Jamaa yangu Kwa wazazi wake ni pachafu Sana. Mama yake anaishi Kama mnyama

Mtoa mada, MATAKO yako......umekaa kidadada wa uswazi....shenzi type...Mambo ya watu unaleta huku? Tako wewe
 
Acha kufuatilia maisha ya watu kijana!

Hajakupeleka kwa lengo hilo! Nyie ndio mkikutana na classmate mnakutaka kujua maendeleo yake!
Itakusaidia nini?
Rafiki mzuri ni yule asiyeridhika na ujinga wa mwenzie, cha muhimu amshauri awarekebishie mazingira nyumbani kwao kama ana uwezo, hajafanya vibaya kujiskia vibaya mama wa mwenzie kuishi maisha duni. Kuna watu huwa wanaishi wanajisahau huko mjini kwamba wazazi wake walibaki na dhiki ili wamlee aje kufanikiwa, wakifanikiwa wanasahau hata ndugu wanabadilisha wale wenye pesa ndo wanakuwa ndugu wanasahau wazazi walio wazaa na kuwalea
 
Wote mnaotukana akili zenu ni ndogo mno na pengine majumbani mwenu pia mmepasahau wazazi wenu wanaishi maisha ya dhiki hamuwezi karibisha marafiki wala workmates zenu sababu ya aibu, rafiki mzuri ni yule anayeumia juu ya hali ya mwenzie akamshauri akafanya jambo la maendeleo kwao.
 
Umasikini ni mbaya sana! Hapo watu mmekereka jamaa kutokufurahishwa na maisha ya mama wa rafiki, nimempenda mleta mada maana imewagusa wengi na hivi wengine maisha ni apeche alolo basi mmetukana! Chukueni hiyo iwasiadie mrekebishe mlipojisahau na mjue huwa ni aibu kubwa mnajipa kwa wenzenu mnaishi maisha mazuri afu mzazi huko anaishi kama kabwela masikini Lazaro akasome
 
HILI NI FUNZO..TUMUOMBE SANA MUNGU ATUSAIDIE TUWE NA MAISHA BORA ILI HAPO BAADAE TUSITEGEMEE WATOTO MAANA WATOTO TUMEWAZAA SISI WAZAZI.

SEMA NAE MTOTO KIDOGO AJIONGEZE KUPABORESHA NYUMBANI JAPO SIO LAZIMA.
Acha kukumbatia tamaduni za westerners, hapa sio Marekani ni Tanzania.

Mtoto ni lazima asaidie na kuhudumia wazazi wake atake asitake sababu hiyo ndiyo maana ya kuwa binadamu.

Sio lazima? Ungekuwa karibu ningekuzaba kofi akili ikae sawa.
 
Weka picha
 
Jenga kwenu ndugu acha lawama.
 
Yaani hata kama kwenu ni pazuri sana wengine wivu ndio utazidi mwingine ashindwi kwenda kuloga vitu viharibike.Ni muhimu sana kuangalia watu tunaowakaribisha majumbani mwetu.
 
Mengine yanazidi hadi kukaa kimya unaona "zambi"
 
Ipo kwa watu wengi sana maarufu ambao maisha yao na ya wazazi wao huwezi kutegemea
Nakumbuka kuna jamaa mmoja alifiwa na mama yake , tukasafiri ili tukashiriki maziko alituelekeza kanisani ambapo misa infefanyika hakutaka kabisa tufike kwao kwenye msiba, na alivyo na misofa hapa mjini tukajiongeza, tukaishia kutazamana tu
 
Mpuuzi kabisa wewe, ulienda kuchunguza maisha ya watu?
 
Maisha ya wengi yapo hivyo kwao
Na wewe kama kweni baba yako alihangaika akaweka mambo vizuri basi shangazi yako yuko kama huyo mama na huyo ni dada wa baba yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…