Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Chai...
Kuna siku nilimpa 30 akasema "kazi nmekuconnect ya mil 30 kwa mwaka Wewe unanipa afu30?"

Thread 'Kwa huu mshahara, take home ni shingapi?' Kwa huu mshahara, take home ni shingapi?
 
Kuna siku nilimpa 30 akasema "kazi nmekuconnect ya mil 30 kwa mwaka Wewe unanipa afu30?"
Hongera mil 30 per annual. Wengine tuna earn 12 mil per annual, ukizingatia mtu una direct dependants 7.

Da kazi kweli kweli/ job true true Mjanja M1

Cha kufanya kama ulivyosema kuwa ni jamaa Yako, lakini tunajua huyo hafai hata kuwa rafiki. Chukua mil 1 iweke kwenye bahasha kishi mfuate kwake, piga naye stori za kukumbushia alipokutoa kipindi unapitia wakati mgumu, halafu mkabidhi hiyo bahasha na uwambie kabisa kuwa hiyo ni shukrani.

Kingine mkuu kama unaweza anza taratibu kumukwepa kwenye kujumuika naye, ila usimteme kabia kwani wahenga walisema usitupe jongoo na mti wake Wala usijaribu kunyea kambi.
 
Ntafanya ivi
 
kuna jamaa ndugu ayangu nilisha mtoa kama hivyo...nikikutana nae ananicare hadi nakataa bill anataka kulipa yeye..hadi na mkwepa...japo yangu yalienda mrama yeye yupo safi na sihesabu..nkimkopa namlipa..simdai kitu...aqjifunze kufanya yake...
 
Dah uyu jamaa anataka niwe namuabudu sasa
Kuna jamaa ni km ndugu alinisaidia kipindi changamoto.
Sasa imekua km tabu,na nishamtoa sana tu.
Kwasiku misscall zake 10 kawaida tu.
Sasa nashindwa kuelewa ananidai?
Jibu NO,
Sikuwai kukopa hela kwake.
Nikazima data mpk akome,na mara ya mwisho nilimwambia siku ingine tuwe tunajuliana hali kwa msg basi,sio hela,hela,hela tu.
Unamkataa mazima tu isiwe tabu.
 
Kuna siku nilimpa 30 akasema "kazi nmekuconnect ya mil 30 kwa mwaka Wewe unanipa afu30?"
Sasa bro kazi ya milioni 30 kwa mwaka unalalamika jamaa kuwa hivyo?

Hata mimi kwakweli nisingekaa kimya au unaielewa vipi milioni 30?

Kimsingi ningekuwa mimi ndio jamaa ningehamia kwako kabisa ili unitunze kama mzazi wako. Jamaa ana moyo wa kiutu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…