Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,644
- 20,009
Unapotosha wewe, kuwashauri wanawake waweke vigezo vya juu ni upotoshaji mkubwa Sana.My dear,wao ndo wana shida ndo maana wanalalamika😂😂😂. Mi nimeolewa, lakini niliolewa kwa kupenda si kwa sababu ya pressure ya umri wala jamii. Kuna watu walijaribu kunipressurize enzi hizo sijui ohho umri unaenda, waliongea wakachoka wakaacha.
Unamuuliza mtu anaolewa lini unataka mkaolewe wote au?😂😂😂. Mimi tena nilihakikisha nimejipata kiuchumi,nikaweka standards na vigezo vya juu mnoo, nikasubiri akapatikana aliyetimiza hivyo vigezo ndo nikamkabidhi moyo wangu. Nilikuwa tayari nife single kuliko kuwa na mtu asiye na vigezo navyotaka. Na nahimiza mabinti wajitafute kiuchumi na waweke vigezo vya juu,raise the bar ,na wasilegeze msimamo.
# Bora kufa single kuliko kuolewa na gumegume
Kutongoza kukubali ndio nini kijana? ? ?mapenzi yasiyo na kichwa wala miguu ndio yapi? Kwani mapenzi yenye kichwa na miguu huanzaje? Sasa wewe umemtongoza mtu leo,amekukubali leo na anaomba 150k ya kodi inakuja kweli hiyo?
Hata wewe kuna wakati mzee akikuzingua hasira zinahamia kwa watoto.Sasa ndiyo hasira zao wamalizie kwetu 😅
Inaogopa kuingia cha kike na wewe kama una kazi ya kueleweka kwanini usiseme tu yaishe😂Et dada kwa mara ya kwanza au day one pisi inaulizia kazi inayofanya maana yake nini?😂😂😂
GENTAMYCINE na mimi tunawakilisha jamii nzima ya wanaume wa shokaWanaume wapo humu kweli asilimia kubwa wengi ni wanawake basi . Ujue hilo
Kwahiyo mnashauri tufanyaje kutokana na hilo tatizo?nimemtongoza leo,amekubali leo tayari ameniomba 150K ya kodi,huoni kama kuna shida mahala? kuhusu mwanamke mmoja kuwakilisha jamii nzima ni huwa hivyo! malalamiko yamekuwa ni mengi kuwahusu hawa viumbe.
Mali zimejaa, vijana wanunue tu. Ya nini kuhudumia wakati kuna za kununua mitaani.Sio shida zetu! Ahudumie mali🤣🏃🏽♀️
Kama unafikiri huyo dada kamaanisha hivi, unachelewa sana brazaa!!Unapotosha wewe, kuwashauri wanawake waweke vigezo vya juu ni upotoshaji mkubwa Sana.
Shida yenu nyie wanawake huwa mnabase Sana kwenye kigezo cha pesa,yaani mwanamke akipata kaajira akaanza kupata vihela vyake anaona ndo amemaliza kila kitu sasa anataka mwanaume sijui mrefu,mweusi, handsome, wealthy and intelligent
It can never be.
mtu umemtongoza,amekubali na kukwambia kwanzia sasa sisi ni wapenzi hiyo inaweza kuwa before hata hamjafanya sex. Mbona unajitoa ufahamu sana?Kutongoza kukubali ndio nini kijana? ? ?
Samahani mimi nimezeeka inawezekana this is a generation gap problem! Uelezee.
Kumbe solution mnazo! Sasa makelele ni ya nini?Mali zimejaa, vijana wanunue tu. Ya nini kuhudumia wakati kuna za kununua mitaani.
Niege mbaya sana .. I learned in hard wayUlikua unataka nini kutoka kwa huyo barmaid mpaka ukashoboka?
acheni kuwa makupe!Kwahiyo mnashauri tufanyaje kutokana na hilo tatizo?
Sasa Acha wanawake wadhubutu kufanya anachoshauri afu uone kitakachowakutaKama unafikiri huyo dada kamaanisha hivi, unachelewa sana brazaa!!
Achaneni na wanawake!! Easy..acheni kuwa makupe!
Fact 💯Kiufupi hao walio nyuma ya hizo I'd hawana mbele wala nyuma.
Msisitizo ni hapo kwenye wanaume wenye ukwasi na wanaojitambua.Mwanamke akifika third floor ndo kwanza anazidi kuwa mtamu, standard zake anazipanga vizuri hapindishi..,. Mwanamke wa 30 + ndiye anaye hongwa pesa nyingi kiuhalisia huku mtaani na ni hot cake kwa wanaume wenye ukwasi na wanaojitambua.
Fact 👆🏽Hawa wa 20th wengi wao Bado hajajua Nini wanahitaji na ndio linakuwa kimbilio la wanaume wengi ambao hawaishi katika uaname kiuhalisia hao tuite wavulana. Wavulana hupenda haosasabu anaweza kumfanyia atakavyo
Mimi pia, nafundisha boys wangu kujitambua na kufocus kwenye kujenga future yenye mafanikio, wawe bora kwenye wanachofanya na wajiimarishe kiuchumi.Binafsi haya malalamiko nikiyasoma huwa nasali vijana wangu wasiwe wa hovyo....
💯💯💯Pia wapo wanaoandika kutaka tension tu wengine wanaenda na trendy
Ila tu niwaambie huku kwenye jamii mambo ni tofauti na kelele za humu jukwaani
Kweli.. SHOBO zetu tu ndio zinatuponza🤓🤓🤓Ulishoboka,,, siku nyingine usirudie maana hakunaga mapenzi kwenye shobo. Bora wewe uliyejua kosa lako
Hivi mnaposema never settle for less huwa mnamaanisha nini?yaani niokoteze huko kivulana kinioe ili niwafurahishe wanaume wasione nimechakwazwa😂
Never settle for less la mama, acha waje tunawasubiri leo⚔️
Huyo dada haongelei physical appearence bro kuna wanaume wasingeoa ingekuwa hivi! Mrefu mweusi then what?? Kuna wanaume hawana huruma na mwanamke besides love, unatakiwa kujua unaishi na mtu wa aina gani! Upendo hauta last longer, miaka miwili mingi kuanza kugundua unaoshi na mnyama gani! huko ndoani ni pa moto sana! Unaishi na mtu ukimkosea kidogo tu kama umeua kwao! Akhaa😆🏃🏽♀️🏃🏽♀️Sasa Acha wanawake wadhubutu kufanya anachoshauri afu uone kitakachowakuta