Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndiyo Unafki wa Mtu mweusi. Ulipaswa kumuuliza huyo rafiki yako 😀😀😀😆Ulimuuliza huyo rafiki yako?
Mtoa mada, MATAKO yako......umekaa kidadada wa uswazi....shenzi type...Mambo ya watu unaleta huku? Tako weweHuyo rafiki yako anakuamini sana na anajua wewe ni rafiki yake wa kweli kabisa,
ndio maana hakua na wasiwasi akakupeleka kwao,
Cha ajabu badala ya kumshauri kama rafiki yako na mtu aliyekuamini,wewe umekimbilia kuja JF kumuanika hali ya kwao na kuja kutuuliza sisi hapa!
Kwanini usingemuuliza huyo rafiki yako huko huko?
Baada ya wewe kuona maisha ya huyo Mama mzee yalivyo,wewe ulitoa msaada gani au ushauri gani? au ndio umekimbilia tu huku JF?
Ungemsaidia huyo Mama ingependeza zaidi au ungemshauri Rafiki yako live ingekua sawa kabisa.
Mkuu mbona unanifokea mimi tena? naona umeniquote,Mtoa mada, MATAKO yako......umekaa kidadada wa uswazi....shenzi type...Mambo ya watu unaleta huku? Tako wewe
Rafiki mzuri ni yule asiyeridhika na ujinga wa mwenzie, cha muhimu amshauri awarekebishie mazingira nyumbani kwao kama ana uwezo, hajafanya vibaya kujiskia vibaya mama wa mwenzie kuishi maisha duni. Kuna watu huwa wanaishi wanajisahau huko mjini kwamba wazazi wake walibaki na dhiki ili wamlee aje kufanikiwa, wakifanikiwa wanasahau hata ndugu wanabadilisha wale wenye pesa ndo wanakuwa ndugu wanasahau wazazi walio wazaa na kuwaleaAcha kufuatilia maisha ya watu kijana!
Hajakupeleka kwa lengo hilo! Nyie ndio mkikutana na classmate mnakutaka kujua maendeleo yake!
Itakusaidia nini?
Acha kukumbatia tamaduni za westerners, hapa sio Marekani ni Tanzania.HILI NI FUNZO..TUMUOMBE SANA MUNGU ATUSAIDIE TUWE NA MAISHA BORA ILI HAPO BAADAE TUSITEGEMEE WATOTO MAANA WATOTO TUMEWAZAA SISI WAZAZI.
SEMA NAE MTOTO KIDOGO AJIONGEZE KUPABORESHA NYUMBANI JAPO SIO LAZIMA.
Weka pichaKuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu
Tafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti.
Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama yake anaishi Kama mnyama.
Nyumba hovyo, choo cha makuti hamna maji, mama yake around 70 yrs anabeba ndoo ya maji kichwani.
Is all about shit.
Hivi inakuaje mtu unaishi mjini vizuri then wazazi wanaishi sehemu chafu Kama hizo wanapikia makuni, wanakunywa maji ya visima vichafu, hawana miundombinu mizuri.
HahahahahaNdio maisha ya wadau wengi huko mjini
Jenga kwenu ndugu acha lawama.Ndiyo maana hata nikipata msiba sitaki kusindikizwa na wafanyakazi nyumbani. Naenda kimya kimya tu.
Kuna mfanyakazi mwenzetu alifiwa na baba yake. Colleagues Waliomsindikiza wakaja kutangaza kuwa wazazi wa mfiwa Wana makazi Duni.
Nyie marafiki wa kazini mwapenda kutangaza mambo ya watu. Mnakuja kama marafiki kumbe ni wapumbavu tu🖕🏿🖕🏿
Yaani hata kama kwenu ni pazuri sana wengine wivu ndio utazidi mwingine ashindwi kwenda kuloga vitu viharibike.Ni muhimu sana kuangalia watu tunaowakaribisha majumbani mwetu.Ndiyo maana hata nikipata msiba sitaki kusindikizwa na wafanyakazi nyumbani. Naenda kimya kimya tu.
Kuna mfanyakazi mwenzetu alifiwa na baba yake. Colleagues Waliomsindikiza wakaja kutangaza kuwa wazazi wa mfiwa Wana makazi Duni.
Nyie marafiki wa kazini mwapenda kutangaza mambo ya watu. Mnakuja kama marafiki kumbe ni wapumbavu tu🖕🏿🖕🏿
Mengine yanazidi hadi kukaa kimya unaona "zambi"Ndiyo maana hata nikipata msiba sitaki kusindikizwa na wafanyakazi nyumbani. Naenda kimya kimya tu.
Kuna mfanyakazi mwenzetu alifiwa na baba yake. Colleagues Waliomsindikiza wakaja kutangaza kuwa wazazi wa mfiwa Wana makazi Duni.
Nyie marafiki wa kazini mwapenda kutangaza mambo ya watu. Mnakuja kama marafiki kumbe ni wapumbavu tu🖕🏿🖕🏿
Ipo kwa watu wengi sana maarufu ambao maisha yao na ya wazazi wao huwezi kutegemeaKuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu
Tafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti.
Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama yake anaishi Kama mnyama.
Nyumba hovyo, choo cha makuti hamna maji, mama yake around 70 yrs anabeba ndoo ya maji kichwani.
Is all about shit.
Hivi inakuaje mtu unaishi mjini vizuri then wazazi wanaishi sehemu chafu Kama hizo wanapikia makuni, wanakunywa maji ya visima vichafu, hawana miundombinu mizuri.
Mpuuzi kabisa wewe, ulienda kuchunguza maisha ya watu?Kuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu