Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

Huyo ni mtu mnafiki,kwa kua alikosa nafasi yoyote wakati wa JPM kwa migezo cha ufisadi wake,na anahusishwa na wengi mitaani kua ni sehemu ya kuondoka kwa JPM,so lazima achafue tu ili kujiweka sawa kwa watu ake aaminiwe,yamkini mama alisha muahidi kumuachia kijiti,so lazima abwabwaje
Kwa ufisadi wake nafikiri alitakiwa kuwa na kesi mahakamani hicho kipindi cha JPM, kwa hiyo wote hawafai tu
 
katibu wa tec alisema waliiba kura kina kibajaji wakamjia juu sasa wanaanza kusema wenyewe, kama laana au tego vile, pale mwizi au mchawi anapoanza kuweka mambo yake hadharani.
 
Kuna kitu kimoja hakikwepeki. Ule ujumbe uliovuja kumbeza Magufuli kuwahusisha Nape na Kinana na Makamba wote wawili hauwezi kupotea hivi hivi, nao Kila wakipata nafasi ya kujikosha wabajikosha. Hayo ya kufungwa na mikitano na nini ya 2020 ni kujikosha tu, walioumia ni wale waliostahili kuumia. Bado hatujapa kuvuja kwa yaliyomhusu Samialazima Kuna Mawaziri walimpinga Makamu wa Rais achukue automatically. Hiyo kuna soku yake itajatoka
 
Aliyoongea ni uongo?Hata asubuhi watu hukosha nyuso zao.
 
Huyu mbwa ni mmojawapo wa walioshiri kumuuwa JPM na aelewe hilo linajulikana.ukiisikiliza hiyo hotuba yake kuna mahali anamtishia kisaikolojia huyo Mama yake na kisha anampooza!

Huyu jamaa safari yakrme itakuja kuwa kama ya Membe huko mbeleni.
 
Tukiacha kuhisi wakiomuua "shujaa wako",aliyoongea January ni kweli au uongo?
 
Acha ujinga wewe ni Bora wachache wafe ili taifa lipone mfano huyo makamba wako anafaida gn kututoa kwenye kuunga umeme Kwa elfu ishirini na Saba mpaka laki tatu na nusu na manguzo wakarudisha zile Bei za enzi ya upigaji ya mkwere? Kuna faida gani yakuwa na watu kama Hawa wasiokuwa na huruma na maskini wa nchi hii? Hawa walitakiwa wapigwe risasi hadharani sijui kwanini magufuli aliwaacha Hawa mchwa wa hili taifa
Duh 🙄 ! 😱
 
Leo ndio Mmeshituka baada ya Makamba kusema? Siku zote nyie ccm mnasema mnashinda kwa haki.

Makamba yuko sahihi so far.
Tatizo la misukule mingi ya ccm haitaki kusikia ukweli. Laiti kama wangekuwa wanakubali kusikia ukweli Tz tungekuwa tumepiga hatua kubwa sana kimaendeleo! Wengi wa wapumbavu hao ni wafia vyama badala ya nchi. Wana uzalendo na chama Chao kuliko nchi
 
Kwa Mimi Magufuli was one of the best President kuwahi kutokea Tanzania na wakati huo huo alikuwa Raisi wa hovyo sana kuwahi kutokea Tanzania, sasa hayupo tena songa mbele
Kwa maana hiyo kama umesoma hesabu sifa zote hizo zina cancel inakuwa sifuri. Kwa kifupi unamaanisha hapakuwa na kazi pale
 
Huyu mbwa ni mmojawapo wa walioshiri kumuuwa JPM na aelewe hilo linajulikana.ukiisikiliza hiyo hotuba yake kuna mahali anamtishia kisaikolojia huyo Mama yake na kisha anampooza!

Huyu jamaa safari yakrme itakuja kuwa kama ya Membe huko mbeleni.
Hakuingia madarakani kwa njia halali ndio maana Mungu alihamua kumuondosha. Mungu hawezi kubali kiumbe chake alichokiweka madarakani kiweze kudhuriwa na binadamu, angemlinda na wala pasingekuwa na binadamu wa kumdhuru. Au kama sio hivyo basi kuna kitu inaitwa Law of Karma
 
That last "chuckle" of Makamba says a lot about him and his brain...look at his posture and body movements he typical genuinely liar of all time, how the heck not to speak about important things and choose that kind of speech. We have long way to go as country.

Mpaka Mama kugeuka kwake Aliona anaenda kuharibu cause of his fractured brain 🤣🤣🤣

Angepewa dakika haki vile angetoa utmbo zaidi 🤣🤣🤣🤣
 
Yaani mimi siku nikiwa Rais majitu kama haya yanayotuchelewesha nayanyonga hadharani kama wanavyofanya china
Magufuli alikuwa mpole mimi ningeyaua yote
Wewe ndio ungekua WA kwanza
 
Back
Top Bottom