January Makamba: Sisi hatuzalishi mafuta

Ukifanya breakdown ya bei ya mafuta, nusu ya gharama unazolipa ni matozo ya serikali, sijui kwanini hawaoni wao ndio wanaoongezea wananchi mzigo
 
Huyu jamaa anajifanyaga smart sana, ila kiukweli tangu achukue hii Wizara, ni kama inauweka wazi upeo wake.
Ukimwangalia na kumsikiliza kwa makini, majibu yake yana jeuri fulani na ya kujiamini kupita kiasi.

Hayalingani naa ukubwa wa tatizo, ni majibu ya majivuno ya aina yake. Ni kama anawaza kuwa hizi ni kelele tu na hazimsumbui.

Hana hofu ya kutumbuliwa na hakuna wa kumtumbua.

Ni jeuri ya aliyemweka pale.
 
Wa kumtumbua ni sisi wananchi tutakapokuwa tayari.
 
Unakuta kwenye tozo za mafuta kuna Fuel levy halafu hapo hapo kuna petroleum fee, na pia kuna oil marketing overhead expenses sijui ndo kitu gani. Utashangaa kuna mpaka fuel evaporation loss fee. Tozo lukuki
 
Tunachozalisha ndio kinatakiwa kufidia hayo mafuta tunayonunua kwa kukipandisha bei kwa wazalisha mafuta, hivi ili halijui?
 
Kwanini wasitafute alternative sources/supplies, badala ya kutegemea mafuta ya Uarabuni Ambayo yamepanda bei kutakana na vikwazo vya Magharibi kwa Urusi, ningeshauri wanunue direct from Russia ambao Sasa hivi wanahaha na soko, kwa bei ya chini. Tutumie opportunity hii Kama India walivyotumia.
 
Tatizo la nchi yetu ni kwamba watu wa siasa wamejiaminisha kuwa siasa ni uongo, ulaghai na ujanja ujanja. Na sisi wananchi tulio wengi tumeaminishwa hivyo tukaamin
 
Kazi yake hapo ni kutatua changamoto mbalimbali Ndio Maana akaonwa yeye miongoni Mwa watanzania 65 mil. Sasa akisema hatuzalishi sisi tukamfuate mzalishaji ili atutatulie hio shida? Hakuna mbinu mbadala ndani ya uwezo wake?

Je anampango gani wa muda mrefu wa kutotegemea mafuta na kutegemea gesi kuendeshea magari nk
 
Ni kweli hakuna wa kumsumbua hata aliyemteua hawezi kumsumbua

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Watanzania tumechaguliwa waziri na Mangekimambi. huyu ni international Tubularasa
 

Plus alijaribu kufuta tozo wabunge wakamuwakia. Sahivi kila mtu anasema afute tozo. Mmesahau Msukuma na Mpina walivyosema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…