Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Ngoja tuendele kusikiliza tintalilaz
Ova
Episode baada ya episode.
Week ya vijembe na mawe ya gizani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuendele kusikiliza tintalilaz
Ova
Chuki ni kujimaliza mwenyeweUnasambaza simu kwenye system ya mwili wako, siku ukiambiwa Una tumor amd kansa ya aina yoyote husishtuke.
Hate if for the weak.
there is no permanent enemy in politics..Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Moyo (JKCI).
Akizungumzia kiongozi huyo, Kikwete amesema Mwaka 2005 tulipoteuliwa kugombea Urais, mwenzangu akaja kuwa Waziri Mkuu tukapata changamoto katikati mwenzangu ikabidi akae pembeni, tukaendelea kuwa pamoja kuwa marafiki na kushirikiana kwa kila linalowezekana"
Kikwete ameongeza kuwa Lowassa ametoa mchango mkubwa katika taifa na yaliyotokea ni changamoto katika maisha lakini hayafuti mema na mazuri aliyofanya kwaajili ya nchi.
Ilikuwa lazima aongee.kwani ni lazima aongee?
Acha mambo ya kitoto, yaani uondoke madarakani kisha urithishe urais kwa rafiki yako?Yeye alivyomaliza miaka kumi yake kulikuwa na shida gani yeye akae pembeni amwachie Lowassa apambane?
Makubaliano huwa yanakuwepo. Kama Blair na Brown, Ruto na Uhuru, JK na Lowassa. Uhuru na JK ni ubinafsi, wivu, husuda uliwaongoza.
Dah kuna kitu muhimu umeongea mkuu hapaKama Sitta alikuwa Kiongozi wao... Makonda ni mtu gani, very interesting hawa Wazee wa CCM wanaona mbali
ENL alidhoofu mara baada ya kukatwa jina na afya haikurudi tena hadi kufarikiHili zee ni hatari kuliko hata mchawi. Kikwete ni mnafiki aliekubuhu
Ilikuwa lazima aongee.
Hata Lowassa aliwahi kusema hawajakutana barabarani.
Unadhani asipoongea yeye ataongea nani?
Na ukiangalia ile kashfa hakuna mahali ambapo kamati ya bunge ilimlazimisha ajiuzulu.Hivi nyie mnaongea nini? Sasa Richmond ilivyobumbuluka, mlitaka Jakaya ndio ang'atuke? Ofcoz ilikuwa lazima Waziri Mkuu ndio asepe. Mnamuonea huruma ya nini? Kwani alivyokubali uwaziri mkuu si alijua consequences zake? Hiyo ndio siasa. Asingetaka siasa angebakia kwao Monduli kuchunga ng'ombe
Una akili za kitoto sana. Viongozi wengi wa Tanzania ni washikaji, watoto, ndugu wa viongozi wa zamani Nape, Makamba, Mhagama, Ridhwani na wengine. Mimi sipendi huo ujinga, ila usaliti ni usaliti. Uwe kwa uhuru na Ruto au JK na lowassa. Siwaungi mkono wote.Acha mambo ya kitoto, yaani uondoke madarakani kisha urithishe urais kwa rafiki yako?
Wakarithishane mali zao siyo nchi ya watu milioni 60.
Kama ulikuwa na kiu ya kutawaliwa na Lowassa ungempigia kura.
Ule ni msiba wa kitaifa.familia ya wafiwa …
Kazi yako ni kumtetea JK aliifikisha nchi pabaya. Madawa ya kulevya, rushwa, maji, umeme, vyote vilikuwa changamoto JPM akaoa jahazi.Na ukiangalia ile kashfa hakuna mahali ambapo kamati ya bunge ilimlazimisha ajiuzulu.
Alihamaki kwa kuwa kamati ya Bunge hakumuhoji.
Jiulize kama kamati haikuona haja ya kumhoji nani aliyemlazimisha kujiuzulu?
Marehemu hakuwa na kifua cha kukabili mikiki mikiki ya kisiasa.
Angetulia aone rais atachukua hatua gani dhidi yake.
Ule ni msiba wa kitaifa.
Na yeye hakwenda pale ili awe msemaji wa serikali, waandishi walitaka aseme chochote namna alivyokuwa anamjua marehemu.
Kama unakumbuka vizuri jk wakati raisi huyu ndugu yake alikuwa anasuka timu ya kumtoa kwa term ya kwanza , wewe unaona ilikuwa sawa? Kwenye siasa alichokipata lowasa ni ajali za kisiasa mmoja akishinda mwingine lazima ashindwe
Sana sanaUnafiki mkubwa sana