Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

mbona unasiginia kunguni, nani angeibia nchi bila haya? Angepata urais angeendesha nchi vizuri tu
 
Lowasa alikua anasema mkwere awamu moja inamtosha,wanafki wakamwambia jakaya,kwa kuwa anamjua ana tamaa ya pesa na laana ya Nyerere,akawaambia mwacheni atajikaanga mwenyewe kwa mafuta yake,haikuchukua muda mchongo wa Richmond huu
Kuna meengi tusiyoyajua lakini hawa wanafiki wenye chuki na Kikwete wanazingua sana
 
Kuna ile Sheria inaitwa don't outshine your master.
Lowassa alikuwa very powerful Chamani, kwa hela na ushawishi nje na ndani ya CCM.

But akawakosa wana mkakati kama Mangula upande wake
 
Ukitaka kuwa mnafiki hakikisha hauna soni wala nishai.

Yaani ondoa aibu.

Huyu mzee ana digrii za kutokuwa na soni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…