Unaleta emotions kwenye hoja, Magufuli anapigwa na CCM wenzake, kavuliwa nguo na January Makamba. That is a fact.Mwendawazimu ni mama yako.
Baada ya hapo nikajua utajibu hoja zake, lakini waaaapi?Huyu uwezo kichwani hamna anabebwa na Jina la Mzee wake. Wao ni Wazuri hawafi, lkn cha ajabu wanaendelea kugombana na Kivuli cha mfu JPM.
Kwa ufisadi wake nafikiri alitakiwa kuwa na kesi mahakamani hicho kipindi cha JPM, kwa hiyo wote hawafai tuHuyo ni mtu mnafiki,kwa kua alikosa nafasi yoyote wakati wa JPM kwa migezo cha ufisadi wake,na anahusishwa na wengi mitaani kua ni sehemu ya kuondoka kwa JPM,so lazima achafue tu ili kujiweka sawa kwa watu ake aaminiwe,yamkini mama alisha muahidi kumuachia kijiti,so lazima abwabwaje
CCM inakiri kuwa ni tatizo dhidi ya TanzaniaNaomba nisimuwekee maneno Makamba.
Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.
Wewe ndio ungekua WA kwanzaYaani mimi siku nikiwa Rais majitu kama haya yanayotuchelewesha nayanyonga hadharani kama wanavyofanya china
Magufuli alikuwa mpole mimi ningeyaua yote
Akijibu hayo maswali ndiyo tutajua nani mpumbavu kati yake na January.1. Je, wanasiasa walifungwa?
2.Je, kuna walionyang'anywa fedha?
3. Je, kuna walioharibiwa biashara zao?
4. Je, shughuli za vyama vya siasa zilizuiliwa?
5. Je, uchaguzi haukuwa na makandokando?
Aliyoongea ni uongo?Hata asubuhi watu hukosha nyuso zao.Kuna kitu kimoja hakikwepeki. Ule ujumbe uliovuja kumbeza Magufuli kuwahusisha Nape na Kinana na Makamba wote wawili hauwezi kupotea hivi hivi, nao Kila wakipata nafasi ya kujikosha wabajikosha. Hayo ya kufungwa na mikitano na nini ya 2020 ni kujikosha tu, walioumia ni wale waliostahili kuumia. Bado hatujapa kuvuja kwa yaliyomhusu Samialazima Kuna Mawaziri walimpinga Makamu wa Rais achukue automatically. Hiyo kuna soku yake itajatoka
Tukiacha kuhisi wakiomuua "shujaa wako",aliyoongea January ni kweli au uongo?Huyu mbwa ni mmojawapo wa walioshiri kumuuwa JPM na aelewe hilo linajulikana.ukiisikiliza hiyo hotuba yake kuna mahali anamtishia kisaikolojia huyo Mama yake na kisha anampooza!
Huyu jamaa safari yakrme itakuja kuwa kama ya Membe huko mbeleni.
Duh 🙄 ! 😱Acha ujinga wewe ni Bora wachache wafe ili taifa lipone mfano huyo makamba wako anafaida gn kututoa kwenye kuunga umeme Kwa elfu ishirini na Saba mpaka laki tatu na nusu na manguzo wakarudisha zile Bei za enzi ya upigaji ya mkwere? Kuna faida gani yakuwa na watu kama Hawa wasiokuwa na huruma na maskini wa nchi hii? Hawa walitakiwa wapigwe risasi hadharani sijui kwanini magufuli aliwaacha Hawa mchwa wa hili taifa
Tatizo la misukule mingi ya ccm haitaki kusikia ukweli. Laiti kama wangekuwa wanakubali kusikia ukweli Tz tungekuwa tumepiga hatua kubwa sana kimaendeleo! Wengi wa wapumbavu hao ni wafia vyama badala ya nchi. Wana uzalendo na chama Chao kuliko nchiLeo ndio Mmeshituka baada ya Makamba kusema? Siku zote nyie ccm mnasema mnashinda kwa haki.
Makamba yuko sahihi so far.
Yaani Blinken asimame aanze kumsfia Biden hotuba yote. Hawa wanafanya kazi gani hasa. Hivi Fox au Breitbak si watapasuka?Naomba nisimuwekee maneno Makamba.
Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.
Kwa maana hiyo kama umesoma hesabu sifa zote hizo zina cancel inakuwa sifuri. Kwa kifupi unamaanisha hapakuwa na kazi paleKwa Mimi Magufuli was one of the best President kuwahi kutokea Tanzania na wakati huo huo alikuwa Raisi wa hovyo sana kuwahi kutokea Tanzania, sasa hayupo tena songa mbele
Hakuingia madarakani kwa njia halali ndio maana Mungu alihamua kumuondosha. Mungu hawezi kubali kiumbe chake alichokiweka madarakani kiweze kudhuriwa na binadamu, angemlinda na wala pasingekuwa na binadamu wa kumdhuru. Au kama sio hivyo basi kuna kitu inaitwa Law of KarmaHuyu mbwa ni mmojawapo wa walioshiri kumuuwa JPM na aelewe hilo linajulikana.ukiisikiliza hiyo hotuba yake kuna mahali anamtishia kisaikolojia huyo Mama yake na kisha anampooza!
Huyu jamaa safari yakrme itakuja kuwa kama ya Membe huko mbeleni.
Just a myth?...Deep state ???!!
I don’t believe that !
Wewe ndio ungekua WA kwanzaYaani mimi siku nikiwa Rais majitu kama haya yanayotuchelewesha nayanyonga hadharani kama wanavyofanya china
Magufuli alikuwa mpole mimi ningeyaua yote