Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwongo wale watoto walipangwa eti watiwe mwezi WA April waje washikwe oktoba na ushahidi mwingine hakimu alikataa kabisa, wamebaki na aibu wale majaji wa rufaa na hakimu wao MUNGU atawapa mnachostahiliBabu Seya alifungwa 2004 Rais akiwa Mkapa acheni maneno ya vijiweni kama ungemsikiliza vizuri Magufuli na ukawa na akili alimaanisha Msamaha hauna maana hawakutenda kosa!Wale jamaa ni issue ya nani na nani hawakutenda ila ushenzi ulifanywa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Babu Seya alifungwa 2004 Rais akiwa Mkapa acheni maneno ya vijiweni kama ungemsikiliza vizuri Magufuli na ukawa na akili alimaanisha Msamaha hauna maana hawakutenda kosa!Wale jamaa ni issue ya nani na nani hawakutenda ila ushenzi ulifanywa
Kweli usione mtu kapewa heshima ya kutoka bachelor's degree hadi kuitwa Prof. Dr. JK hakika tambua kuwa anajua figisu, kanuni , na utatuzi makini sana wa mambo hayo.
Wewe unaweza kumwambia mwanao wa kiume aseme amelawitiwa?familia za wale watoto zipo na sio njaa kali labda useme walinunuliwa!Acha maneno ya vijiwe vya kahawaUwongo wale watoto walipangwa eti watiwe mwezi WA April waje washikwe oktoba na ushahidi mwingine hakimu alikataa kabisa, wamebaki na aibu wale majaji wa rufaa na hakimu wao MUNGU atawapa mnachostahili
Ni kweli,babu Seya ni Mfir-aji,ushahidi uliomtia hatiani umepitia hatua nyingi na umetolewa na watu mbalimbali kwa mtiririko unaofanana.Ni kweli JK na Babu Seya ni maadui au ni umbea wetu wabongo?
Hakuna bibadamuasiyetenda dhambi,walihukumiwa kwa makosa yao, na wamesamehewa,je wewe hujawahi kusamehewa? Kwann hupendi wengine wasamehewe?Ni kweli,babu Seya ni Mfir-aji,ushahidi uliomtia hatiani umepitia hatua nyingi na umetolewa na watu mbalimbali kwa mtiririko unaofanana.
Kuna wanataaluma wanaotumia vifaa vya kisayansi,navyo(vifaa)vimewatia hatiani.
Kuna wataalamu wa kupitia mwenendo wa kesi,viambatanisho na kutoa maamuzi wameona hatia,
Kama haikutosha kuna wenye uzoefu wa juu katika umakini wa kuangalia PROCEEDINGS,SUBMISSIONS,na kuoa maamuzi wamerudia na wakarudia walio juu zaidi trna katika vipindi tofauti,bado waliona kuna UKWELI.
Pia Mzee Seya alifungwa wakati wa rais mwingine,na huyu wanaedai ndiyo mastermind hakuwa rais,je Mr. BEN aliridhika na UONEVU?
Zile familia za wale watoto walikuwa na shida gani?
Babu Seya alitendabmakosa.
Kuna watu wanageuza hisia kuwakisa chakweli kituhawana ukweli nacho wanashabikia kuonesha mgongano jpm amesema wamekirikutenda kosa maranyingi nakuomba msamaha sasa hayo ya mama s yanatoka wapi waache kumshushia mama wa watu heshima yake nawakumbuke nimke wamtu alafu anawanae ambao wanapokea mafunzo kutoka kwa mama yao kumzushia kitu ni kumzalilisha babu hakufungwa utawala wa jkBabu Seya alifungwa 2004 Rais akiwa Mkapa acheni maneno ya vijiweni kama ungemsikiliza vizuri Magufuli na ukawa na akili alimaanisha Msamaha hauna maana hawakutenda kosa!Wale jamaa ni issue ya nani na nani hawakutenda ila ushenzi ulifanywa
Umbea tu kama kunamtu anaoushahidi au kavideo aweke tujadiliNi kweli JK na Babu Seya ni maadui au ni umbea wetu wabongo?
Jana kuna mdada humu ana msimamo huo, nikamuomba ushahidi akabaki anapiga mboyoyo! Na haya yaliyokea JK akiwa Waziri, hakuwa na nguvu ya kimagogoni!Ni kweli JK na Babu Seya ni maadui au ni umbea wetu wabongo?
Majungu tu hayo!Ni kweli JK na Babu Seya ni maadui au ni umbea wetu wabongo?
Kama wangekuwa maadui Babu SEYA asingewepo chin ya hili jua,Naina watu wanaushabikia ushoga kwa nguvu zoteNi kweli JK na Babu Seya ni maadui au ni umbea wetu wabongo?