Sio Butiku snitch. Butiku atakufa baya sana na kifo cha aibuHuyu Mzee amebaki na heshima yake,
Mzee Butiku amenisikitisha sana kwakweli.Sio Butiku snitch. Butiku atakufa baya sana na kifo cha aibu
Sasa hivi anaona aibu, kwa u snitch wake. Ana majuto sana, ila imesha enda maana msaliti hatakiwi samehewaMzee Butiku amenisikitisha sana kwakweli.
Sio Butiku snitch. Butiku atakufa baya sana na kifo cha aibu
Kwa umri ule, hakuwa na haja ya kufanya vile.Sasa hivi anaona aibu, kwa u snitch wake. Ana majuto sana, ila imesha enda maana msaliti hatakiwi samehewa
Ila unafiki nao 🤣🤣🤣🙌🏽Sio Butiku snitch. Butiku atakufa baya sana na kifo cha aibu
Mzee Butiku amenisikitisha sana kwakweli.
Inasikitisha sana, alafu unafiki wa uzeeni hata haipendezi 😎Ila unafiki nao 🤣🤣🤣🙌🏽
Ni kosa kubwa sana kuharibu legacy ya ukoo wako. Gwajiboy jana alisema, ukoo wa Mangungo haukumbukwi, wala hakuna anayelitaka jina hilo, sababu ya usaliti.Njaa ya kutaka kuwamo kwenye tume ya maridhiano baada ya uchaguzi imemponza
Miaka 80, tamaa ya nini tenaa.. Wakati ndio umri wa kuacha legacy. Sasa yeye kaua yote aliyofanya yote na hawato msaidia walio muingiza chakaNjaa ya kutaka kuwamo kwenye tume ya maridhiano baada ya uchaguzi imemponza
Miaka 80, tamaa ya nini tenaa.. Wakati ndio umri wa kuacha legacy. Sasa yeye kaua yote aliyofanya yote na hawato msaidia walio muingiza chaka
Bahati nzuri hilo jambo ( la maridhiano ) halitokuwepo na haliwezekani kuwepo. MO29 nchi inarudi kwenye mikono ya wazalendoButiku na Lipumba tayari wanakodolea kuwa kwenye tume ya maridhiano baada ya uchaguzi. Wazee binafsi sana hao. Kimsingi ni wa kutolea uvivu!
Ameua legacy, hiyo ni mpaka vitukuu na vining'ina vyake, watu watakumbushia tuu.Miaka 80, tamaa ya nini tenaa.. Wakati ndio umri wa kuacha legacy. Sasa yeye kaua yote aliyofanya yote na hawato msaidia walio muingiza chaka
Na yeye awepo mbele kama vipiKauli thabiti:
“Tulipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi kwenye rasimu niliyoiongoza mimi mwenyewe rasimu ya Warioba, wananchi wakatoa maoni yao ila serikali ikawapuuza, wananchi walilalamikia sana Tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki wakatoa mapendekezo yao mkawaona wajinga, mkiwaona barabarani wanadai haki yao kwa nguvu msiwalaumu jilaumuni wenyewe”-; Jaji Warioba.
View attachment 3494486
Mpeleke babakoo ndo awe mbele huyo ameshaliza kulitumikia yaifaNa yeye awepo mbele kama vipi