara ya kilimo ni baadhi ya chanzo tu, lakini sio pekee.

Kuhusu idadi ya wapiga kura ni kwamba nyie ni wezi lakini hamjui hesabu, rudini mkajifunze hesabu, hiki si kizazi cha wajinga tena.
 
Mkuu tusiandikie mate wakati wino upo. Ngoja hiyo tume ianze kazi na majina ya wanaoshtakiwa yatajwe, ndipo ukweli utaujua.

Wakati bado hujaipata katiba mpya SSH ndio rais wako utake usitake.
 
Mkuu tusiandikie mate wakati wino upo. Ngoja hiyo tume ianze kazi na majina ya wanaoshtakiwa yatajwe, ndipo ukweli utaujua.

Wakati bado hujaipata katiba mpya SSH ndio rais wako utake usitake.
Tusubiri kazi ya tume iliyoundwa na mtuhumiwa mkuu? Ama unadhani hatujui tume inapewa maagizo na nani?
 
Idara ya kilimo ni baadhi ya chanzo tu, lakini sio pekee.

Kuhusu idadi ya wapiga kura ni kwamba nyie ni wezi lakini hamjui hesabu, rudini mkajifunze hesabu, hiki si kizazi cha wajinga tena.
Pale INEC nna mwanangu nilisoma nae chuo na ana first class,A level alisoma bam
Takwimu za chakula nchi hii hutoka idara ya kilimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…