inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Ushamuona akinywa gahawa na rafikiye yupi umjuaye!?Hatujawahi kumwona hata akinywa naye gahawa baada ya hiyo changamoto halafu leo aseme alikuwa rafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushamuona akinywa gahawa na rafikiye yupi umjuaye!?Hatujawahi kumwona hata akinywa naye gahawa baada ya hiyo changamoto halafu leo aseme alikuwa rafiki
Wema ni baada ya kufa mzee, ukiwa hai hamna kitu kama hicho!.Nikadhani mafisadi wao wanaweza kukata rufaa ya..... kumbe wote tutashiriki hiyo kutu eeh!
Basi tuweni wema basi tutendeane mema tu na kuridhika na alichotupa Mungu kwa uwezo wetu
mbona unasiginia kunguni, nani angeibia nchi bila haya? Angepata urais angeendesha nchi vizuri tuila mzee aisee ana moyo. ningekuwa mimi hata kuongea nisingeongea. tuwe wakweli. lowasa alipiga sana kampeni mzee awe rais, ila sikuile alipoachia ngazi imeweka picha kubwa sana. sitaki kuendelea kusema, ila nimalize kwa kusema pengine ulikuwa mpango wa Mungu manake tungetawaliwa na lowasa leo hii aisee tungekuwa tumeibiwa pesa hadi nchi ingekuwa masikini kuliko ilivyo. thanks JK.
Urais hugaiwi tu, marehem alikua muabudu Mali,nyuma yake kulikua na wafanyabiashara,unadhani nchi ingepona!?Huyu atukakuja kufa kifo kibaya kwasababu ya unafiki na tabia za kiswahili na wivu..hakuta mwenzake awe rais
Mambo ni mengi sana..Aiseeeeee
Vp mkuu au ulimuofa masaburi yako na akasema atakuja kuyasasambua lakini hakuja?!!!Hiki kizee kinafiki sana
Kuna meengi tusiyoyajua lakini hawa wanafiki wenye chuki na Kikwete wanazingua sanaLowasa alikua anasema mkwere awamu moja inamtosha,wanafki wakamwambia jakaya,kwa kuwa anamjua ana tamaa ya pesa na laana ya Nyerere,akawaambia mwacheni atajikaanga mwenyewe kwa mafuta yake,haikuchukua muda mchongo wa Richmond huu
Akamtegeshea ikanasa🤣akawaambia mwacheni atajikaanga mwenyewe kwa mafuta yake,haikuchukua muda mchongo wa Richmond huu
Ukitaka kuwa mnafiki hakikisha hauna soni wala nishai.Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Moyo (JKCI).
Akizungumzia kiongozi huyo, Kikwete amesema Mwaka 2005 tulipoteuliwa kugombea Urais, mwenzangu akaja kuwa Waziri Mkuu tukapata changamoto katikati mwenzangu ikabidi akae pembeni, tukaendelea kuwa pamoja kuwa marafiki na kushirikiana kwa kila linalowezekana"
Kikwete ameongeza kuwa Lowassa ametoa mchango mkubwa katika taifa na yaliyotokea ni changamoto katika maisha lakini hayafuti mema na mazuri aliyofanya kwaajili ya nchi.
Mzee anajua kabisaa sisi ni mazwazwa.Hatujawahi kumwona hata akinywa naye gahawa baada ya hiyo changamoto halafu leo aseme alikuwa rafiki
ulitaka aonge nani ndugukwani ni lazima aongee?
ulitaka aonge nani ndugu
maswala ya kiuongozi hayapo hivyo mkuusiyo lazima kuongea unaweza kaa kimya pia …
maswala ya kiuongozi hayapo hivyo mkuu