Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

Kuna watu wamekuzuia kuonesha mah
Sidhani kama hapa kijijini kwetu kuna mtu amekuzuia kuonesha mahaba kwa jembe lako!
 
Kwamba nchi ikiwa huru haina magereza waharifu wawehuru tu,wamiliki bandari,wakusanyekodi watunze majumbani kwao? Nyie mnaopiga kelele hili genge ndo wamiliki wake,Leo dola mnazo majumbani kwenu.
 
Weka na ushahidi mbona mnaongea tu

1) mwanasiasa gani aliyefungwa na JPM
2) Raisi gani aliyestahili kushinda kura zake zikaibiwa na JPM
3) Mfanya biashara gani biashara zake ziriharibiwa

1. Sugu, Lijualikali, Mdee, ...

2. Uchaguzi wote wa 2020 ulivurugwa. Wagombea wa upinzani walienguliwa kihuni, kampeni ziliingiliwa na wateule wa Magufuli, matokeo yalitangazwa kiholela.

3. Wafanyabiashara kadhaa waliporwa mali zao, tafuta kisa cha wamiliki wa mitambo ya uchapishaji walivyoporwa kiwanda, na mitambo yao kuanza kutumiwa na genge la Magufuli.
 
Lakini serikali ndio hii hii iliyopo na viongozi ndio walewale
 
Lakini serikali ndio hii hii iliyopo na viongozi ndio walewale
 
Kilimdhibiti kwa kumuua mkuu. Na kwangu Mimi naona hiyo njia ilikua nzuri sana.
 
Kilimdhibiti kwa kumuua mkuu. Na kwangu Mimi naona hiyo njia ilikua nzuri sana.
Hayo ni maneno ya mtaani ambayo hayana uthibitisho.

Na hata ikiwa kweli, bado ni njia mbaya sana ya kudhibiti kiongozi.

Kwa sababu, kila kiongozi ana watu wasiompenda. Sasa tutaua wangapi?
 
wa Tz tumejawa na unafk wa hali ya juu sana hata atoke malaika awe rais bado tutaishia kutoa lawama tu hii nchi imejaa wapumbafu san utakuta mtu anajiita msomi lkn akil zake km mavi afadhal ht wa darasa la 7
 
Wabobezi wa Fikra watatafsiri kuwa mbele za Mungu wa Mbinguni Magufuli hakuwa Rais halali na Wabunge wote siyo halali na Madiwani siyo hali

Kiroho jambo hili si Mzaha 🐼
Hii maana yake wanasema huo uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa haramu na ni batili. Uchaguzi huu ndiyo ulimwezesha Salmia kuupata uraisi, Tulia kuupata uspika, January na wabunge wote wa ccm tulionao kwa sasa waliupata ubunge huo kupitia uchaguzi huo. Hivyo January na sasa Kinana wanachokisema wasifikiri kwamba wanambeza Magufuli bali wanakubaliana na chadema kuwa serikali (raisi na wabunge wote) waliopo kwa sasa madarakani si halali kwani waliingia madarakani kupitia uchaguzi mkuu usio halali.

Maneno ya aina hii yanapotolewa hadharani na mtu kama Kinana (makamu mwenyekiti wa chama) na January Makamba (waziri wa mambo ya nje), yana very serious implications kwa chama cha ccm na yanatishia uhai wa ccm katika uchaguzi mkuu wa 2025. Hata kama ni kweli ccm iliiba sana kura kwenye uchaguzi wa 2020, January na Kinana hawakutakiwa kukiri kosa hilo la wizi wa kura. Nani kawapa idhini ya kukiri kosa hilo kwa niaba ya ccm? Mbona suala la wizi wa kura kwenye uchaguzi mkuu lipo nchi nyingi tu duniani na tunashuhudia wakipelekana mahakani. Na huko mahakamani hakuna ambaye huwa ana plead guilty. Leo kwa chuki walizokuwanazo dhidi ya Magufuli, Kinana na January wame plead guilty kwa niaba ya ccm hadharani under camera. Chama kiwachukulia hatua kali ya kinidhamu na kuwafukuza uanachama.
 
Wabobezi wa Fikra watatafsiri kuwa mbele za Mungu wa Mbinguni Magufuli hakuwa Rais halali na Wabunge wote siyo halali na Madiwani siyo hali

Kiroho jambo hili si Mzaha 🐼
Magufuli alijifelisha mwenyewe kwa kutaka watu wamuone kuwa yeye ndio MUNGU
Haijalishi SAMIA atakosea kiasi gani.....ila Magufuli's mindset was blinded by darkness, devoid of a place in the civilized world. Let him rest in the grave where he belongs.
 
Kwa vile ni mumeo?
 
Bora mwemdawazimu alileta matokeo mazuri kuliko huu uharo tulionao sasa hivi.
 
Magufuli alijifelisha mwenyewe kwa kutaka watu wamuone kuwa yeye ndio MUNGU
Haijalishi SAMIA atakosea kiasi gani.....ila Magufuli's mindset was blinded by darkness, devoid of a place in the civilized world. Let him rest in the grave where he belongs.
January hajazungumzia kufeli bali Uhalali wa Uchaguzi wa 2020 🐼
 
Nchi ya wapumbavu wanaowaza ngono na mpira wa simba na yanga tu kama tz inastahili uongozi ule wa JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…