Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chapter (36) sūrat yā sīn Verse (36:81) - English Translation
Is not He who created the heavens and the earth Able to create the likes of them? Yes, [it is so]; and He is the Knowing Creator
Aliens.....
Interesting....🤔
Asante kwa swali.Parker Solar Probe Nielezee kuhusu hii kitu,pia kuhusu defensive asteroid kutoka nasa
Kama katika uislam pepo ni jannah na firdaus itakuwa ni nini?
Nimeangalia tafsiri ya neno jannah kwa mujibu wa wikipedia imefafanua ni paradise inayomaanisha maisha waliyopitia adam na hawa pale edeni, (unaweza kuniweka sawa hapa kama nimenukuu vibaya)
Lakini pia yapo maelezo yanayo jaribu kutoa ufafanuzi kati ya maneno mawili "jannah vs heaven"
Ambapo mara kadhaa Quran imetumia neno jannah kuwakilisha heaven kua ni sehemu ambayo waumini wamepewa kama zawadi kuishi baada ya kifo, kwa muktadha huo ni kwamba heaven ni pepo ambayo imetengwa kwa wafanyao mema, sasa kivipi tena heaven ije na tafsiri nyingine ya ulimwengu?
Nitasema sayansi ipo makini, haya wewe utasemaje kuhusu vitabu vyako?
Ni zaidi ya trilioni 20 za kitanzania😅😅😅Sema mpunga waliomwaga kwenye hiyo telescope sio wa mchezomchezo kabisa 10billions USD, dah kweli sio poa kabisa yani jamaa mpunga wote huo wameutumia kwenye project moja tu kweli kuna watu hawanaga utani kabisa kwenye mambo yao
Mbingu si ndio makazi ya Mungu?Mimi sijasema heaven ni ULIMWENGU bali nasema Heaven ni Mbingu, the space above our sky in which all the heavenly bodies glide, pepo katika Qur'an ni jannah (جنة) na kinyume chake ni jahannam (جهنم). Ulimwengu ni heaven and the earth combined , ukiona katika Qur'an yametajwa hayo maneno the heaven and the earth kwa pamoja hapo inamaanisha Ulimwengu /the universe (السماء و الارض)
Sasa lete aya ya Qur'an inayosema (السماء) heaven ni pepo ili tuondoe ubishi.
Mada ni hii; Qur'an imetaja the big bang, Black hole, Expanding of the universe, Extraterrestrial life nk, na nimeweka aya.
Do not trickly diverge the topic in hand 🤣
Mike nitakuwa mjinga kuamini kwamba there was an Apollo 11 Lunar landing kama Wamarekani wenyewe wengi hawaamini.Sababu za msingi kabisa zimetolewa na wanasayansi ku-prove kwamba it never happened.Na kama ilitokea kwa nini kuna sceptics wengi?🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Mimi kama mimi safari ya kwenda mwezini 1969 hainihitaji kuamini au kutokuamini ila ni kusikia kusoma kutoka kwa hao wanaosema kwamba walienda.
Je wana ushahidi wa kwamba walienda?
Pia kusikiliza wanaopinga kwa NASA kwenda mwezini. Je hoja zao zina mashiko?
Mwisho kabisa Astronaut wa NASA walivyoenda mwezini waliweka The Apollo 15 Lunar Laser Ranging RetroReflector
The Apollo 15 Lunar Laser Ranging RetroReflector
kwa ajili ya kusaidia research mbali za mwezini kutokea duniani.
Je kama ni kweli hawakuenda mwezini ni nani alizipeleka huko?
Pia siyo USA TU WALIENDA pia RUSSIA NA CHINA WAMEFANYA SAFARI HUKO.
safari ya kwenda mwezini siyo ngumu kipindi hiki... Akili yetu kwa sasa ni kusafiri kwenda kwenye Galactic habitable zone.
![]()
July 20, 1969: One Giant Leap For Mankind - NASA
July 1969. It’s a little over eight years since the flights of Gagarin and Shepard, followed quickly by President Kennedy’s challenge to put a man on the moonwww.nasa.gov
Wewe ndiye mjinga unayeamini kila kitu unachoambiwa,mimi nina a critical mind,I analyze everything critically.After all why should I believe chronic liars au watoto wa Shetani,sina ujinga huo.It takes a great mind to be able to visualize this issue.
Mbingu si ndio makazi ya Mungu?
Halafu nimeuliza firdaus ni nini kama jannah ni pepo hujanijibu
Hapa umeongea point mkuu, kitendo cha kuwa na takwimu ya sayansi kujikosoa ni dalili kuwa sayansi inakua,pia sio kila muda huwa inatoa vitu sahihi. Bado hatuwezi kuitegemea kutupa majibu ya mambo mazito.Ikisema ulimwengu unatanuka itakua bingo kwao, lakini katika historia ya sayansi tunazo takwimu zinazoonesha sayansi ikijokosoa yenyewe
Sasa ikitokea imesema ulimwengu hautanuki tutasemaje??
Sasa nimeona changamoto hapa ipo kwenye subjective interpretation, una assume maana ya maneno ambayo hauwezi kuthibitisha kama ndivyo ilivyokusudiwa na mwandishi.Si ndio hicho ninachokuambia, Jannah ndio pepo katika istilahi ya dini ya kiislamu, kimsingi kwa kiarabu jannah ni bustani, sasa kinachoangaliwa ni context ndipo utajua Jannah ni pepo au ni bustani yenye maua na mapambo mbalimbali, Pepo zina daraja mbalimbali na daraja ya juu ndio hiyo Firdaus nayo ni "jannat firdaus".
Jannah katika Istilahi ya kiislamu ndio Paradise na kinyume chake ndio Jahannam (جهنم) au Hell in English.
Hivyo ninaposema mbingu (heaven) kwa muktadha wa zile aya maana yake ni space obove the sky in which the heavenly bodies exist and not the otherwise.
Hiyo nilisoma jana na nikaona kumejaa mikanganyiko nikabaini ni juhudi za watu walivyokua wana hangaika kuweka tafsiri ambazo zilikua na lengo maalumu zije zitumike kama references kwenye issue ambayo wameilenga waoMungu hana makazi maalumu kulingana na Qur'an lakini inapotajwa mfano, Arsh ni ishara ya utukufu wa enzi yake kama mfano Mfalme wa kidunia anayekaa juu ya kiti cha enzi.
Soma hapa ili uelewe neno Firdaus limetoka wapi;
View attachment 2064763
Sasa nimeona changamoto hapa ipo kwenye subjective interpretation, una assume maana ya maneno ambayo hauwezi kuthibitisha kama ndivyo ilivyokusudiwa na mwandishi.
Na ni kweli sioni uhusiano wowote wa hiyo aya na bing bang kwamba hata ukijaribu kugushi kwa kukusanya dot bado hoja ya hiyo aya ina pwaya. Kwa mfano hata nikisema nikubaliane na wewe kwamba heaven ni space na hiyo earth sijui ndio kitu gani kwasababu baada ya bing bang ndio tukapata earth
Anyway let say kwamba earth iliyomaanishwa hapo ni matter lakini bado kuna ukakasi hapo kwenye hiyo explanation ya hiyo verse Allah kasema kwamba space na matter vilitenganishwa wakati bing bang inatokea, je ni kweli bing bang wakati inatokea hivyo vitu vilikuwa separated?
Nitaisoma vizuri nijifunze jambo hapa.Mike nitakuwa mjinga kuamini kwamba there was an Apollo 11 Lunar landing kama Wamarekani wenyewe wengi hawaamini.Sababu za msingi kabisa zimetolewa na wanasayansi ku-prove kwamba it never happened.Na kama ilitokea kwa nini kuna na sceptics wengi?
Soma hii👇
The Moon Hoax Debate
Did We Land On The Moon? Absolutely! The hoax theory falters under critical analysis.www.scss.tcd.ie
Ebu soma hii verse hapa Surah Al-Anbya - 30 Have those who disbelieved not considered that the heavens and the earth were a joined entity, and then We separated them and made from water every living thing? Then will they not believe?English version ya aya inayohusu the Big bang ni hii hapa ambapo Allah anasema:-
"Do not the unbelievers see that the heaven and the earth were CLOSED UP MASS (ratqan) then we CLOVE them ASUNDER (fataqna)----
"
Closed up mass hii ni kabla ya mlipuko matters zote zilikuwa zimejilundika au Allah alizilundika pamoja na baadaye alizipiga FATAKI (fataqna) na zikasambaratika (clove asunder)---- hiyo ndio process ya the big bang Allah anaionyesha, isitoshe baada ya hapo after billions of years ndipo Allah akaweka uhai na anasema; -"-- and we made from water every living thing, will they not then believe?"
Qur'an 21:30.
Unawezaje kupinga hiyo aya ya Qur'an inavyoeleza clearly on the big bang kitu ambacho kimeelezwa na Qur'an zaidi ya miaka 1400 kabla hata hao wanasayansi hawajafikiri juu ya hiyo Big bang.
Ni Qur'an ndio inaeleza misingi ya tafiti za sayansi ambazo kwazo wanasayansi huzifuata na kuthibitisha ukweli wa Qur'an.
Miongoni Mwanafizikia Maarufu sana kuwahi kutokea ni prof Abdus Salam (Nobel laureate), na aliyesaidia ku formulate na kujenga the most expensive particle accelerator/ hydron collide iliyowezesha kugunduliwa kwa God particle/Higgs bosson particle amewahi kusema akiwaambia Wanasayansi wenzake huko Cambridge alipokuwa ni prof wa theoretical physics kwamba; theory zake zote alizo theorise zinao msingi kutoka katika Qur'an , huyu Prof kaandika theory nyingi sana hadi leo wanasayansi wameshindwa kuzi proove kwa jinsi zilivyokuwa ngumu au zipo nje ya upeo wao na baadhi yao walipata kumuambia alipokuwa hai kwamba labda Einstein ndiye angaliweza kuziproove kama angalikuwa hai.
Kwa hyo hii darubini ukikaa nayo mlima Kilimanjaro unaona Africa nzimaChombo anga kwa ajili ya kusaidia shughuli za kiuchunguzi katika anga la mbali James Web TELESCOPE [emoji437] kimeondoka rasmi duniani na kuelekea katika eneo lake la kiuchunguzi huko katika space mile 1500000 kutokea duniani.
James Web telescope ni mradi uliutumia zaidi ya trillion 22.3 na kuchukua zaidi ya miaka 10 kukamilika.
James Web Space telescope (JWST) inaenda kufanya nini?
Mission objectives
JWST bila ubishi ndo most advanced machine ever built by human being.
- JWST inaenda kuisaidia NASA kufanya uchunguzi wa chanzo cha ulimwengu huu.
- WST inaenda kusaidia astronomy na cosmology kuweza kuona galaxy za mwanzo baada ya tukio la bing bang theory.
- JWST inaenda kusaidia pia kuweza kujifunza namna sayari,galaxy na nyota za mbali zilivyo evolve overtime.
- JWST inaenda kutafuta uwepo wa viumbe vingine na uhai katika planets zilizoko katika nyota nyingine.
- JWST inaenda kuchungua eneo muhimu sana katika galaxy yetu linaitwa HABITABLE ZONE kuangalia uwepo wa sayari nyingine zinazo support uhai kama dunia yetu.
Hebu pia hizi fact hapa
1.JWST inaenda kusaidia wanasayansi kuangalia nyuma ya muda.
With the new telescope, astronomers are hoping to study the very first stars and galaxies in the universe to understand its secrets.
Jwst ni some kind of time machine.inaturudisha nyuma by vision.
2. A better understanding of our universe's history.
All images taken by Hubble reflect not only galactic systems but also a collection of the universe's history. With Hubble, scientists were able to peek into galaxies that formed 400 million years after the Big Bang.
James Webb Telescope may be able to bridge that gap and show images from 250 million years after the Big Bang, taking us closer to the starting point of our universe.
Besides just seeing galaxies, the new telescope will bring more detail to all images including spiral arms, more light, and better structure.
JWST itatupa picha ya galaxies zilizokuwa formed miaka 250 baada ya tukio la bingbang theory.
3. Infrared lighting
Hubble space telescope ilikuwa inachukua picha kupitia ultra violet (visible light)
lakini JWST iko advanced zaidi inatumia Infrared lighting. Hapa itapata picha na details za ziada zaidi katika picha husika mfano kama ita view exoplanet basi itatuletea details za ziada kama uwepo wa VIUMBE hai,maji,gravity etc.
With infrared imaging, astronomers may be able to peek into extremely old galaxies owing to a process called "redshifting" wherein light is stretched as it appears and disappears, leaving a red trail behind. With infrared, Webb will be able to capture extremely old galaxies that are currently being pushed farther away from Earth and becoming redder. That's how you look back in time!
References
![]()
Quick Facts
Quickly find answers to commonly asked questions about the Webb Telescope (JWST) mission, or submit a question we may have missed on site.webbtelescope.org
![]()
James Webb Space Telescope - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Nitafurahi sana kama kuna mwenye swali atapost hapo chini nitamjibu kadiri ya taarifa nilizoko nazo.