Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

Hata kama hauamini kuhusu uwepo wa Mungu unapaswa kuheshimu watu wanao amini pamoja na njia wanazo tumia kumuamini.
 

Akifufuka Bakii utajificha wapi?
 
Wanafanya kwa ajili ya nafsi zao. Funga za hivyo Mungu Huwa Hana haja nazo.
imeandikwa tumefaradhishiwa kufunga km walivyofaradhishiwa waliokuja kabla yetu ili tupate Kumcha MwenyeziMungu. Sasa km kuna wanaofunga machoni mwa watu then wakiwa wenyewe wanakula ndio hawamchi MwenyeziMungu hao
 
2014 mwanangu alichanaga baada ya kubishana sana unageuka chura na unalaaniwa alipochana tukasubir mpaka mwezi akaja akaichana tena Daah huyu mbwa nikimuangalia mpaka leo simmalizi sisi tuliokuwa tunajifanya wsshika dini mambo magumu ila yeye anazidi kupasua tu.
 
Mbaya sanaaaa Kucheza na Mungu hata Gadafi aliwahi kupasua Bible pale Dom leo yupo wapi ni vema kuheshimu Imani ya Mwenzio
 
Choma mkuu,,usitishwe na kiberenge yeyote,,

Halafu utatupa mrejesho.


Hata ukichana biblia huwezi kufa, acheni upumbavu wenu, hivi vitabu vina maana na nguvu sana, kwa watu wanabyoviamini na kufunuliwa kuviamini, kwa wengine ni magazeti, wakichana hakuna shida
 
Hata kama hauamini kuhusu uwepo wa Mungu unapaswa kuheshimu watu wanao amini pamoja na njia wanazo tumia kumuamini.
Mkuu Likud,

Kuna ubaya gani mtu kuchana kitabu alichonunua kwa pesa yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…