JamiiForums wametuweza! Nilikuwa natembelea kama 'guest' tangu 2017

Karibu Sana jamvini
 
Mimi hakinishangazi mtu kufungiwa kwa sababu hajawa registered kinanishangaza mimi ni mtu unaweza vipi kuingia Jamiiforums kufungua na kusoma mada mbalimbali for more than 5 years then unakosa hata hamu ya kujibu au ku-share chochote kuhusiana na mada unazozisoma?
 
tupo wengi kumbe ๐Ÿ˜„
 
K
Mie account ilijiblock toka 2014 nikawa na zoom tu kishikaji jana nikaona hiyo msg, hamna budi imebidi nifungue nyingine kwani jf ndio mtandao wangu pendwa.
Mpaka hapa nilipofikia sidhani kama kutakuja kuwa na platform nzuri kuzidi hii hapa Tanzania, maana niliona platform kadhaa zikawa hazielewekiii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜Š

Sema mkuu Maxence Melo anajua maana hii platform si mcheeeeezoo kwa kweli maana siku hizi naona fb kama haina maana kabisaaaaa...๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ