Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Mkoa wa pwani ni hasara sana mkuu, siyo watoto wa kike tu, hata watoto wa kiume 65% migongo yao haina security kabisa πŸ€’πŸ€’
Wewe utakua umekuja mjini juzi.

Kaoge aliekua anakaa tandika ni wa Dar?????
Si mtu wa mara yule…. Vipi omary nyembo siwakigoma sasa nitajie hao mapunga wenye asili ya pwani??
 
Hao ni wanafunzi bado ndio maana jamii inalaumu , wakishapata sifuri zao hata wakijibunua vipi hakuna atakaye hangaika nao.
 
Binti wa Tibeli sio wa mtu yeyote. Ndio maana sisi hatupokei hata mia mbovu yako.

Unakuja kama ulivyo. Utaondoka kama ulivyo.

Lazima ajitegemee ndipo umuite mkeo. Huwezi mfanya binti ya Tibeli mtumwa wako. Umletee kila kitu kama mgonjwa

Then haujui ndoa ni nini.
je ww umeoa na je ulifuata taratibu zote?.

Mm nimeoa, na sijaruka hatua zozote . Na pia nimehudhuria posa na mahari kadha wa kadha.
Na taratibu za mila na tamaduni kadhaa ninazijua. Pamoja na Dini ya Kikristo.
Kwahiyo Ninajua naongelea nini.

So kama unadhani kuwa binti yako akiolewa eti utakuwa una detect maisha yake somehow. Basi jua haiko hivyo.

Njia nzuri ni kumlea binti yako kaa maadili mema na kumuandaa kuwa mwanamke bora. Na pale muda ukifika ndio unamuachia.

Lakin sio 15 yrs for God sake.

Yangu ni hayo . Na ndio maana nili oppose tangu mwanzo Hoja yako.
 
Wakutatua tatizo ni nyie wanawake mnaowaaminisha watu kwamba mnaweza kulea watoto wenu wenyewe wakati kila siku wajomba wanapishana mnapoishi na watoto wanaona.
Unapoachana na mzazi mwenzio halafu akili yako iko kwenye maisha yake unazidi kukwama unatakiwa kudeal na mwanao au kumkomboa, tabia za huyo mama mtoto wako huwezi kudhibiti kwa kujaza comments tu, kilichobaki ni kukomboa kizazi chako period!
Hakuna mwanamke anayemzalia mwanaume tu ili aje kutengena naye anzeni kwa kujirekebisha nyie kwa kuheshimu na kutunza wake zenu! Mpaka unaamua fulani anakuwa mama mtoto wangu means umeona anafaa na ukampitisha mwenyewe, kuachana sio kigezo cha kuanza kuona makosa yake!

Narudia tena kama mlishindwana sio jukumu lako kumbadilisha kwa anacchokifanya saingine huudumii na umemtelekezea mtoto huenda naatafuta ela ya kulisha wanao kwa style hiyo! Anza ww kuwajibika kwa mwanao na sio kunyooshea vidole kila mwanamke mbele yako kwasabu ya changamoto yako, haikubadilishii chochote zaidi ya kujizidishia trauma!
 
Mikoani hawapeani mimba za utotoni kwasababu ya umalaya ni kwasababu ya culture za wakulima na wafugaji.


Mikoa ya pwani ni umalaya


Vitoto vinatembea Hadi na mabwana wa mama zao

Nenda Mwananyamala kisiwani uone vituko
Vipi na miji ya bara ambayo Kila nyumba Ina singo mother na wenyewe ni Mila zao?

Huku kwenye miji ya Kanda ya ziwa Kila Kona kumejaa vibinti vidogo vinavyo uza miwili Yao kwa hiyo hao mabinti wametoka pwani kuja bara kujiuza?
Ww unashangaa ya mwana nyamara kisiwani ebu njoo geita machimboni uone maajabu.
Au njoo Runzewe uone ufurauni unafanywa na hao mabinti wa bara wenye maadili.
 
Hapishani na members kibao humu huyo rafkiako! Siku zote jambo ni rahisi kwa kulifikiria tu ila kulitenda ndio kutakupa experience na utajua mambo yanaendaje! Wengi humu kuongea kwa sana ila hali halisi hawaijui wanapitia kwenye story za vijiweni na comments wanaishi hapo!
 
Mwambie asogee mwimwe hapo na maeneo ya bijampora kahama mjini.
 
Shida yako unaongea nadharia. Unaongea script ambazo mnazitumia kuwapotosha hao watoto wenu wa kike.
Jamii, na Sheria za nchi zinampendelea mwanamke linapokuja suala la mtoto hadi mtoto afikishe miaka 7 ndo baba anaweza akapewa nafasi ya kukaa nae. Kwa hiyo hiyo kauli za kwamba wanaume kukomboa watoto ni nadharia zako tu.

Wazazi wengine wanakatalia watoto ili wawatumie kujipatia hela kutoka kwa wanaume wapuuzi kwa kusingizia wametelekezwa. Wengine wanasingizia mimba wanaume, mimba ya mwanaume mwingine inalelewa na mwanamme mwingine. Pamoja na shida za wanaume lakini single mothers wengi wanadeserve kuwa huwa hivyo.
Utaongea maneno mengi kuwatetea ila ukweli upo wazi na tunayaona na yanatutokea. Wengine hatutaki kuweka mambo yetu hadharani.
 
Sasa mtoto na mama yake yuko dar mm niko shinyanga huo uangalizi nitaufanya saa ngapi?
Chukua mtoto wako acha kulalamika! Mtoto akiharibika utaishia kumlaumu mama yake trust me haitabadilisha chochote na majukumu ni ya wote! Ukienda ustawi ukawaambia mama yao anajiuza au hana uwezo wa kulea mtoto na vithibitisho unavyo wanakupa mwanao!
 
Mbona hujatambua haki ya hao mabinti kuiba wanaume wa watu kama wanavyo jitamba mpaka kuwaanzishia Uzi? kwani wewe unaathirika nini na hao mabinti wakiiba mabwana za watu?
 

Kuoa sio kumfanya mwanamke wako kama gari lako. Kwamba umzuie asitimize ndoto zake. Hilo kwetu watibeli halipo. Na utaambiwa mapema tuu. Ili uamue kusuka au kunyoa. Hutaki muache binti yetu tafuta watumwa wako.

Pili, tunajua kwenu mahari inamaana ipi. Ndio maana tangu mwanzo sisi Watibeli hatutoi wala hatukubali binti zetu kutolewa mahari.
Hutatoa chochote unapochukua binti yetu. Zaidi ya makubaliano yenu ya mapenzi.
Ili siku mkiachana kila mmoja asiwe na deni na mwenzake. Na zile mbwembwe na kusema nilikutolea mahari.

Ndoa kwetu Watibeli ni Makubaliano ya hiyari ya binti na kijana kukubali kuishi kama mume na mke na sio zaidi ya hapo.

Na mwanaume atakuwa kichwa cha nyumba kwa mambo mema na haki. Mke atamtii mumewe lakini katika mambo mema na haki.
Kwa binti za Tibeli ukizingua unazinguliwa vizuri tuu bila kupepesa macho wala huruma yoyote.
 
Chukua mtoto wako acha kulalamika! Mtoto akiharibika utaishia kumlaumu mama yake trust me haitabadilisha chochote na majukumu ni ya wote! Ukienda ustawi ukawaambia mama yao anajiuza au hana uwezo wa kulea mtoto na vithibitisho unavyo wanakupa mwanao!
Sasa nitamchukuaje aliya kuwa nilipo taka kumchukua mama yake anakimbilia usitawi wa jamii na usitawi wa jamii unamkingia kifua?
 
Mbona hujatambua haki ya hao mabinti kuiba wanaume wa watu kama wanavyo jitamba mpaka kuwaanzishia Uzi? kwani wewe unaathirika nini na hao mabinti wakiiba mabwana za watu?
Hao ni watoto, tena kungetakiwa kuwe na sheria kabisa ya kuzuia watoto chini ya miaka 18 kutumia mitandao ya kijamii kama vile Uingereza, Australia, China, Brazil, Ugiriki na nchi nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…