Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

Jiwe alikuwa mshenzi sana. Asante mhe. January Makamba kwa kulisema hili ili dunia ijue. Na January ndiyo mwanaccm pekee uliyebakia kuwa na akili.

Mhe. January Makamba naomba uende mbali zaidi, kwa kuitaka serikali kifuta kumbukumbu zote za serikali zinazomtambua jiwe kama mmoja wa watu waliowahi kuwa marais nchi hii.
Hivi una akili timamu kweli?
 
Ule ilikuwa uhuni sio uchaguzi acha kuupaka rangi uovu
Shida ni chumvi nyingi yaani dunia nzima ione mikutano, halafu wewe useme ilizuiwa kwenye uchaguzi.

Kwenye matokeo ya ubunge na udiwani sijui ingekuwaje bila ya foul za CCM kama ilivyokawaida yao.

Iła kwa Magufuli tuwe wakweli hakukuwa na wakumshinda 2020 kwenye uraisi, hata ukirudiwa kesho.
 
CCM inakwenda kumeguka. Wale wanaoamini ktk Magufuli na Wale wanaoamini ktk Samia.

Na kama Samia ataamua kugombea 2025 ajiandae kwa upinzani mkubwa ndani ya chama shake cha CCM.
 
Kila ninapofika kwenye mitambo ya uzalishaji umeme pale Rufiji napata hasira juu ya wachache waliokuwa kimbelembele kumshitaki JPM kwa mabeberu ili asjienge mradi huo

Kwa nchi kama China, tungekuwa tushawasahau hawa wapuuzi
 
Shida ni chumvi nyingi yaani dunia nzima ione mikutano, halafu wewe useme ilizuiwa kwenye uchaguzi.

Kwenye matokeo ya ubunge na udiwani sijui ingekuwaje bila ya foul za CCM kama ilivyokawaida yao.

Iła kwa Magufuli tuwe wakweli hakukuwa na wakumshinda 2020 kwenye uraisi, hata ukirudiwa kesho.

..Ni kweli alikuwa na uwezo wa kushinda.

..sasa kwanini alicheza RAFU za kiwango kile?

..kwanini walienguliwa wagombea wengi kuzidi kipindi chochote kile?
 
Iko hiv
..Ni kweli alikuwa na uwezo wa kushinda.

..sasa kwanini alicheza RAFU za kiwango kile?

..kwanini walienguliwa wagombea wengi kuzidi kipindi chochote kile?
i jamaa alikuwa ana jambo lake kubwa alikuwa alifanye baada ya kubadilisha sheria fulani fulani hapo Bungeni !!
Na aliona kama kutakuwepo na wabunge wa upinzani malengo yake hayatatimia kwa wakati aliokuwa anautaka !!
That’s my take !
 
Kwani maendeleo hayawezi kuletwa mkiwa mnaheshimiana na kutendeana wema?
Acha ujinga wewe ni Bora wachache wafe ili taifa lipone mfano huyo makamba wako anafaida gn kututoa kwenye kuunga umeme Kwa elfu ishirini na Saba mpaka laki tatu na nusu na manguzo wakarudisha zile Bei za enzi ya upigaji ya mkwere? Kuna faida gani yakuwa na watu kama Hawa wasiokuwa na huruma na maskini wa nchi hii? Hawa walitakiwa wapigwe risasi hadharani sijui kwanini magufuli aliwaacha Hawa mchwa wa hili taifa
 
Back
Top Bottom