Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

What is this
 
Yaani mimi siku nikiwa Rais majitu kama haya yanayotuchelewesha nayanyonga hadharani kama wanavyofanya china
Magufuli alikuwa mpole mimi ningeyaua yote
 
Naomba nisimuwekee maneno Makamba.

Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.
Huyu naye ndo bure, si angejitoa hili kulinda hashima yake. Anatufanya sisi watoto wadogo. Ni mtu wa kutafuta fursa. Huyu naye eti kiongozi!!!! Tunaongozwa na watu wavivu wa kufikiri kama huyu. Yeye naye ni sehemu ya mfumo huo wa kutugawa
 
zaidi ya kukunja masharti ya mikono mirefu kama obama,marope hamna kitu.
Mark my wordna hautakaa uwe rais wa nchi hii,Think Tank wa nchi hii TEC hawakuelewi hata kidogo,UMEJILA.

..wewe unamshambulia mtoa hoja, badala ya kujibu hoja alizowasilisha.

..kuna watu ni wahanga wa mambo mabaya yaliyofanywa na Magufuli na genge lake ni vizuri kila mmoja wetu akajielekeza kuwatetea wahanga.
 
..wewe unamshambulia mtoa hoja, badala ya kujibu hoja alizowasilisha.

..kuna watu ni wahanga wa mambo mabaya yaliyofanywa na Magufuli na genge lake ni vizuri kila mmoja wetu akajielekeza kuwatetea wahanga.
Kwanini usishauri kwanza hao ambao hawafi kwenda kuiomba msamaha familia ya Dr ulimboka? Au wewe ni mtoto wa juzi?
 
Kwanini usishauri kwanza hao ambao hawafi kwenda kuiomba msamaha familia ya Dr ulimboka? Au wewe ni mtoto wa juzi?

..ushauri wangu ni Rais badala ya kuleta blahblah za 4R, aunde Tume ya Ukweli, Haki, na Maridhiano, ili wahanga wa awamu zote watendewe haki.
 
Kutubu ni kukubali Tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote.
Pamoja na katiba mpya ikiwa na tume huru, changamoto ni uwepo wa watu wenye fikra huru katika kutekeleza matakwa ya katiba na tume.
Ukiangalia kwa mtazamo mpana, msingi wa matatizo ni fikra za kitumwa kwa watendaji (katiba iliyopo haifuatwi). Wakati mwingine hawalazimishwi kufanya upendeleo, ni kujipendekeza kwao tu kuvunja katiba.
 
Mtawadanya wapinzani wale wajinga, kama ni hivyo kwa nini Makamba asiachie ngazi maana haku chaguliwa kwa mantiki hiyo, kwa nini serikali ya Samia isiondoke madarakani au kwa nini isiitishe uchaguzi mpya kwa sasa? Kinacho washinda kuanzisha tume huru ya uchaguzi kwa sasa ni kipi maana Magufuli hayupo, kinacho shindikana kuwa na katiba mpya ni kipi? Aliepora uchaguzi wa Maalif seif kwa kumtumia Jecha zanzibar kufuta uchauzi 2015 ni Magufuli? CCM wote ni wehu na wajinga, sasa mnatuaminisha uchaguzi ujao utakuwa haki kwa kipi mmefanya kuwa haki? Mnawachota wapinzani akili wajae, na watajaa kweli make hata wao sio wapinzani ni ruzuku ndo wana tafuta.
 
Na bado hamjasema
 
Leo ndio Mmeshituka baada ya Makamba kusema? Siku zote nyie ccm mnasema mnashinda kwa haki.

Makamba yuko sahihi so far.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…