Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?


Hahaha. Huku ni nikujilisha upepo sana. Ni kweli zamani wanawake walinyimwa fursa za kushiriki maamuzi kuhusu masuala muhimu ktk ngazi ya familia na jamii. Sibishi kuhusu hilo. Ila kusema kwamba wanaume tunaona tunapoteza power kwa wanawake kwasababu wanawake wana fursa ya ku "talk back " ni kujilisha upepo sana sana tu. Mwanaume wa kawaida hajali mwanamke kuongea sana. Tena huwa tunawadharau sana tu kimya kimya pale mnapo ongea ujinga ili mradi na nyinyi muonekane mna haki ya kuongea 😁😁😁.
 
Plz
Knock the window now
Seran mpokee na umsikilize kijana, mstaarabu, hana mambo mengi, ana busara ila aibu nyingi 😂.
Labda ndiyo wa kufanana naye uliyekua unamtafuta ili myajenge maisha.

Si kwa umuhimu ila anapenda kwenda holiday south east Asia, mkipendana basi passport yako itajaa mihuri 😂.

PS:
Yuko serious 😂😂
 
Uwee! Unampigia debe aje anikope anianzishie uzi😂 ntaficha wapi hili komwe🥴, Kerato ana aibu gani? Eti mpole🤣🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
 
Nimeelewa kwa nini mawifi wengi wanajua kila kitu kuhusu wake za ndugu zao

Maneno yako yanasababisha tuone kum approach Seran kama kitu chepesi sana
 
Uwee! Unampigia debe aje anikope anianzishie uzi😂 ntaficha wapi hili komwe🥴, Kerato ana aibu gani? Eti mpole🤣🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
Niamini hana kipengele, amenyooka rula inasubiri 😂
Mambo private yatabaki private, ikiwa sivyo nitamuanzishia uzi mwenyewe wa kumnanga 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…