Januari Makamba atapita njia ya Hayati Lowassa katika safari yake ya kisiasa

Januari Makamba atapita njia ya Hayati Lowassa katika safari yake ya kisiasa

January Makamba ni akili kubwa sana kuliko watanzania wengi sana. Huyu ndiyo anastahili kupewa urais, siyo hawa akina jiwe na Sa100. Jiwe alikuwa na wazimu, sa100 ni kama haelewi afanye nn.

Labda akili kubwa ya kufagia vyoo
 
Unafikiri rizimoko yeye ndio ameridhika na ubunge. Kaa kwa kutulia utaona
Kuwa makini ,wakati lizimoko ,Yuko nyumbani kwa Salima mwezi wakwanza. Tayari alishakuwa viungani IKULU sahau uwepo wa mwezijanuary IKULU ndo uwepo wa lizimoja
 
Huyu jamaa hana chochote alichowahi kukifanya au hata kukisema tu cha kuonyesha kuwa anafaa kuwa rais. Kazi yake ni kupiga picha huku ameiga mapozi ya Obama. Hafai kabisa. Hata ubunge hafai. Hata uwaziri hafai.
Haya hapa...
 
Attachments

  • images (15).jpeg
    images (15).jpeg
    21.6 KB · Views: 3
Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa.

Atajitahidi sana, atakusanya watu, atakuwa kwenye makundi pendwa na hata nyakati nyingine atafika katika 5 bora, lakini kamwe hatachaguliwa kuwa mgombea Urais kupitia CCM.

Hata akifanya kama Lowassa, kuhamia upinzani nako atachaguliwa kuwa mgombea wa Urais lakini safari itaishia kama ile ya Mh Lowasa.
Connection zake za nje zinampa kichwa eti yeye ndio anafaa kua rais wa tanzania. Mpango wao wanafikiri wataweza kununua urais🤣😂😭😭
 
Sawa apitie CHAUMA ,au ACT n.k chadema wamejifunza nakujua wapi walikose , 2025 uchaguzi ukifanyika mtajua hamjui nyie ccm asema Bwana
Hacha kuwa na Iman na hicho chama mkuu,chadema kishajifia kitambo..Mtu kama mbowe anashinda ikulu anatoboa siri za chama ili apate ruzuku na wewe bado una imani na hicho chama mkuu?.
Ccm ni chama cha hovyo sana ndio maana tunatafuta walau aliye msafi kwenye hicho chama atupatie machache kama alivyofanya JPM.
 
Connection zake za nje zinampa kichwa eti yeye ndio anafaa kua rais wa tanzania. Mpango wao wanafikiri wataweza kununua urais🤣😂😭😭
Wanaweza kuwa rais wakiamua kama walivyoamua kwa JPM.
Huu ukoo wa makamba na Jpm ni ukoo hatari sana kwa taifa letu..hakuna wanachokiwaza zaidi ya kujilimbikizia mali tu.
 
Mimi uwa ni team January sema January uwa ananiangusha kwenye mambo madogo mdogo hana kitu cha kuwambia watanzania kwamba ichi hapa nimefanya hapo uwa ndo ananipa wakati mgumu sana
 
Kwa bahati mbaya mwenyewe hatambui kuwa hana uwezo wa kuvaa viatu hivyo. Mbaya zaidi alihakikishiwa na Mzee wake kuwa wao ndio waliokishika chama na Mzee huyo alijitahidi kumkuza mwanae kisiasa kwa malengo hayo.

Tatizo hakuna alichokionyesha mpaka sasa alichokifanya kikubwa sana ndani ya chama hata serikalini licha ya kupewa nafasi katika maeneo nyeti yanayowagusa wananchi moja kwa moja. Kama hakuweza huko ataweza wapi?
Kazi yake ilikiwa kususa, mana akiwa hakubaliani na rais aliepo, humsikii kabisa! Hatujawahi kuwa na waziri wa mambo ya nje kimya namna hii
 
Ndio maana anajitahaidi kukusanya mali ili apanue wigo wake. Kwa bahati mbaya amekosa mbinu sahihi za kuwafikia watu. Pengine alifikiri jina la baba yake lingempaisha juu.

Na hili ndio pigo kwake, bado hajapata dawa yake, na sijui kama ataigundua.
Mama alifanya kosa kubwa kumrudisha huyu na Mayuye
 
Mzee wa msoga alikuwa Mwenyekiti, Rais, lakini hakuweza kupenyeza mtu wake kuwa rais
2015 bila ya Ben Mkapa kusema lazima JPM aingie 5 bora! Msoga alikua anamla kichwa kwa kisingizio kwamba hana uzoefu chamani,kama alivyokula kichwa cha Eddo,kwamba atalipiza visasi,vile vile ni mgonjwa

Ndiyo maana Msoga akaingiza watu wake 4 kweye tano bora
1. Migiro
2. Makamba
3. Membe
4. Balozi Amina Ally

Lakini wote waliangukia pua! Chuma mtoto wa Ben Mkapa akachukua Nchi!
 
Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa.

Atajitahidi sana, atakusanya watu, atakuwa kwenye makundi pendwa na hata nyakati nyingine atafika katika 5 bora, lakini kamwe hatachaguliwa kuwa mgombea Urais kupitia CCM.

Hata akifanya kama Lowassa, kuhamia upinzani nako atachaguliwa kuwa mgombea wa Urais lakini safari itaishia kama ile ya Mh Lowasa.
Tuwaache wakijani wenyewe wapatikane sisi yetu macho.The endless road
 
Mzee wa msoga alikuwa Mwenyekiti, Rais, lakini hakuweza kupenyeza mtu wake kuwa rais
Lowasa kadi yake nyekundu haikuwa kwajili yake ,ilikuwa kwajili ya chama ,serikali na urais ,January lini serikali imepata kashifa na akavaa ngao
 
Kwa bahati mbaya mwenyewe hatambui kuwa hana uwezo wa kuvaa viatu hivyo. Mbaya zaidi alihakikishiwa na Mzee wake kuwa wao ndio waliokishika chama na Mzee huyo alijitahidi kumkuza mwanae kisiasa kwa malengo hayo.

Tatizo hakuna alichokionyesha mpaka sasa alichokifanya kikubwa sana ndani ya chama hata serikalini licha ya kupewa nafasi katika maeneo nyeti yanayowagusa wananchi moja kwa moja. Kama hakuweza huko ataweza wapi?
Alipopata uwaziri wa nishati alitumia muda mwingi kusingizia matatizo ya umeme yamesababishwa na Magufuli lakini mwisho wa siku hakuna cha maana alichokifanya. Unafiki mbaya sana
 
Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa.

Atajitahidi sana, atakusanya watu, atakuwa kwenye makundi pendwa na hata nyakati nyingine atafika katika 5 bora, lakini kamwe hatachaguliwa kuwa mgombea Urais kupitia CCM.

Hata akifanya kama Lowassa, kuhamia upinzani nako atachaguliwa kuwa mgombea wa Urais lakini safari itaishia kama ile ya Mh Lowasa.
Halafu kuna wengine wamemshauri akabadili dini awe mkristu kwa vile mama yake ni Mkrist, ili baada ya Samia Muislamu aje yeye na kofia ya Ukristu.

Naunga mkono hoja. Januari Makamba hata kama ataruhusiwa kuwa na dini zote mbili yaani Ukristu na Uislamu, hawezi kuwa Rais wa Tanzana mpaka anakufa.

Yeye tayari ni mtu anayesemwa na anayetaka kama vile Edward Lowassa na Maalim seif Hamad walivyoutaka Urais wa Tanzania na ZNZ kuanzia miaka ya 1990s. Hawa Lowasa na Seif walisemwa na walitaka sana na wamekufa hawajapata uRais wa Tanzania.

Urais wa Tanzania utapewa na Mungu tu kama alivyopata A H Mwinyi (badala ya Salim Ahmed Salim aliyesemwa sana na kupendwa na Nyerere) au BW Mkapa(badala ya Malecela na Kolimba waliosemwa sana). Hata Kikwette alipata mbele ya Fredrick Sumaye, Salim, Kigoda na Mwandosya waliokuwa vipenzi vya Mkapa na Magufuli alipata badala Benard Membe na Lowassa ambao waliigawa NEC ya CCM.

Mfano wa mwisho ni Rais wa sasa ambaye ameteremshiwa na Mungu tu baada ya JPM aliyetajs kutawala milele.
 
January Makamba ni akili kubwa sana kuliko watanzania wengi sana. Huyu ndiyo anastahili kupewa urais, siyo hawa akina jiwe na Sa100. Jiwe alikuwa na wazimu, sa100 ni kama haelewi afanye nn.
Katika watu wasio na akili basi Januari ni mmoja wapo. Na ukweli tumeuona alipokuwa waziri wa Nishati hadi Rais akamtoa na kumleta kwenye wizara za longolongo
 
Back
Top Bottom