Jaji Warioba: Wasilaumiwe watakaoingia barabarani kudai haki zao walizonyinyimwa!

Kwa kweli hekima ya mzee Warioba haielezeki. Kama watawala wa sasa wangejaliwa hekima japo robo tu ya hekima ya huyu mzee, Taifa lisingekuwa hapa lilipo.

Tunakuomba sana Mungu wetu uendelee kumjalia maisha marefu yenye afya njema, amani na furaha Mzee Joseph Sinde Warioba, maana katika yeye haki hutamkwa bila ya kupindishapindisha, nawe tunajua ni Mungu wa haki.
 
Hawachelewi kusema amewekewa maneno!
Yote kwa yote mzee warioba aandikwe kwenye kitabu cha historia ya ukombozi wa pili wa taifa.
 
BINGO
 
Mzee ameanza upya?
 
Video iko wapi? Chanzo kiko wapi?

NB: Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa hiyo ni nukuu kutoka kwa huyo Mzee!

Hao wote ni wanafikj tu,wataongea hayo November 2030 kama watakuwa hai.
 
Mimi ni Tomaso mpaka nisikie audio
P
 
Nchi inatakiwa iwe na wazee wenye busara na hekima kama warioba
 
Video iko wapi? Chanzo kiko wapi?

NB: Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa hiyo ni nukuu kutoka kwa huyo Mzee!

Hao wote ni wanafikj tu,wataongea hayo November 2030 kama watakuwa hai.
Hahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…