Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kuna watu wamekuzuia kuonesha mahNilijua kabisa hakuna atakayeweka huo ushahidi
1) Kuna mwanasiasa mmoja Mbeya alitukana watu na matusi ni kosa la jinai akafungwa Leo hii mnamsingizia JPM
2) Uchaguzi kama ungekuwa sio Halali tungekuwa na kesi nyingi sana Mahakamani za Uchaguzi kutoka Kwa wabunge na madiwani
Sasa iweje madiwani washinde kihalali na wabunge washinde kihalali alafu Raisi asishinde kihalali hayo ni mahesabu ya wapi?
Kama mdee aliibiwa kura mbona hajaenda Mahakamani? Tena mwanasheria ni yeye mwenyewe
3) Mfanya biashara aliharibiwa biashara zake nani Manji?
Manji alikuwa anachezesha system za bandari Ili watu wasiotoe mizigo Yao Kwa wakati Ili bandari zake kavu zipige pesa
Manji aliinunua coco beach Kwa magumashi
Manji aliinunua kiwanja Cha waislam pale Changombe Kwa magumashi
Alafu wewe jinsi unavyomjua JPM anaweza kuwachekea wafanyabiashara wa namna hii labda huyu bi mkubwa ila sio JPM
Sidhani kama hapa kijijini kwetu kuna mtu amekuzuia kuonesha mahaba kwa jembe lako!Nilijua kabisa hakuna atakayeweka huo ushahidi
1) Kuna mwanasiasa mmoja Mbeya alitukana watu na matusi ni kosa la jinai akafungwa Leo hii mnamsingizia JPM
2) Uchaguzi kama ungekuwa sio Halali tungekuwa na kesi nyingi sana Mahakamani za Uchaguzi kutoka Kwa wabunge na madiwani
Sasa iweje madiwani washinde kihalali na wabunge washinde kihalali alafu Raisi asishinde kihalali hayo ni mahesabu ya wapi?
Kama mdee aliibiwa kura mbona hajaenda Mahakamani? Tena mwanasheria ni yeye mwenyewe
3) Mfanya biashara aliharibiwa biashara zake nani Manji?
Manji alikuwa anachezesha system za bandari Ili watu wasiotoe mizigo Yao Kwa wakati Ili bandari zake kavu zipige pesa
Manji aliinunua coco beach Kwa magumashi
Manji aliinunua kiwanja Cha waislam pale Changombe Kwa magumashi
Alafu wewe jinsi unavyomjua JPM anaweza kuwachekea wafanyabiashara wa namna hii labda huyu bi mkubwa ila sio JPM
R.I.P Jembe langu