James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

Parker Solar Probe Nielezee kuhusu hii kitu,pia kuhusu defensive asteroid kutoka nasa
 
Kanungila Karim anajibu swali lako hivi!
Mlipuko mkuu au mlipuko asilia (kwa Kiingereza Big Bang ) ni nadharia ya ki sayansi kuhusu chanzo cha
ulimwengu inayojaribu kueleza sababu ya kutokea kwa nyota , magalaksi na anga kwa jumla jinsi tunavyoviona leo.
Kutokea kwa ulimwengu
Kufuatana na nadharia hii ulimwengu ulitokea mahali pamoja padogo sana penye joto na densiti kubwa, pasipo na nyota wala atomi wala umbo lolote. Hali hiyo inaelezwa ilikuwa ya pekee.
Takriban miaka bilioni 14 iliyopita
  1. [1] anga la ulimwengu lilianza kupanuka haraka na katika
mchakato huo atomi ziliundwa zilizoendelea kujenga
mata tunavyoijua na kuwa nyota na magalaksi.
Ulimwengu unaendelea bado kupanuka na wakati huohuo kupoa. Nafasi ya ulimwengu inapanuka na katika mwendo huu halijoto inapungua.
Jina
Jina la "Big Bang" lilibuniwa na mwanafizikia Fred Hoyle aliyepinga nadharia hii, lakini wengine walioitetea walipenda jina, hivyo likabaki.
  • 2]Athari ya Doppler na mlipuko mkuu
Sababu za kubuni nadharia ya mlipuko mkubwa ni kutafuta maelezo kwa vipimo vinavyopatikana kuhusu anga la ulimwengu.
Sababu muhimu zaidi ni mabadiliko ya nuru ya galaksi ambazo zinaonekana kuwa mbali sana. Nuru hiyo inasogea kwa upande wa nyekundu zaidi katika spektra yake. Huu msogeo wekundu (ing.
redshift ) wa nuru ya nyota za mbali huelezwa kwa
athari ya Doppler . Maana yake ni kwamba, kama kitu kinaelekea kwenda mbali nasi, rangi yake huelekea kuwa nyekundu zaidi kwa sababu mwendo wake hupanusha masafa ya mawimbi ya nuru. Nyekundu ina urefu mkubwa zaidi kati ya mawimbi ya nuru ya rangi zinazoonekana. Kadiri jinsi mwelekeo mwekundu unavyoongezeka vile, kitu kina mwendo wa haraka zaidi kuelekea mbali nasi.
Dalili nyingine ni mnururisho wa mandharinyuma (ing. cosmic background radiation ) uliowahi kutabiriwa kinadharia na wanafizikia tangu miaka ya 1930. Iligunduliwa na kuthebitishwa kwa njia ya vipimo tangu mwaka 1964. Huu ni mnururisho dhaifu sana usio na asili katika nyota au galaksi yoyote; leo hii wanasayansi wengi wanaiona kama mabaki ya nishati wa mlipuko mkuu inayoendelea kijaza ulimwengu.
  • Kutokana na vipimo hivyo wanasayansi wengi kabisa wa fizikia na astronomia wanaona ya kuwa nadharia ya mlipuko asilia inaeleza vizuri zaidi vipimo vinavyopatikana kuhusu ulimwengu.
  • [3]
Nadharia hii inaonekana pa kupatana na makadirio kuhusu viwango vya elementi vya ki kemia vinavyogunduliwa katika anga la ulimwengu.
Kuna tofauti ya mawazo kama mlipuko mkuu ulikuwa chanzo kabisa cha ulimwengu au kama uliwengu mwingine ulikuwepo kabla yake, na labda mwendo wa kupanuka unaweza kurudishwa katika mwendo wa kukaza siku moja hadi mata yote kuwa mahali pamoja na kulipuka tena. [3]
Falsafa na dini
Nadharia hii ina umuhimu pia kwa falsafa na dini , ambazo pia zinaeleza chanzo cha ulimwengu, k.mf. kwa kusema umeumbwa na Mungu .
Kuna wafuasi wa dini mbalimbali wanaopinga nadharia hiyo wakiona hailingani na imani yao. [4]
Kinyume chake wako wengine wanaosema kuwa nadharia ya mlipuko mkubwa inalingana vema na
hoja ya uumbaji unaoendelea kupitia sheria za maumbile zinazozidi kugunduliwa na sayansi .
Mwanzilishi mwenyewe wa nadharia hiyo alikuwa
Georges Lemaitre (1894 - 1966 ), padre wa Kanisa Katoliki kutoka Ubelgiji . Ndiye aliyependekeza nadharia hiyo mwaka 1927 , akifuatwa na wengine wengi zaidi na zaidi.
Kwa mtazamo wa padri huyo na Wakristo wengine kadhaa ni kwamba si lazima kusadiki masimulizi ya
Biblia kuhusu uumbaji yanaeleza matukio kihistoria au kisayansi, bali yanadai msomaji akubali kuwa
asili ya vitu vyote vilivyopo ni Muumba.
Hata sayansi inafundisha kuwa mata haiwezi kujianzisha. Kama ipo, ni lazima iwe na asili nje yake.
 

Chapter (36) sūrat yā sīn Verse (36:81) - English Translation

Is not He who created the heavens and the earth Able to create the likes of them? Yes, [it is so]; and He is the Knowing Creator

Aliens.....
Interesting....🤔


No not at all, the verse doesn't talk directly about creation of alien beings rather it talks about creation of another heavens and earth similar to our heavens and earth, that is what I can figure out.
 
Parker Solar Probe Nielezee kuhusu hii kitu,pia kuhusu defensive asteroid kutoka nasa
Asante kwa swali.
Parker solar Probe ni project ya tatu ya kiuchunguzi katika sehemu ya nje inayozunguka nyota yetu ya karibu kabisa ☀️ jua kitaalam inaitwa Corona. Probe hizi ni robotic spacecraft that doesn't orbit the Earth, but instead explores farther into outer space.

PSP mission ni kwa ajili ya kutupatia taarifa muhimu tusizozijua kuhusiana na jua letu.
Mission objectives za PSP ni

  • Trace the flow of energy that heats the corona and accelerates the solar wind.
  • Determine the structure and dynamics of the magnetic fields at the sources of solar wind.
  • Determine what mechanisms accelerate and transport energetic particles.
Habari na taarifa zinazohusu PSP zinapatikana hapa katika official website
 


Mimi sijasema heaven ni ULIMWENGU bali nasema Heaven ni Mbingu, the space above our sky in which all the heavenly bodies glide, pepo katika Qur'an ni jannah (جنة) na kinyume chake ni jahannam (جهنم). Ulimwengu ni heaven and the earth combined , ukiona katika Qur'an yametajwa hayo maneno the heaven and the earth kwa pamoja hapo inamaanisha Ulimwengu /the universe (السماء و الارض)

Sasa lete aya ya Qur'an inayosema (السماء) heaven ni pepo ili tuondoe ubishi.

Mada ni hii; Qur'an imetaja the big bang, Black hole, Expanding of the universe, Extraterrestrial life nk, na nimeweka aya.

Do not trickly diverge the topic in hand 🤣
 
Sema mpunga waliomwaga kwenye hiyo telescope sio wa mchezomchezo kabisa 10billions USD, dah kweli sio poa kabisa yani jamaa mpunga wote huo wameutumia kwenye project moja tu kweli kuna watu hawanaga utani kabisa kwenye mambo yao
Ni zaidi ya trilioni 20 za kitanzania😅😅😅
 
Mbingu si ndio makazi ya Mungu?

Halafu nimeuliza firdaus ni nini kama jannah ni pepo hujanijibu
 
Mike nitakuwa mjinga kuamini kwamba there was an Apollo 11 Lunar landing kama Wamarekani wenyewe wengi hawaamini.Sababu za msingi kabisa zimetolewa na wanasayansi ku-prove kwamba it never happened.Na kama ilitokea kwa nini kuna sceptics wengi?

Soma hii👇

 
Mbingu si ndio makazi ya Mungu?

Halafu nimeuliza firdaus ni nini kama jannah ni pepo hujanijibu


Mungu hana makazi maalumu kulingana na Qur'an lakini inapotajwa mfano, Arsh ni ishara ya utukufu wa enzi yake kama mfano Mfalme wa kidunia anayekaa juu ya kiti cha enzi.

Soma hapa ili uelewe neno Firdaus limetoka wapi;
 
Ikisema ulimwengu unatanuka itakua bingo kwao, lakini katika historia ya sayansi tunazo takwimu zinazoonesha sayansi ikijokosoa yenyewe

Sasa ikitokea imesema ulimwengu hautanuki tutasemaje??
Hapa umeongea point mkuu, kitendo cha kuwa na takwimu ya sayansi kujikosoa ni dalili kuwa sayansi inakua,pia sio kila muda huwa inatoa vitu sahihi. Bado hatuwezi kuitegemea kutupa majibu ya mambo mazito.
 
Sasa nimeona changamoto hapa ipo kwenye subjective interpretation, una assume maana ya maneno ambayo hauwezi kuthibitisha kama ndivyo ilivyokusudiwa na mwandishi.

Na ni kweli sioni uhusiano wowote wa hiyo aya na bing bang kwamba hata ukijaribu kugushi kwa kukusanya dot bado hoja ya hiyo aya ina pwaya. Kwa mfano hata nikisema nikubaliane na wewe kwamba heaven ni space na hiyo earth sijui ndio kitu gani kwasababu baada ya bing bang ndio tukapata earth

Anyway let say kwamba earth iliyomaanishwa hapo ni matter lakini bado kuna ukakasi hapo kwenye hiyo explanation ya hiyo verse Allah kasema kwamba space na matter vilitenganishwa wakati bing bang inatokea, je ni kweli bing bang wakati inatokea hivyo vitu vilikuwa separated?
 
Mungu hana makazi maalumu kulingana na Qur'an lakini inapotajwa mfano, Arsh ni ishara ya utukufu wa enzi yake kama mfano Mfalme wa kidunia anayekaa juu ya kiti cha enzi.

Soma hapa ili uelewe neno Firdaus limetoka wapi;
View attachment 2064763
Hiyo nilisoma jana na nikaona kumejaa mikanganyiko nikabaini ni juhudi za watu walivyokua wana hangaika kuweka tafsiri ambazo zilikua na lengo maalumu zije zitumike kama references kwenye issue ambayo wameilenga wao

Sasa turudi kwenye hoja kuu ya bing bang kwenye quran
 


English version ya aya inayohusu the Big bang ni hii hapa ambapo Allah anasema:-

"Do not the unbelievers see that the heaven and the earth were CLOSED UP MASS (ratqan) then we CLOVE them ASUNDER (fataqna)----
"

Closed up mass hii ni kabla ya mlipuko matters zote zilikuwa zimejilundika au Allah alizilundika pamoja na baadaye alizipiga FATAKI (fataqna) na zikasambaratika (clove asunder)---- hiyo ndio process ya the big bang Allah anaionyesha, isitoshe baada ya hapo after billions of years ndipo Allah akaweka uhai na anasema; -"-- and we made from water every living thing, will they not then believe?"

Qur'an 21:30.

Unawezaje kupinga hiyo aya ya Qur'an inavyoeleza clearly on the big bang kitu ambacho kimeelezwa na Qur'an zaidi ya miaka 1400 kabla hata hao wanasayansi hawajafikiri juu ya hiyo Big bang.

Ni Qur'an ndio inaeleza misingi ya tafiti za sayansi ambazo kwazo wanasayansi huzifuata na kuthibitisha ukweli wa Qur'an.

Miongoni Mwanafizikia Maarufu sana kuwahi kutokea ni prof Abdus Salam (Nobel laureate), na aliyesaidia ku formulate na kujenga the most expensive particle accelerator/ hydron collide iliyowezesha kugunduliwa kwa God particle/Higgs bosson particle amewahi kusema akiwaambia Wanasayansi wenzake huko Cambridge alipokuwa ni prof wa theoretical physics kwamba; theory zake zote alizo theorise zinao msingi kutoka katika Qur'an , huyu Prof kaandika theory nyingi sana hadi leo wanasayansi wameshindwa kuzi proove kwa jinsi zilivyokuwa ngumu au zipo nje ya upeo wao na baadhi yao walipata kumuambia alipokuwa hai kwamba labda Einstein ndiye angaliweza kuziproove kama angalikuwa hai.
 
Nitaisoma vizuri nijifunze jambo hapa.
Mimi nimeamua kusoma pande zote mbili kujifunza kuhusu moon landing..kwa hiyo link naipokea pia niweze kuona hoax ya moon landing iko wapi.
 
Ebu soma hii verse hapa Surah Al-Anbya - 30 Have those who disbelieved not considered that the heavens and the earth were a joined entity, and then We separated them and made from water every living thing? Then will they not believe?

halafu uniambie hapo Quran ilikua inazungumzia planet earth au jambo lililotokea miaka bilion 14 iliyopita
 
Kwa hyo hii darubini ukikaa nayo mlima Kilimanjaro unaona Africa nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…