James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

Ma-CCM katika ubora wao.

Hizi hela zimeliwa na genge la wala nchi na ndio maana imekuwa vigumu kuendelea na hii kesi.
Waliopitishia pesa kwa wakina rugemalilabwapo nje wanakula maisha mzee wa watu kakaa mahabusu miaka zaidi ya mi 4 huu ni uonevu wa hali ya juu.
 
Sisi tunachotaka kwa mzee atushushie bei za Heineken tu mpaka 2500 basi.

Wengine wala hatuhitaji maendeleo sisi ni bia tamu asikwambie mtu bana.
Wewe huhitaji maendeleo, ila kuna watu huko vijijini wanalala chini hospitals, akina mama wajawazito gharama za kujifungua zipo juu, gharama za maiti, na vingine vingi.

Wewe ni mbinafsi, usipende kuhesabu tumbo lako tu. Eti 'ashushe heinken mpaka 2500', kwa hiyo hata asipoboresha huduma za afya ni sawa sio? Shame!
 
Mwendawazimu alikufa tarehe 17/ 03/ 21 na kuzikwa kule Chato. Kama unamaindi, Go to hell as well
Hakuna aliye-mind ila tu nikutahadharishe kuwa kuna Magufuli wengi mno wenye misimamo kuliko mwenda zake. So, take care usijisahau sana. Kujua wapo wapi kwa sasa na wanafanya nini, sio kazi yako.

Kujua ni baada ya muda gani watatokea, sio muda wako. Jua tu wapo na kuna hatari kubwa mbele.
 

Acheni kutisha watu nyinyi.. kama watoto vile kwa sarakasi hizi!
 
Yaani tuna DPP wa aina gani katika taifa.hawapaswi kututoa kwenye mstari juu ya kesi ya kihuni ya Mbowe.
 

Huyu mwanaume
 
"China Mafisadi wana adhibiwa, huku Mafisadi wamekuwa kama Inspiration....."

Maneno ya mlevi mmoja alisikika akisema, baada ya hapo akamalizia "Mtanikumbuka...............".

Hapo ndipo nami nikagundua tuna safari ndefu sana kukijenga kuzazi chenye uchungu, uzalendo na uaminifu kwa taifa hili kwa manufaa ya kizazi kijacho, yaani unashangaa mpaka wale waliomponda kwa miaka mitano mfululizo kwenye majukwaa na kwenye magazeti yao ya kwamba mwizi, leo wanadai alionewa. Kweli yule mlevi alikuwa sawa "MTANIKUMBUKA "
 
watakuwa hawajampora kweli?, ni mzalendo kwa tz na si serekali ya ccm. uonevu tangu asubuhi mpaka jioni. eti hawanania ya kuendelea na kesi

Anaweza akauchuna, zikapita hata tawala mbili then wanaye au wajukuu zake wakaja ifufua kesi...
 
Unajua remote ya nchi nayo ilihusika katika mchongo huo hivyo ni lazima aachiwe huru kwa maamuzi ya remote ya nchi yetu ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…