Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

Ulifanyaje mkuu?...ulitembeza kichapo?
 
Huyo muuaji amechukua maamuzi ya haraka sana,pengine hizo msg pia huyo Mama alikua anampanga tu huyo Mwanaume mwingine ili ampige pesa,angeomba DNA TEST na hata kama majibu yangekuja kua sio mwanae basi angefanya kama alikua katoa sadaka tu,

Mtoto hakua na kosa lolote,yeye ange deal na Mkewe tu But imesha kua too late,

Usichukue maamuzi ukiwa na hasira wala usitoe ahadi ukiwa na furaha.
 
Mi hata bure sikubali wala panga nyumbani kwangu silitaki maana nishajijua
angalia kama hawa!!

Mfanyakazi wa mgahawa wa Subway Northside Drive, Atlanta Marekani amefariki huku mwingine akilazwa Hospitali baada ya kupigwa risasi na Mteja aliyedai kawekewa mayonaizi nyingi kwenye mkate wake “alianza kufyetua risasi, amini usiamini… chanzo ni mayonaizi” #MillardAyoUPDATES https://t.co/VvvPih5wu3
 
Sa si ndo akili zangu izoo🤒🤒
 
Mleta mada na wengineo; sijui hiyo video ya global inasemaje ila nilifuatilia hiyo habari kwa Geah Habib. Huyo dada alisema alikutana na jamaa tayari dada akiwa na mtoto wake; so dada hakuchepuka wala hakumbambika mtoto. Na jamaa alikuwa anaipenda tu familia yake, na hata majirani wanasema hawajawahi kuwasikia wakigombana (at least ya kudraw attention ya watu).

Ndiyo nimeichungulia hapa naona Mwenyekiti anasema "mwanaume alifikiri yule ni mtoto wake ila akaja akathibitishiwa kuwa mtoto sio wa kwake". Hekaheka indeed....
 
Jamaa angefanya fair decision tu ya kuachana na mama lakini sio kuuwa na mbaya zaidi unauwa kiumbe kisichokuwa na hatia bora hata angeuwa mama hapo kidogo ungesema kauwa adui yake mara baada ya kugundua
Kibaya zaidi hafikirii nini hatima ya maamuzi yake huko mbele,haya sasa anaenda kula kifungo,je amefaidika na nini,huenda alikuwa anategemewa na ndugu zake ina maana amewaangusha!!

Guys kabla hatujafanya stupid decision tuwe tunafikiria Kwanza!
 
Hawa wenzetu sijuagi wana shida gani kuuana kwao ni jambo la kawaida sana.
 
Sasa vipi kuhusu mama huyo aliyezaa nae yupo katika Hali gani mkuu?
 
Vizuri,safi sana

Wanawake hawana huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…