January Makamba ni akili kubwa sana kuliko watanzania wengi sana. Huyu ndiyo anastahili kupewa urais, siyo hawa akina jiwe na Sa100. Jiwe alikuwa na wazimu, sa100 ni kama haelewi afanye nn.
He is not presidential material .. Zaidi ya yote ana baba kigeugeu na mjuaji .. HAFAI !!
Unafikiri rizimoko yeye ndio ameridhika na ubunge. Kaa kwa kutulia utaonaungenielewa kwann msoga asiwepo labda ,huyo ndo messenger wao wote wawili Toka akiwa dogo
Lowasa na msoga walikuwa gombania nafasi Moja makamba hagombanii na wao
Kuwa makini ,wakati lizimoko ,Yuko nyumbani kwa Salima mwezi wakwanza. Tayari alishakuwa viungani IKULU sahau uwepo wa mwezijanuary IKULU ndo uwepo wa lizimojaUnafikiri rizimoko yeye ndio ameridhika na ubunge. Kaa kwa kutulia utaona
Haya hapa...Huyu jamaa hana chochote alichowahi kukifanya au hata kukisema tu cha kuonyesha kuwa anafaa kuwa rais. Kazi yake ni kupiga picha huku ameiga mapozi ya Obama. Hafai kabisa. Hata ubunge hafai. Hata uwaziri hafai.
Hiv yale mawe kule unyankhaa mtu ukitaka kuyapiga machata unaomba kibali?Kipara na Rais wa mawe wanamuona mama anawawekea gozigozi wanatamani akae pembeni.
Connection zake za nje zinampa kichwa eti yeye ndio anafaa kua rais wa tanzania. Mpango wao wanafikiri wataweza kununua urais🤣😂😭😭Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa.
Atajitahidi sana, atakusanya watu, atakuwa kwenye makundi pendwa na hata nyakati nyingine atafika katika 5 bora, lakini kamwe hatachaguliwa kuwa mgombea Urais kupitia CCM.
Hata akifanya kama Lowassa, kuhamia upinzani nako atachaguliwa kuwa mgombea wa Urais lakini safari itaishia kama ile ya Mh Lowasa.
kibali ni pesa yako tu kuwalipa wachoraji.Hiv yale mawe kule unyankhaa mtu ukitaka kuyapiga machata unaomba kibali?
Hacha kuwa na Iman na hicho chama mkuu,chadema kishajifia kitambo..Mtu kama mbowe anashinda ikulu anatoboa siri za chama ili apate ruzuku na wewe bado una imani na hicho chama mkuu?.Sawa apitie CHAUMA ,au ACT n.k chadema wamejifunza nakujua wapi walikose , 2025 uchaguzi ukifanyika mtajua hamjui nyie ccm asema Bwana
Wanaweza kuwa rais wakiamua kama walivyoamua kwa JPM.Connection zake za nje zinampa kichwa eti yeye ndio anafaa kua rais wa tanzania. Mpango wao wanafikiri wataweza kununua urais🤣😂😭😭
Mzee wa msoga alikuwa Mwenyekiti, Rais, lakini hakuweza kupenyeza mtu wake kuwa raisndo mlezi wake Toka mdogo hapo IKULU ila mzee wa msoga labda asiwepo
Kazi yake ilikiwa kususa, mana akiwa hakubaliani na rais aliepo, humsikii kabisa! Hatujawahi kuwa na waziri wa mambo ya nje kimya namna hiiKwa bahati mbaya mwenyewe hatambui kuwa hana uwezo wa kuvaa viatu hivyo. Mbaya zaidi alihakikishiwa na Mzee wake kuwa wao ndio waliokishika chama na Mzee huyo alijitahidi kumkuza mwanae kisiasa kwa malengo hayo.
Tatizo hakuna alichokionyesha mpaka sasa alichokifanya kikubwa sana ndani ya chama hata serikalini licha ya kupewa nafasi katika maeneo nyeti yanayowagusa wananchi moja kwa moja. Kama hakuweza huko ataweza wapi?
Mama alifanya kosa kubwa kumrudisha huyu na MayuyeNdio maana anajitahaidi kukusanya mali ili apanue wigo wake. Kwa bahati mbaya amekosa mbinu sahihi za kuwafikia watu. Pengine alifikiri jina la baba yake lingempaisha juu.
Na hili ndio pigo kwake, bado hajapata dawa yake, na sijui kama ataigundua.
2015 bila ya Ben Mkapa kusema lazima JPM aingie 5 bora! Msoga alikua anamla kichwa kwa kisingizio kwamba hana uzoefu chamani,kama alivyokula kichwa cha Eddo,kwamba atalipiza visasi,vile vile ni mgonjwaMzee wa msoga alikuwa Mwenyekiti, Rais, lakini hakuweza kupenyeza mtu wake kuwa rais
Tuwaache wakijani wenyewe wapatikane sisi yetu macho.The endless roadSio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa.
Atajitahidi sana, atakusanya watu, atakuwa kwenye makundi pendwa na hata nyakati nyingine atafika katika 5 bora, lakini kamwe hatachaguliwa kuwa mgombea Urais kupitia CCM.
Hata akifanya kama Lowassa, kuhamia upinzani nako atachaguliwa kuwa mgombea wa Urais lakini safari itaishia kama ile ya Mh Lowasa.
Lowasa kadi yake nyekundu haikuwa kwajili yake ,ilikuwa kwajili ya chama ,serikali na urais ,January lini serikali imepata kashifa na akavaa ngaoMzee wa msoga alikuwa Mwenyekiti, Rais, lakini hakuweza kupenyeza mtu wake kuwa rais
Alipopata uwaziri wa nishati alitumia muda mwingi kusingizia matatizo ya umeme yamesababishwa na Magufuli lakini mwisho wa siku hakuna cha maana alichokifanya. Unafiki mbaya sanaKwa bahati mbaya mwenyewe hatambui kuwa hana uwezo wa kuvaa viatu hivyo. Mbaya zaidi alihakikishiwa na Mzee wake kuwa wao ndio waliokishika chama na Mzee huyo alijitahidi kumkuza mwanae kisiasa kwa malengo hayo.
Tatizo hakuna alichokionyesha mpaka sasa alichokifanya kikubwa sana ndani ya chama hata serikalini licha ya kupewa nafasi katika maeneo nyeti yanayowagusa wananchi moja kwa moja. Kama hakuweza huko ataweza wapi?
Halafu kuna wengine wamemshauri akabadili dini awe mkristu kwa vile mama yake ni Mkrist, ili baada ya Samia Muislamu aje yeye na kofia ya Ukristu.Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa.
Atajitahidi sana, atakusanya watu, atakuwa kwenye makundi pendwa na hata nyakati nyingine atafika katika 5 bora, lakini kamwe hatachaguliwa kuwa mgombea Urais kupitia CCM.
Hata akifanya kama Lowassa, kuhamia upinzani nako atachaguliwa kuwa mgombea wa Urais lakini safari itaishia kama ile ya Mh Lowasa.
Katika watu wasio na akili basi Januari ni mmoja wapo. Na ukweli tumeuona alipokuwa waziri wa Nishati hadi Rais akamtoa na kumleta kwenye wizara za longolongoJanuary Makamba ni akili kubwa sana kuliko watanzania wengi sana. Huyu ndiyo anastahili kupewa urais, siyo hawa akina jiwe na Sa100. Jiwe alikuwa na wazimu, sa100 ni kama haelewi afanye nn.