Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

Naomba nisimuwekee maneno Makamba.

Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.
Huyo ni mtu mnafiki,kwa kua alikosa nafasi yoyote wakati wa JPM kwa migezo cha ufisadi wake,na anahusishwa na wengi mitaani kua ni sehemu ya kuondoka kwa JPM,so lazima achafue tu ili kujiweka sawa kwa watu ake aaminiwe,yamkini mama alisha muahidi kumuachia kijiti,so lazima abwabwaje
 
Naam
 
Wewe sio tu sexless pia ni mental less.
 
Naona Wahusika wakubwa ndani ya Serikali wameanza kusema wenyewe juu ya kilichotokea wakati wa Uchaguzi wa 2020.

Makamba akiwa Italy akiongea na Watanzania amemwaga Mchele wote jinsi Uchaguzi wa 2020 Chini ya HAYATI MAGUFULI ulivyokuwa na Watu Walivyoumizwa na kudhulumiwa ili MAGUFULI ASHINDE.

Asante Makamba kwa taarifa hiyo tuna imani na Aliyempiga RISASI Mwanasiasa TUNDU LISSU tutamjua tu.Mwendazake Alipanda MBEGU ya CHUKI na AMEIVUNA.

MUNGU siku zote ni hataki WATU WABAYA MUNGU ni FUNDI ameumaliza Mchezo kati ya Watanzania na MWENDAZAKE. Pumzika Mwendazake Umevuna ulichokipanda
 
Japo Jamuary mwenyewe siyo clean kwa 100%, lakini aliyoyasema yote ni kweli na ni sahihi.

Lakini na yeye ni sehemu ya huo uchafu maana waliopora ushindi wa Lowasa 2015, katika wale vinara ni yeye January, Nape, Kikwete na Kinana. Kama wao wangesimama katika haki, hata huyo aliyedhulumu haki za wengi, asingeipata hiyo nafasi.
 
Mungu hamfichi mnafiki.
Hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe.
Ni suala la muda tu ukweli wote utakuwa bayana.
Bado taarifa za utekaji na mauaji na wahusika waliotekeleza hayo. Ogopa sana kumwaga damu za watu
 
Hili asipolisema tutamsemea
 
Mengi yaajulikana taratibu, ni mengi kweli kweli.
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=aoz9VpJv1AY
Huo ni uchaguzi uliofanyika kwenye kichwa chake, cha Kinana na Jokate ambapo akukuwa na mikutano ya siasa.

Lakini ule uliofanyika Tanzania mbele ya dunia Tundu Lissu alikuwa anafanya mikutano mpaka giza linaingia kinyume na sheria huku polisi wakimuangalia.

Bado kama mgombea uraisi Lissu alipewa escort ya polisi kumlinda na kumsindikiza muda wote. Wagombea ubunge na madiwani nao wote walikuwa wanajiachia muda wa kampeni za uchaguzi ulipoanza.

Delusional Makamba, huo uchaguzi ambao aukuwa na mikutano upo kwenye kichwa chake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…